Kina mama wenye watoto wa kike, ila mnaishi na baba ambao sio walio wazaa kuna ujumbe wenu hapa

Wanaume hawashindwi kitu hawa viumbe,

Mtu anakula mwanae...
Kuna mwingine kasema akipakata kitoto kitu inadisa....

Wanawake wawe karibu binti zao hasa kwenye umri wa balehe, lakini hakuna jambo litamzuia fedhuli kufanya yake
Hahaha
 
Uko wapi...
 
Not that i dont trust my partner,
but its just watoto wangu wa kike wako more close to their biological father kuliko my partner.
Wa kiume naishi nae, yuko close na my partner kuliko his biological father.
Chunguza vizuri asije kuwa anamla WITI, kuna watu wa hovyo sana hapa duniani.
 
M
Mpaka kaka yako tena ?!
 
Baadhi ya hao waliokuwa single moms Kisha wakaolewa, hawawapendi watoto wao kwa kuwa baba za hao watoto waliwaumiza.
Watoto wanatafuta refuge kwa wababa wao wa kambo, mama anakuwa mkali kwa both baba wa kambo na binti...making matters worse.
Ni nini cha kufanya ili kuepusha vita hivi vya Kinjenkitile?
 
Sawa, hongereni kwa mioyo ya upendo.....
Lakini kwanini kuwepo na mambo ya siri kati yako na mtoto?? Kama ni pesa kwanini usimpe mbele ya mama "mwanangu hii pesa ya hiki na hiki"
Leo tunaomba utushauri pia sisi ambao baba zetu wameamua kuoa wake toleo jipya ambao wakipita mbele ya watoto wa kiume wa mume wanatutingishia wowowo!
 
Niliwahi kulea Binti wa girlfriend wangu wakati ndio najitafuta tafuta kimaisha. Siku moja yule Binti (std 7) aliniomba kama inawezekana abadilishe jina la ukoo la biological father eti atumie jina langu. Nilishangaa sana kwakweli.
Wanatesa sana hawa watoto masikini. Watoto wanakuja duniani wakute familia wanakuta mama amewaandalia maishs ya hovyo kabisa. Baba takataka haeleweki. Akisema amtafute amjue ndio anazidi kuumia hata kuzidi kipindi alipokuwa hamjui.
 
Unaya unao peke yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…