Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #101
Uko wapi.....Lindeni ndoa, mkishindwana ameni rooms Kuwa na mahusiano huru Kulinda maslahi ya watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapi.....Lindeni ndoa, mkishindwana ameni rooms Kuwa na mahusiano huru Kulinda maslahi ya watoto
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapo mama akiwakuta anaona unatake advantage.
Yaani mtoto wa kambo hata kumshika kiuno ukimbeba unaweza unekana unamtomasa..🤣
😹😹😹 nlikua bafuni, nipigie nipigieeeeeUko wapi...
Haumsikilizi binti ako, anapata mtu wa kumsikiliza na kumjali zaidi yako mama.....kwanini usilaumiwe???Khaaaaa hata hii lawama anapewa mama jaman kuumbwa mwananmke sio ndo niwe overloaded au niteseke
Haumsikilizi binti ako, anapata mtu wa kumsikiliza na kumjali zaidi
Nini maana ya kuwepo kwa baba na manaHaumsikilizi binti ako, anapata mtu wa kumsikiliza na kumjali zaidi yako mama.....kwanini usilaumiwe???
Thread inahusu malezi ya mabinti wanaokaa na mama mzazi na baba wa kambo.Nini maana ya kuwepo kwa baba na mana
Imagine mtu amekaa sehemu huko mtoto wake anateseka yeye na mapumbu yake ameridhika. Why umuache mtoto wako damu yako , bao lako? [emoji848]Hisia mbaya ni utumwa. Nilisha kaa na single mama ana mtoto wa kike, yule binti alikuwa kama mie ndio baba yake.. na wakati mwingine mtoto anakuja kulala na mie baba wa mchongo ili kupata joto la baba ambalo hakuwai lipata kwa baba yake Og
Sasa baba niongee na biti pesa ya kununuwa pedi na chupi?Nini maana ya kuwepo kwa baba na mana
NAdhan tukubali tukatae siku hizi sio baba wa kambo tu hata baba mzazi anatembea na mtoto wake wa kumzaa all blames to mama,mtoto akipata mimba all blames to mama kila kitu mama ni wa kulaumiwa why always mama na mwanaume mshenz ni magenzi tu hataa mama awaje kwa mtoto wakeSasa baba niongee na biti pesa ya kununuwa pedi na chupi?
Huoni kama mama yupo commited zaidi kwa binti?
Baba anatakiwa apewe bajeti ya mtoto na mama ndio anajuwa mambo ya kike.
Naweza kumuita binti mbele ya mama yake nikampa pesa aliyorequest kupitia kwa mama yake.
Mimi kwanza sifurahishwi na hivi vitoto tunavyovipanda sasa hivi ni kwa sababu wazazi wao wameacha majukumu ya kuwahudumia.
Inapendeza vijana wavuane chupi kama passion tu mabinti wawapendd wavulana saizi yao lakini sivyo ilivyo, wavulana hawana pesa za kuwapa.
Baba mzazi yeyote anayeweza kukaa uchi na mwanaye huyo ana laana, na hakuna ushirikina wenye masharti hayo.Nadhan s
NAdhan tukubali tukatae siku hizi sio baba wa kambo tu hata baba mzazi anatembea na mtoto wake wa kumzaa all blames to mama,mtoto akipata mimba all blames to mama kila kitu mama ni wa kulaumiwa why always mama na mwanaume mshenz ni magenzi tu hataa mama awaje kwa mtoto wake
Haya mambo yana vitu vingi sana,Imagine mtu amekaa sehemu huko mtoto wake anateseka yeye na mapumbu yake ameridhika. Why umuache mtoto wako damu yako , bao lako? [emoji848]
Hawa wote ni 14yrsUngetaja na umri wa watoto ili tuvutie picha kabisa ya level ya ubazazi wanayofanya wahusika.
Uko wapi....Pole mkuu. Ndio changamoto za u single maza. Jikaze, ulikosea kuzaa hovyo
Niko mtaan hapa hapa unakoishi na huyu jamaa yako kichwa maji anayetaman mwanao. Mliokotana kwenye vilabu vya pombe za kienyeji nini??Uko wapi....
Pokea simu pokea simu nakupigia.....hiyo namba mwisho 20 ni mimiNiko mtaan hapa hapa unakoishi na huyu jamaa yako kichwa maji anayetaman mwanao. Mliokotana kwenye vilabu vya pombe za kienyeji nini??
Sawa mkuu; tumekupataTumeamua kuwalea hao watoto wa kambo kwa upendo .
Tunaomba tusisakamwe.