TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Tuyajenge mimi na wewe.Dunia ss hivi ya hovyo sana.!!
Watoto wanapitia magumu sana, kina mama wako busy hawajali.!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuyajenge mimi na wewe.Dunia ss hivi ya hovyo sana.!!
Watoto wanapitia magumu sana, kina mama wako busy hawajali.!!
Huu ulalamishi ulikuwa valid au halali miaka ya 1990's kurudi nyuma ila kwa sasa huu ulalamishi sio halali tena kwasababu kuna taarifa mpya ambazo zinaleta ukakasi.Nadhan s
NAdhan tukubali tukatae siku hizi sio baba wa kambo tu hata baba mzazi anatembea na mtoto wake wa kumzaa all blames to mama,mtoto akipata mimba all blames to mama kila kitu mama ni wa kulaumiwa why always mama na mwanaume mshenz ni magenzi tu hataa mama awaje kwa mtoto wake
Watoto wadogo sana hao.Hawa wote ni 14yrs
Kabisa, sio sawa kufanyiwa hayoWatoto wadogo sana hao.
Shemela umechafukwa haswaaa..!!!Amani iwe kwenu wote.....
Kina mama ambao mna watoto especially wa kike kwa ups and down za maisha mkatengana na baba zao na mnaishi na baba wengine wa kambo, hivi hawa wababa huwa mnawachukuliaje uhusiano wao na mabinti zenu???
Huwa mnawachukulia kama ambavyo baba mzazi anakua? Mnawakabidhi mabinti zenu 100% kwamba ni baba yake? Huwa hamna hofu kwamba hao sio biological father muda wowote watawageuka?? Anyway nna maswali mengi kichwani kwangu.....
Nimepata nafasi kadhaa za kuongea na watoto wa kike as mimi ni mlezi na mzazi kuna scenario zimekua zikijitokeza natamani kuchukua mic nipite nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa niwape Tangazo! Tangazo!
Scenario 1:
Huyu binti anaishi na mama na baba wa kambo na mdogo wake ambae ni mtoto wa huyo baba, ila mama anakua bize kuna siku harudi nyumbani (sikumbuki kazi ya mama) kuna siku mama alikua kazini hakurudi home, wanaishi chumba kimoja (sijui wananjunjana vipi saa ngapi na watoto hao 🤦). Usiku baba kahamia kati ya watoto kaanza kumpapasa huyu binti, japo hakumfanya kitu ila mtoto akashtuka na hakulala tena kesho yake akaja kusema baba kamshika. Mama kumuita kuongea nae akaside na baba ooh mme wangu anasali hawezi mxyuuu ovyoo. Possible alisema kumlindia heshima mme na kuficha aibu.
Scenario 2:
Binti anakaa na mama na baba wa kambo, ila kwa story mama aliwahi kuona uhusiano usio wa kawaida baina yao akaamua kuvunja uhusiano wakatengana. Kuongea na binti kuna vi element kwamba baba alikua anakula. Aliwahi kusema "waliachana kwa mambo yao ila kuna siku baba alikuja pale mtaani akamwambia mtu aniite nikaenda kuchukua hela na kurudi" na pia baba huwa anamvisit shuleni kumpa hela maswali kwanini aje usiku? Kwanini ampe hela? Kama nia njema kwanini hela asilete nyumbani???
Scenario 3:
Hii imenifanya nijiulize mengi. Huyu binti anajielewaaa yani ni mtoto ukiongea nae ni kama unaongea na mkubwa mwezio ndoto zake, mambo yake, vitu ambavyo mama anavifanya na yeye kama mtoto hapendi kwa kifupi anajitambua. Anaishi na mama na baba wa kambo. Ila kuna mambo yamekua yanaclick kichwani jinsi anavyohusiana na baba yake ingawa kwa jinsi alivyo mie sina shaka nae kwenye ujinga. Binti anacomplain mama ake mkali hamsikilizi hana muda nae etc etc sasa huyu baba amekua close nae kiasi kwamba mama asipokuwepo anapiga simu kwa kutumia simu ya baba anaongea kwa rahaaa comfortable kitu ambacho mama akiwepo hawezi. Kikubwa kuliko baba kamwambia afungue bank account kwa siriii awe anamuwekea hela (ina case kafariki) zitamsaidia mmmmh 🤔🤔🤔🤔 ni kulea tu kwa moyo?? Kweli??? Baba ana ukaribu sanaa na binti (nilihofu hata kuhoji zaidi kama kuna neno baba alishatamka) Nsamehewe kama nimewaza tofauti ila mie hainiingii.
Ujumbe wangu, kina mama kuweni karibu na watoto wenu muwasikilize wana mengi ya kuwaambia ila hamuwapi hiyo nafasi. Na hao wababa 🤔🤔 au basi..........
Hata sijachafukwa.....Shemela umechafukwa haswaaa..!!!
Ila wanawake mna wivu. Mpaka kwa watoto wenu? Sasa si muwapeleke kwa baba zao wazazi?Amani iwe kwenu wote.....

Mhandisi soma tena utaelewa.....Ila wanawake mna wivu. Mpaka kwa watoto wenu? Sasa si muwapeleke kwa baba zao wazazi?
Nmesoma na nimeelewa. Ila yote uliyoongea ni hisia, unahisi unahisi.... Mimi nina experience kuliko kuhisi unakofanya...Mhandisi soma tena utaelewa.....
Uko sahihi nyakati za sasa si za kuamin mtu baki akae na watoto kihasarahasara hasa watoto wenyewe hawa wa kidigitali nakumbuka rafiki yangu mmoja aliwahi kusema watoto wa miaka hii wazuri sana maana kuna hybrid za kufa mtu na watoto wenye sura za kutisha tisha siku hizi hawapo sasa umkute kijana sijui binamu, n.k then eti unamuacha na mtoto wako mcuteee wakae room huko aisee utavuna mabua. Ndo maana ujenzi wa sasa wengine wanawajenge kabisa kachuma/kijumba cha nje ili kuondoa yale mambo ya babu. mjomba, binamu, rafiki kaja so analala na watoto.Ukisimama nchale ukikaa nchale.....
Tupo katika nyakati ambazo si salama kiuhalisia, ni muhimu kuangalia mambo katika angle zote.
Mie kaka yangu akija kwangu siruhusu hata watoto kuingia huko room aliko akae nao sebleni tu.
#usalamakwanza usijisikie vibaya kuimarisha ulinzi wa mtoto.
Uko wapi.....Nmesoma na nimeelewa. Ila yote uliyoongea ni hisia, unahisi unahisi.... Mimi nina experience kuliko kuhisi unakofanya...
Hatuwezi kuwapatia pesa mbele za mama zao kwa kuhofia kunyang'anywa. Wanawake wa siku hizi hapana kitu utawaambia wakuelewe mbele ya pesaSawa, hongereni kwa mioyo ya upendo.....
Lakini kwanini kuwepo na mambo ya siri kati yako na mtoto?? Kama ni pesa kwanini usimpe mbele ya mama "mwanangu hii pesa ya hiki na hiki"
Weeee baba junia weeeeeHatuwezi kuwapatia pesa mbele za mama zao kwa kuhofia kunyang'anywa. Wanawake wa siku hizi hapana kitu utawaambia wakuelewe mbele ya pesa
HahahaAmani iwe kwenu wote.....