PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
🤣🤣🤣Weeee baba junia weeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Weeee baba junia weeeee
Sawa, hongereni kwa mioyo ya upendo.....
Lakini kwanini kuwepo na mambo ya siri kati yako na mtoto?? Kama ni pesa kwanini usimpe mbele ya mama "mwanangu hii pesa ya hiki na hiki"
HahahaNiwahi siti kwanza!
HahahaWanaume hawashindwi kitu hawa viumbe,
Mtu anakula mwanae...
Kuna mwingine kasema akipakata kitoto kitu inadisa....
Wanawake wawe karibu binti zao hasa kwenye umri wa balehe, lakini hakuna jambo litamzuia fedhuli kufanya yake
Mlinde wako dearHii sio sawa kabisa....
NdioooUmeelewa lakini andiko bro????
Kaumizwa huyoSure! comment zako ziko negative sana na wanaume!
Ujue nitakufuta kmya kmya.. naona mazoea yamezidHahaha
Uko wapi...Amani iwe kwenu wote.....
Kina mama ambao mna watoto especially wa kike kwa ups and down za maisha mkatengana na baba zao na mnaishi na baba wengine wa kambo, hivi hawa wababa huwa mnawachukuliaje uhusiano wao na mabinti zenu???
Huwa mnawachukulia kama ambavyo baba mzazi anakua? Mnawakabidhi mabinti zenu 100% kwamba ni baba yake? Huwa hamna hofu kwamba hao sio biological father muda wowote watawageuka?? Anyway nna maswali mengi kichwani kwangu.....
Nimepata nafasi kadhaa za kuongea na watoto wa kike as mimi ni mlezi na mzazi kuna scenario zimekua zikijitokeza natamani kuchukua mic nipite nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa niwape Tangazo! Tangazo!
Scenario 1:
Huyu binti anaishi na mama na baba wa kambo na mdogo wake ambae ni mtoto wa huyo baba, ila mama anakua bize kuna siku harudi nyumbani (sikumbuki kazi ya mama) kuna siku mama alikua kazini hakurudi home, wanaishi chumba kimoja (sijui wananjunjana vipi saa ngapi na watoto hao 🤦). Usiku baba kahamia kati ya watoto kaanza kumpapasa huyu binti, japo hakumfanya kitu ila mtoto akashtuka na hakulala tena kesho yake akaja kusema baba kamshika. Mama kumuita kuongea nae akaside na baba ooh mme wangu anasali hawezi mxyuuu ovyoo. Possible alisema kumlindia heshima mme na kuficha aibu.
Scenario 2:
Binti anakaa na mama na baba wa kambo, ila kwa story mama aliwahi kuona uhusiano usio wa kawaida baina yao akaamua kuvunja uhusiano wakatengana. Kuongea na binti kuna vi element kwamba baba alikua anakula. Aliwahi kusema "waliachana kwa mambo yao ila kuna siku baba alikuja pale mtaani akamwambia mtu aniite nikaenda kuchukua hela na kurudi" na pia baba huwa anamvisit shuleni kumpa hela maswali kwanini aje usiku? Kwanini ampe hela? Kama nia njema kwanini hela asilete nyumbani???
Scenario 3:
Hii imenifanya nijiulize mengi. Huyu binti anajielewaaa yani ni mtoto ukiongea nae ni kama unaongea na mkubwa mwezio ndoto zake, mambo yake, vitu ambavyo mama anavifanya na yeye kama mtoto hapendi kwa kifupi anajitambua. Anaishi na mama na baba wa kambo. Ila kuna mambo yamekua yanaclick kichwani jinsi anavyohusiana na baba yake ingawa kwa jinsi alivyo mie sina shaka nae kwenye ujinga. Binti anacomplain mama ake mkali hamsikilizi hana muda nae etc etc sasa huyu baba amekua close nae kiasi kwamba mama asipokuwepo anapiga simu kwa kutumia simu ya baba anaongea kwa rahaaa comfortable kitu ambacho mama akiwepo hawezi. Kikubwa kuliko baba kamwambia afungue bank account kwa siriii awe anamuwekea hela (ina case kafariki) zitamsaidia mmmmh 🤔🤔🤔🤔 ni kulea tu kwa moyo?? Kweli??? Baba ana ukaribu sanaa na binti (nilihofu hata kuhoji zaidi kama kuna neno baba alishatamka) Nsamehewe kama nimewaza tofauti ila mie hainiingii.
Ujumbe wangu, kina mama kuweni karibu na watoto wenu muwasikilize wana mengi ya kuwaambia ila hamuwapi hiyo nafasi. Na hao wababa 🤔🤔 au basi..........
Embu jaribuUjue nitakufuta kmya kmya.. naona mazoea yamezid
Chunguza vizuri asije kuwa anamla WITI, kuna watu wa hovyo sana hapa duniani.Not that i dont trust my partner,
but its just watoto wangu wa kike wako more close to their biological father kuliko my partner.
Wa kiume naishi nae, yuko close na my partner kuliko his biological father.
Chunguza vizuri asije kuwa anamla WITI, kuna watu wa hovyo sana hapa duniani.
Mpaka kaka yako tena ?!Ukisimama nchale ukikaa nchale.....
Tupo katika nyakati ambazo si salama kiuhalisia, ni muhimu kuangalia mambo katika angle zote.
Mie kaka yangu akija kwangu siruhusu hata watoto kuingia huko room aliko akae nao sebleni tu.
#usalamakwanza usijisikie vibaya kuimarisha ulinzi wa mtoto.
Kaka yangu tumbo moja baba mmoja mama mmoja, siruhusu mtoto wangu aingie room yake..... Kuna shida?M
Mpaka kaka yako tena ?!
Ni nini cha kufanya ili kuepusha vita hivi vya Kinjenkitile?Baadhi ya hao waliokuwa single moms Kisha wakaolewa, hawawapendi watoto wao kwa kuwa baba za hao watoto waliwaumiza.
Watoto wanatafuta refuge kwa wababa wao wa kambo, mama anakuwa mkali kwa both baba wa kambo na binti...making matters worse.
Leo tunaomba utushauri pia sisi ambao baba zetu wameamua kuoa wake toleo jipya ambao wakipita mbele ya watoto wa kiume wa mume wanatutingishia wowowo!Sawa, hongereni kwa mioyo ya upendo.....
Lakini kwanini kuwepo na mambo ya siri kati yako na mtoto?? Kama ni pesa kwanini usimpe mbele ya mama "mwanangu hii pesa ya hiki na hiki"
Wanatesa sana hawa watoto masikini. Watoto wanakuja duniani wakute familia wanakuta mama amewaandalia maishs ya hovyo kabisa. Baba takataka haeleweki. Akisema amtafute amjue ndio anazidi kuumia hata kuzidi kipindi alipokuwa hamjui.Niliwahi kulea Binti wa girlfriend wangu wakati ndio najitafuta tafuta kimaisha. Siku moja yule Binti (std 7) aliniomba kama inawezekana abadilishe jina la ukoo la biological father eti atumie jina langu. Nilishangaa sana kwakweli.
Tulia wewe,kuwa mvumilivu. Kwani ukisemwa unakufa.Khaaaaa hata hii lawama anapewa mama jaman kuumbwa mwananmke sio ndo niwe overloaded au niteseke
Unaya unao peke yakoNimesema tena ni ajabu na kitendo cha aibu mno , sitetei ila nasema inaweza kukutokea bahati mbaya katika hali hio!
Aliye leta mada ile hakuwa ana proud kitendo hicho ila alikua anatahadharisha.
Anyway tunaweza kusema kwa ujumla wetu sisi wanaume ni wabaya sana na wafedhuli sana isipo kuwa wachache wema.
Endeeleni kufunda 🙏