Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

Narudia tena ni Udhalilishaji, Upuuzi, Ushenzi, Uchonganishi na Utapeli.

Nimefika mkoa wa Kigoma Tokea Majuzi nilicho Kikuta huku Sielewi Huku ninchi Nyingine au ni Tanzania hii hii !

Kuna kitu kinaitwa  KAMCHAPE, hawa wapuuzi nani kawaleta, Hili kweli nani kalipa Baraka kufanyika karibu mkoa mzima wa Kigoma?

Kinachofanyika Ni Udhalilishaji na Uchonganishi kwa jamii.

Kwanza Wanachangisha Tsh 5,000 kila kaya kwa lazima sio ombi.

Kisha Wanapita kila nyumba Eti wanatoa Uchawi na wachawi! Tena utake usitake lazima.

Wakifika kwako wanasema hapa kuna uchawi Lazima uchapwe kisha unanyolewa Nywele Mbele ya umati wa watu kisha kunyweshwa Kile wanachoKiita Dawa hautakuwa mchawi tena!

Nimefuatilia kinachofanyika pale ni Mazinga Ombwe na Kujipatia Pesa kwa Utapeli!

Wakati Yakifanyika hayo Kijiji Jirani, Nyie mnaanza jiandaa na kama mwenyekiti hata Wakaribisha hao watu au kuchangisha hizo pesha kila kaya naye Anajumuishwa kwenye Kundi moja la Wachawi !

Kuna vitu vya Ajabu sana Vinafanyika mpaka nimeshikwa na Butwaa. Nimeuliza nikaambiwa Serikali Ndio Imeruhusu hili Lifanyike Mkoa mzima kweli?

Mbona Sioni Dodoma na Mbeya Kwanini Kigoma?

Kwasasa zoezi limepamba Moto Vijiji vya Nyarubanda, Kalinzi, Mukigo, Muhinda, Nyaruboza, Rukoma, Igalula, Mgambo, Katumbi, Kalya Nk.

Huko kumechafukwa hali ni mbaya na lisipofanyiwa kazi na kuacha litaleta shida kwa watu

Pia soma
- Mfahamu 'Kamchape' mkamata wachawi na shughuli zake kwa ujumla kutokea hapa Mkoani Kigoma
Neema ya Mungu iwakomboe
 
Ni kweli waafrika tunaamini sana hayo mambo....

Ila.....

Si sahihi kwa mazoezi hayo kufanyika kwa LAZIMA NA NGUVU....hivi hatuoni ni kuhatarisha amani ?!!!

Hivi hao waitwao "wachawi" wanafanya hadharani na kuonekana ?!!!

Ujinga mzigo
 
Dah masanga jamani, Mimi ni product ya huko sema tu hivyo enzi nakuja huko kijiwe ilikuwa just in town ipo njia ya airport sijui Kama bado IPO na kule mlimani mesi kule kilimahewa
Milimani mesi imeshapita hiyo, njia ya airport kwenda mwasenga ipo kifupi kigoma ni Ile Ile tu
 
Mbona wananchi wana support? Wewe kama Baba yako kakutwa na UCHAWI mwambie aache.
Hao raia wanajua tamaduni zao Acha kazi ifanyike.
Kuna vijiji hata watishi wa umma wanakimbia sababu ya UCHAWI, Sasa Acha kudafishwe maisha yaendelee
 
Sawa....

Uchawi kweli upo....binafsi ninaamini hayo....

Ila "operations" hizo zinaweza hata kuingiza na wasiohusika kabisaaaa......

Chuki na visasi vinaweza kutumika kudhalilisha na kuumiza wengine....

Hivi kila RAMLI inayopigwa na mganga akiwa "sober" ama akiwa na "walimu vichwani" ni SAHIHI 100%?!!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]
 
Upuuzi huu niliwahi kuuona ukifanyika vijiji fulani moshi vijijini ukanda wa chini. Sikukubaliana nao kuchanga pesa kwa ajili ya kutoa uchawi kwenye nyumba za wanakijiji. Mbaya zaidi wanakijiji walichanga ili uchawi utolewe kwenye shule yao. Waliingia hadi ofisi ya mkuu wa shele wakidai bosi wetu ni mshirikina kuna uchawi kauhifadhi ofisini kwake na nje ya shule kachimbia uchawi hivyo ufukuliwe. Wenye akili hatukumuogopa huyo mganga tuliishia kumcheka kwa maigizo yake kuwa amefukua jini na kuanza kufukuzana nalo eti alikamate na kuliteketeza kwa madawa yake. Uongo mtupu wajinga wanadanganywa kwa kukosa elimu
Wewe unatakiwa uende Kigoma ukavione 'VITIMBA Original! 😱
... Wenzio tuliwahi kunyolewa, kichawi, basi zima pale tulipolazimika kulala kwa dharura huko Kasulu! ... CHEZEA KIGOMA WEWE? 😅
 
Nchi hii ina wajinga wengi sana

Kwa mwendo huu wazawa matajiri wataendelea kuwa wachaga tu milele.

Moshi ama uchagani huyo mganga angechapwa viboko na kila kaya ambayo angeenda kuomba hiyo buku 5.

Mganga wa kienyeji hana nafasi uchagani
Acha kutulongofya! 😅 ... hapa Dar wanaoongoza kujazana kwa Mwamposa ni WACHAGA hawa wa City wanaohesabiwa kuwa WASOMI! 😅
 
Kwa speed hii sidhani kama Zitto na Bi Sandra watarudi kawao, wakiogopa kukamatwa na kuwekwa hadharani
 
Sasa mkuu ukikaa ukifikiriaaa Unadhani unaakili kuliko viongozi wa huko Kigoma na watu wao?yaani watu zaidi ya elfu 2 wanaoujua mkoa wao nje ndani kuwa umejaa wachawi,wanatafuta solution unawaona mazuzu?Hujalogwa ww.
 
Mm naona Hilo jambo liendelee....Kule Kuna Imani za kishirikina sanaa....Kuna Vizika wazima...Kuna jamii Kule Huwa hawarudigi kwao.... kwenye mtiani wa form 6 Kuna jamaa mmoja wa Kigoma gafla akaanza kuanguka mapepo miaka 20 iliyo pita...

Yaan alifanya mitiani Kwa mbinde mapepo hayataki asome......

Hii ardhi hii imebeba mengi yaan acha tu.....DUNIA INA MAMBO KAMA WASEMAVYO WATU PORI...
Una prove vipi izo imani mzee? Jamii zinazo jadili Uchawi na Ushirikina na Jamii za Kimasikini
 
Utapeli mtupu
Nimecheka sanaa Kuna bwana mmoja dereva wa bajaji alikamatwa na traffic 🚦 wakawa wanaelekezana jamaa akawa kaandikiwa fainí.....JAMAA AKACHOTA UNYAYO WA TRAFFIC NAKUWEKA KWENYE LESSO🤣🤣😂😂
Traffic kuona vile akamfuata ukaibuka ugomvi mkubwa wa maungoni trafick anataka ule mchanga jamaa anasema hajachukua chochote mpaka mkubwa wa trafick alikua anapita akawaona akaenda kusuluisha...
 
Back
Top Bottom