Kina mama wenye watoto wa kike, ila mnaishi na baba ambao sio walio wazaa kuna ujumbe wenu hapa

Kina mama wenye watoto wa kike, ila mnaishi na baba ambao sio walio wazaa kuna ujumbe wenu hapa

Amani iwe kwenu wote.....

Kina mama ambao mna watoto especially wa kike kwa ups and down za maisha mkatengana na baba zao na mnaishi na baba wengine wa kambo, hivi hawa wababa huwa mnawachukuliaje uhusiano wao na mabinti zenu???

Huwa mnawachukulia kama ambavyo baba mzazi anakua? Mnawakabidhi mabinti zenu 100% kwamba ni baba yake? Huwa hamna hofu kwamba hao sio biological father muda wowote watawageuka?? Anyway nna maswali mengi kichwani kwangu.....

Nimepata nafasi kadhaa za kuongea na watoto wa kike as mimi ni mlezi na mzazi kuna scenario zimekua zikijitokeza natamani kuchukua mic nipite nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa niwape Tangazo! Tangazo!

Scenario 1:

Huyu binti anaishi na mama na baba wa kambo na mdogo wake ambae ni mtoto wa huyo baba, ila mama anakua bize kuna siku harudi nyumbani (sikumbuki kazi ya mama) kuna siku mama alikua kazini hakurudi home, wanaishi chumba kimoja (sijui wananjunjana vipi saa ngapi na watoto hao [emoji1751]). Usiku baba kahamia kati ya watoto kaanza kumpapasa huyu binti, japo hakumfanya kitu ila mtoto akashtuka na hakulala tena kesho yake akaja kusema baba kamshika. Mama kumuita kuongea nae akaside na baba ooh mme wangu anasali hawezi mxyuuu ovyoo. Possible alisema kumlindia heshima mme na kuficha aibu.

Scenario 2:
Binti anakaa na mama na baba wa kambo, ila kwa story mama aliwahi kuona uhusiano usio wa kawaida baina yao akaamua kuvunja uhusiano wakatengana. Kuongea na binti kuna vi element kwamba baba alikua anakula. Aliwahi kusema "waliachana kwa mambo yao ila kuna siku baba alikuja pale mtaani akamwambia mtu aniite nikaenda kuchukua hela na kurudi" na pia baba huwa anamvisit shuleni kumpa hela maswali kwanini aje usiku? Kwanini ampe hela? Kama nia njema kwanini hela asilete nyumbani???

Scenario 3:
Hii imenifanya nijiulize mengi. Huyu binti anajielewaaa yani ni mtoto ukiongea nae ni kama unaongea na mkubwa mwezio ndoto zake, mambo yake, vitu ambavyo mama anavifanya na yeye kama mtoto hapendi kwa kifupi anajitambua. Anaishi na mama na baba wa kambo. Ila kuna mambo yamekua yanaclick kichwani jinsi anavyohusiana na baba yake ingawa kwa jinsi alivyo mie sina shaka nae kwenye ujinga. Binti anacomplain mama ake mkali hamsikilizi hana muda nae etc etc sasa huyu baba amekua close nae kiasi kwamba mama asipokuwepo anapiga simu kwa kutumia simu ya baba anaongea kwa rahaaa comfortable kitu ambacho mama akiwepo hawezi. Kikubwa kuliko baba kamwambia afungue bank account kwa siriii awe anamuwekea hela (ina case kafariki) zitamsaidia mmmmh [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] ni kulea tu kwa moyo?? Kweli??? Baba ana ukaribu sanaa na binti (nilihofu hata kuhoji zaidi kama kuna neno baba alishatamka) Nsamehewe kama nimewaza tofauti ila mie hainiingii.

Ujumbe wangu, kina mama kuweni karibu na watoto wenu muwasikilize wana mengi ya kuwaambia ila hamuwapi hiyo nafasi. Na hao wababa [emoji848][emoji848] au basi..........
Hiki ulichoandika ni kweli 100%. Na wa-mama wengi WANAFAHAMU kinachoendelea kati ya hao baba wa kambo na mabinti wako, lakini wanaamua kukaa kimya Ili kulinda mahusiano yao.
 
Chonde chonde msivit..o.be hivyo vitoto vya kambo.
Mimi wacha nitie neno hapa, nina binti ni mtoto wa marehemu mdogo wake na wife naishi naye ni mwanafamilia yuko secondary school.

Kuniambia mimi naweza kuwa na hisia za mapenzi kwake kwakweli huo ni uwendawazimu kabisa, sijui wanaofanya hivyo wana akili gani?

Ujinga pekee ninaoweza kuufanya ni kugonga kitoto cha mwaka 2000 ambacho kilishakata kamba chenyewe na asiwe mwanafunzi na awe na sifa za ziada kunishawishi with her beauty.

Otherwise kuvitia vitoto ambavyo kimsingi wewe kwake ni Baba siwezi kufikia ushetani huo, ingawa nishamshuhudia jamaa yangu mmoja, kamla mtoto mtu, akaliwa mama mtu na akaliwa binti mwingine tena same family, nilichokiona ni ecomomic crasis ndio inasababisha mama na watoto wake wanamuuzia mbunye mtu mmoja kwa style ya kujifanya kama wanamzimia.
 
Watu wanakula kila mtu, wanakula mke hadi na wadada/wadogo wa mke. Nja mbaya kwakweli
 
Kuna jirani yetu ana binti mkubwa .binti ana mwili mkubwa kuliko mama .Yule Baba huwa namuonea huruma.ni kama wake wenza yaani
 
Amani iwe kwenu wote.....

Kina mama ambao mna watoto especially wa kike kwa ups and down za maisha mkatengana na baba zao na mnaishi na baba wengine wa kambo, hivi hawa wababa huwa mnawachukuliaje uhusiano wao na mabinti zenu???

Huwa mnawachukulia kama ambavyo baba mzazi anakua? Mnawakabidhi mabinti zenu 100% kwamba ni baba yake? Huwa hamna hofu kwamba hao sio biological father muda wowote watawageuka?? Anyway nna maswali mengi kichwani kwangu.....

Nimepata nafasi kadhaa za kuongea na watoto wa kike as mimi ni mlezi na mzazi kuna scenario zimekua zikijitokeza natamani kuchukua mic nipite nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa niwape Tangazo! Tangazo!

Scenario 1:

Huyu binti anaishi na mama na baba wa kambo na mdogo wake ambae ni mtoto wa huyo baba, ila mama anakua bize kuna siku harudi nyumbani (sikumbuki kazi ya mama) kuna siku mama alikua kazini hakurudi home, wanaishi chumba kimoja (sijui wananjunjana vipi saa ngapi na watoto hao 🤦). Usiku baba kahamia kati ya watoto kaanza kumpapasa huyu binti, japo hakumfanya kitu ila mtoto akashtuka na hakulala tena kesho yake akaja kusema baba kamshika. Mama kumuita kuongea nae akaside na baba ooh mme wangu anasali hawezi mxyuuu ovyoo. Possible alisema kumlindia heshima mme na kuficha aibu.

Scenario 2:
Binti anakaa na mama na baba wa kambo, ila kwa story mama aliwahi kuona uhusiano usio wa kawaida baina yao akaamua kuvunja uhusiano wakatengana. Kuongea na binti kuna vi element kwamba baba alikua anakula. Aliwahi kusema "waliachana kwa mambo yao ila kuna siku baba alikuja pale mtaani akamwambia mtu aniite nikaenda kuchukua hela na kurudi" na pia baba huwa anamvisit shuleni kumpa hela maswali kwanini aje usiku? Kwanini ampe hela? Kama nia njema kwanini hela asilete nyumbani???

Scenario 3:
Hii imenifanya nijiulize mengi. Huyu binti anajielewaaa yani ni mtoto ukiongea nae ni kama unaongea na mkubwa mwezio ndoto zake, mambo yake, vitu ambavyo mama anavifanya na yeye kama mtoto hapendi kwa kifupi anajitambua. Anaishi na mama na baba wa kambo. Ila kuna mambo yamekua yanaclick kichwani jinsi anavyohusiana na baba yake ingawa kwa jinsi alivyo mie sina shaka nae kwenye ujinga. Binti anacomplain mama ake mkali hamsikilizi hana muda nae etc etc sasa huyu baba amekua close nae kiasi kwamba mama asipokuwepo anapiga simu kwa kutumia simu ya baba anaongea kwa rahaaa comfortable kitu ambacho mama akiwepo hawezi. Kikubwa kuliko baba kamwambia afungue bank account kwa siriii awe anamuwekea hela (ina case kafariki) zitamsaidia mmmmh 🤔🤔🤔🤔 ni kulea tu kwa moyo?? Kweli??? Baba ana ukaribu sanaa na binti (nilihofu hata kuhoji zaidi kama kuna neno baba alishatamka) Nsamehewe kama nimewaza tofauti ila mie hainiingii.

Ujumbe wangu, kina mama kuweni karibu na watoto wenu muwasikilize wana mengi ya kuwaambia ila hamuwapi hiyo nafasi. Na hao wababa 🤔🤔 au basi..........

Lindeni ndoa, mkishindwana ameni rooms Kuwa na mahusiano huru Kulinda maslahi ya watoto
 
Back
Top Bottom