Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nayo KaliMila za kitoto na za Kijinga...! Sema watu wengine wana Amini vitu usivyoamini....!
Kuna Nchi kama South Africa, unakuta wanaamini uwepo wa Mungu, wanasali na kuomba kwa namna yao, lakini hawaamini kuhusu Yesu, na wana sababu zao wakikupa unabaki kusema kila mtu wacha aamini anachoamini.
Mfano huwa wanaomba kwa Mungu kupitia Mizimu yao, ukiwauliza kwa nini wanachanganya mizimu na Mungu, wanakwambia Yesu mwenyewe ni Mzimu, aliishi na kufa zamani, kwa nini nimtumie Yesu kumfikia Mungu, wakati nina Ndugu zangu walishatangulia...!?
Mila za kitoto na za Kijinga...! Sema watu wengine wana Amini vitu usivyoamini....!
Kuna Nchi kama South Africa, unakuta wanaamini uwepo wa Mungu, wanasali na kuomba kwa namna yao, lakini hawaamini kuhusu Yesu, na wana sababu zao wakikupa unabaki kusema kila mtu wacha aamini anachoamini.
Mfano huwa wanaomba kwa Mungu kupitia Mizimu yao, ukiwauliza kwa nini wanachanganya mizimu na Mungu, wanakwambia Yesu mwenyewe ni Mzimu, aliishi na kufa zamani, kwa nini nimtumie Yesu kumfikia Mungu, wakati nina Ndugu zangu walishatangulia...!?
Just because unaamini doesn't mean sio ujinga. We ukiamini mapepo na mizimu while tunajua it ain't real ..we ni mjinga tu..Mila za kitoto na za Kijinga...! Sema watu wengine wana Amini vitu usivyoamini....!
Kuna Nchi kama South Africa, unakuta wanaamini uwepo wa Mungu, wanasali na kuomba kwa namna yao, lakini hawaamini kuhusu Yesu, na wana sababu zao wakikupa unabaki kusema kila mtu wacha aamini anachoamini.
Mfano huwa wanaomba kwa Mungu kupitia Mizimu yao, ukiwauliza kwa nini wanachanganya mizimu na Mungu, wanakwambia Yesu mwenyewe ni Mzimu, aliishi na kufa zamani, kwa nini nimtumie Yesu kumfikia Mungu, wakati nina Ndugu zangu walishatangulia...!?
Sasa kama unaishi Dunia hii tunayoishi sote, na unasema Mizimu na Mapepo ni Vitu ambavyo havipo...!Just because unaamini doesn't mean sio ujinga. We ukiamini mapepo na mizimu while tunajua it ain't real ..we ni mjinga tu..
Unadhani Faki hakusaidia kwa kupunguza uchawi hasa vijiji vya Ndengele na mbamba-bay?unafahamu kuwa huku kila alipata mafanikio nje alikuwa akija likizo akiondoka anarudi na kiatu cha mbao?Iliwahi kutokea huko Ruvuma miaka kama 5 iliyopita. Kuna dogo mmoja alikuwa anaitwa Faki ndiye aliyekuwa mganga wa kuumbua wachawi (kama wajinga wanavyoamini). Gharama kila kaya ilikuwa tsh 5000. Asiyetaka kutoa alipigwa au kunyang'anywa kitu cha thamani ya 5000 au zaidi. Ulikuwa ni wakati mgumu sana kwa wasioyataka mambo hayo walokole na wengine. Mkuu wa mkoa wa wakati huo ndg Saidi Mwambungu aliokoa jahazi kwa kuzuia. Mabomu ya mchozi yalihusika ...
Uchawi wa kisenge sana. Mchawi anaweza kukukwamisha kimaisha kwa wivu tu wa kipuuzi bila sababu yeyote anakufungia maisha yako yasiendelee.Wewe fata Mambo yako....!
Waha leo Dar es salaam, ni Wafanyabiashara Wakubwa, Matajiri, lakini hawajengi kwao, watu wanaogopa hata kwenda kusalimia kwao Kigoma....!
Uchawi upo na Mchawi sio Mtu mzuri, kama huamini kuwa Uchawi upo wewe endelea na mambo yako, aijuae Siri ya Mtungi ni Kata...!
Unafiki wa Watanzania, kujifanya kuusikia kuhusu Uchawi Jamii forums...!
Vitabu vya Dini vinatambua Uchawi upo.... Hutaki unaacha....!
Aliekwambia mjini uchawi hamna nani. Nenda Tabata Kisukuru kaone maeneo yale palivyodumaa halafu ufananishe na maeneo kama Tabata Segerea na Kinyerezi.Mi nilishasemaga, uchawi na ushirikina ni direct proportional na umaskini na ujinga. Vitu kama hizi huwezi ona mjini coz watu wanajielewa
Wachawi wana haha sana hasa wenye bibi zao Kigoma huko 🤣Naona wachawi wanaruka na kukanyagana...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku zote serikali inadai haiamini wala kujishughulisha na ushirikina, licha ya viongozi wengi kuaminika ni washirikina.Waziri Mpya wa TAMISEMI atawakomesha ma RC and DC wanao ruhusu huu ujinga
Hahahahaha. Sawa mkuu, naheshimu mawazo yako. Hao wote uliowataja nawafahamu pamoja na huyo marehemu ambaye alikuwa askofu wa kanisa jipya la mitume wakati huo.Unadhani Faki hakusaidia kwa kupunguza uchawi hasa vijiji vya Ndengele na mbamba-bay?unafahamu kuwa huku kila alipata mafanikio nje alikuwa akija likizo akiondoka anarudi na kiatu cha mbao?
Unamjua mzee Miale wa mbamba-bay sàsa ni marehemu alivyoua familia yake mpaka watoto wakamkimbia na wengine walirufi baada ya kufariki,Mzee Yusufu na Chimndala ?tusijifanye kuamini uchawi upo wakati sisi wenyewe ndio wachawi na hatuishi kwa waganga na kupeleka kuku weusi na weupe .
Mimi namkubali sana MSHANA JR na YERICCO NYERERE maana wapo wazi kabisa kuhusu mambo haya
Hahahahaha.Uchawi wa kisenge sana. Mchawi anaweza kukukwamisha kimaisha kwa wivu tu wa kipuuzi bila sababu yeyote anakufungia maisha yako yasiendelee.
😂😂😂😂Okay uwepo wa Mungu utasema cjui jua sijui chupi imetokea wapi...so tuachane na hayo...una ushahidi gani wa mapepo kuwepo au mizimu kuwepo. Leta ushahidi unaoeleweka sio story za bibi yako Kijiji ambacho mtu mwenye elimu kaishia la Saba....Sasa kama unaishi Dunia hii tunayoishi sote, na unasema Mizimu na Mapepo ni Vitu ambavyo havipo...!
Wewe ndo utakua Mjinga wa Mwisho..!
Kutoamini jambo flani, haimaanishi kwamba halipo...! Na wala haikufanyi kuwa una akili Nyingi...!
Wapo Vilaza wengi wanaamini unavyoamini, na wengine wameenda Mbali hawaamini uwepo wa Mungu....! Ni Upunguani tu kuamini vile unavyoamini ndo kukufanya wewe kujiona una Akili.
😂😂😂😂So uchawi unachagua sehemu yenye watu maskini na wajinga au sioAliekwambia mjini uchawi hamna nani. Nenda Tabata Kisukuru kaone maeneo yale palivyodumaa halafu ufananishe na maeneo kama Tabata Segerea na Kinyerezi.
Taja jina lake la diniManyaunyau aliishia wapi?
Na miaka 20 ijayo wanaweza kuendelea kuwa wanatoa uchawi.Kikwete Aliahidi Kigoma Kuwa Kama Dubai Leo Bado Wanatoa Uchawi
Utapeli mtupuMm naona Hilo jambo liendelee....Kule Kuna Imani za kishirikina sanaa....Kuna Vizika wazima...Kuna jamii Kule Huwa hawarudigi kwao.... kwenye mtiani wa form 6 Kuna jamaa mmoja wa Kigoma gafla akaanza kuanguka mapepo miaka 20 iliyo pita...
Yaan alifanya mitiani Kwa mbinde mapepo hayataki asome......
Hii ardhi hii imebeba mengi yaan acha tu.....DUNIA INA MAMBO KAMA WASEMAVYO WATU PORI...