Kinachoendelea kati ya Russia na Ukraine ndo kitazaa World War III (WW3)

Hoja zako zimeeleweka murua hujatoka nje ya hoja.

1. Hakuna uwezekano wa WW3 kwa sababu vita iko ukingoni kuisha. Kwamba aliyeanzisha vita (Russia) hana mzuka (motivation) tena. Kwa nyongeza ya hoja yako, pia tulimsikia aliyeanzisha vita (Russia) anaomba mazungumzo ya kumaliza vita. Hivyo uwezekano wa WW3 haupo kwa mantiki hiyo.

2. Kwamba aliyeanzisha vita (Russia) hakujua nguvu ya kijeshi atakayokutana nayo kutoka kwa adui (Ukraine). Kwamba hoja ya u super power imefifishwa na nguvu ya kijeshi aliyokutana nayo sababu ali undermine.

3. Kumpindua supper power si jambo jepesi. Lakini 9/5/2023 Dunia ilitangaziwa na super power (Putin) kuwa anataka kupinduliwa na West na akaongeza kwamba maadui wako ndani ya nchi yake. Hili nalo ninafifisha hoja ya supper power kuitawala Dunia kama tulivyoaminishwa huko nyuma. Kama ni super power hofu hiyo inatoka wapi?
 
kumbe mmarekani ana hisa kwenye kile kinu cha nuke..
 
Wacha-Mbuzi wa jamiiforums hawa. Inaonekana ulikuwa unamsimulia Mtoto wako, ndipo ukajikuta umenogewa kuja JF kutusimulia na sisi.
 
Tangawizi imezidi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
1. Nikubaliane na wewe kuwa mimi ni mjinga na siijui Russia na hata undani wa vita inayoendelea. Ndo maana nikaja na maswali ya dodoso ili ujinga wangu utolewe na unayesema ni mwelevu na unaijua vizuri Russia.

2. Kwa kuwa unaielewa vizuri Russia na pengine hata vita hii vizuri, hebu tujibu hoja zetu zote kwa mtiririko wa maswali tuliyouliza. Tupe uchambuzi na maoni yako kwa maswali yote ili utudhibitishie kuwa kweli unaijua vita hii na Russia ili nasi tujifunze. Uchambuzi wako uje na takwimu badala ya porojo na propaganda itatusaidia kuelewa hoja zako.

3. Tusaidie pia kutupa takwimu zinazoonyesha kuwa Russia hajapeleka wanajeshi wake Ukraine. Ili tuamini picha tunazoziona za Col Generals, Brigadia, Col na captains wakiwa wameuawa wakiwa Ukraine na kuzikwa kwa heshima za kijeshi huko Moscow ni za uongo. Kumbe jeshi la Urusi linazika mgambo tu.

4. Tutafurahi pia ukija na takwimu zinazoonyesha kuwa USA haiwezi Russia kwenye uwanja wa vita. Analysis hiyo tunaisubiri kwa hamu maana itatolewa na mtu anayeijua vizuri Russia na USA. JF members utawakoga kwa uchambuzi wako.

Kama kweli wewe ni mjuzi wa vita hii na unaijua vyema Russia naamini hutapotelea gizani utarudi kujibu hoja zetu.

Nje ya hapo tutaamini unakunywa mataputapu na ulichoandika hukuwa unakielewa.
 
Narudia tena ingekuwa simple hivyo bas Putin angefanya hivyo awali
 
Very Low IQ mzalendo
Mahaba yako kwa Urusi yanakufanya uufumbie macho ukweli. Jamaa wamechemka, hivyo tunavyo chat hapa majeshi ya Urusi yamenaza kukimbia mji wa Bakhmut.

A super power that can't establish air superiority after one year of war is no super power.
 
Mnapenda udaku , umewai fika front kuona hayo mataifa zaid ya 40 ? Afrika hili bara lina watu wajinga wajinga sana
Idadi ya wajinga ni kubwa sana. Badala ya kujikita kwenye hoja wanaibuka na porojo za kijinga. Ukweli ni kwamba hawana hoja ya kujibu hoja.
 
Ukiitwa kichaa usinune , hv Ukraine ni level za Urusi ? feb 2022 warusi walikuwa 11km kuingia kyiev ila 2023 ikulu ya urusi inapigwa milipuko ya drones , bado unaisifia urusi yako ya mchongo
 
Ukiitwa kichaa usinune , hv Ukraine ni level za Urusi ? feb 2022 warusi walikuwa 11km kuingia kyiev ila 2023 ikulu ya urusi inapigwa milipuko ya drones , bado unaisifia urusi yako ya mchongo
Unamuuliza nani hili swali?
 
Ukiitwa kichaa usinune , hv Ukraine ni level za Urusi ? feb 2022 warusi walikuwa 11km kuingia kyiev ila 2023 ikulu ya urusi inapigwa milipuko ya drones , bado unaisifia urusi yako ya mchongo
Msululu wa vifaru na makombora viliyeyuka kama barafu. Hatujaona maandamano ya vifaru tena Ukraine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu kwa jinsi wamagharibi walivo na .n..y..e..g.. mshindo, kama mrusi ni dhaifu basi kwa sasa mda mrefu wangeshakiwasha na kuondoka,ila mzee hii ngoma nzito mana juzi wenyewe wamekili kuzidi kuitenga urusi ni kujiumiza wenyewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…