Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

Na nyinyi mnashindwa vipi kujitetea? Huko Kigoma si ni rahisi tu kupata vyombo vya moto kutoka nchi jirani kama Burundi!!

Mmoja wenu ajitoe mhanga kwa kuwalipua hao wapuuzi, halafu uone kama wataendelea kuwanyanyasa.
 
Mleta mada nadhani hujawahi kuingia kwenye 18 za wachawi, acha waendelee kuchapwa. Ile Sungusungu ya Usukumani miaka ya 1980s - 1990s ilifanya kazi njema sana.
 
Wewe huna tofauti na hao kamchape.
 
Juzi juzi kulikuwa na scandal moja ya hao wapumbavu. Bado tu wanaendelea? Hebu elezea wanawatesaje na wananachi? Tukijua tunaweza kutoa mchango wa mawazo na hali...
 
Siamini katika ujumbe huu KALINZI ninayoijuwa kwa Kina hlf uniambie eti kila familia inalipa elfu 5 kumlipia kamchape huo ni UONGO UONGO UONGO UONGO.

KALINZI 99 YA WAKAZI WAKE WOTE NI WATU WA DINI NA WANAOSALI, SIJAWAHI KUSIKIA JAMBO HILO,
 
Mm nimeishi kigoma zoezi hilo nashauri serikali iliachie kisirisiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…