Kinachoendelea Msumbiji, magaidi na Jeshi - Part 3

Nyie si mpo busy kusema mama anaupiga mwingi?
 
Nikipongeze sana.
Tanzania ilipoteza fursa wa kuwa baba wa ulinzi na Usalama wa nchi za kusini mwa Afrika baada ya upigania uhuru ambao sehemu kubwa ulikuwa unaasisiwa Tanzania. Iltakiwa ibadilike kuwa wafadhili wa wapigania uhuru na kuwa mshauri na mkoloni wa mambo ya kiulinzi ambayo yangeipeleka kunufaika na nchi hizi ambazo hazina umoja wa kitaifa au ukosefu wa uongozi.
Sasa Rwanda anachykua fursa hii kwa lengo la kujinufaisha. Kama hatadhibitiwa na Tanzania kwa haraka sana madhara ya utengenezaji wa vikundi vya kihaini kama anavyofanya DRC na sasa huebda Msumbiji atafanya Tz lengo lake ni kujipatia mali kutoka nchi hizo.
Kifupi PK must be quenched
 
Rwanda hata usipomwomba anakuja kukuomba yeye mwenyewe. Rejelea sakata la Benini na mipaka yake ya Burkina Faso.
SAsa hapo kosa lake ni lipi kaka? Maana kama Tanzania ingekua bado na ile diplomatic influence iliokuaga nayo miaka yoote, trust me Nyusi asingeshindwa kutu consult kwanza sisi kwa kuheshim mipaka yetu kabla hajaingiza jesho la nchi ambayo ana uhakika kabisa tunahasimiana nayo huko Drc.
Yan leo hii viatu vya akina Mahiga anavaaa mtu mjinga mjinga kama February unategemea haya yasitokee??
 
Ingalikuwa hivyo, Raisi wa DRC asingeomba majeshi ya MONUSCO na yale ya EACRF yaondoke katika nchi yake ili awakaribishe SADC ambayo Tanzania imo ndani yake kwakuwa anawaamini zaidi.
Hapa point ni moja tu mpaka kuiamini Sadc, Tanzania ana upper hand katika ushawish kuliko Rwanda when it comes to Drc issues.

And the vice versa has applied on Mozambique matter, Tz kapoteza kabisa ule ushawishi aliopaswa kuwa nao. RWANDA wametupoka hii fursa. Tujijkize hapo, what ia going on???
 
Nikipongeze sana.
Tanzania ilipoteza fursa wa kuwa baba wa ulinzi na Usalama wa nchi za kusini mwa Afrika baada ya upigania uhuru ambao sehemu kubwa ulikuwa unaasisiwa Tanzania.
hii ni point ya msingi chief.
Sasa Rwanda anachykua fursa hii kwa lengo la kujinufaisha.
Exactly na mimi ndicho najaribu kukisema hapa kwa SteveMollel
Kama hatadhibitiwa na Tanzania kwa haraka sana madhara ya utengenezaji wa vikundi vya kihaini kama anavyofanya DRC na sasa huebda Msumbiji atafanya Tz lengo lake ni kujipatia mali kutoka nchi hizo.
Kifupi PK must be quenched
UMemaliza kila kitu mkuu
 
An
Andiko kama hili kukosa hata views milioni Moja linaakisi upeo wa akili zetu tulivyo mabombonya!
 
Hakuna wa kumzuia Kagame
Nyie endeleeni kuvunja matofari
Kwa mwendo hakuna kamanda, nakubaliana na wewe. Namchukia huyu jamaa lakini kwakwel anatumia akil sana.
Wakat wengine tuna deal na petty issues, yeye ana focus na big stuffs. Acha achanje mbuga ru, mpaka siku tunakuja kushtuka, tulisha chelewa kitambooo
 
Sure. Tanzania ilishindwa kubadilika kadiri dunia inavyobadilika huenda hadi sasa inawaza upigania uhuru, ilitakiwa ibadilike baada ya nchi hizi kuwa huru iwe mnufaika na wa kuaminiwa. Leo USA anatumia nguvu ili abaki world policeman. Liko tatizo . Na hii ndioutajua hatujui nini hasa hitaji la dunia kwa sasa, mfano tuna sera ya ujamaa lkn hatuuishi ujamaa wala miko yake. PK uko smart kwa ajili ya huo mkoa wa Rwanda, kwanini tusimfanyie counter na ku take over?
 
Conclusively,
1. Kagame kama mdau mmoja alivyosema awali ni baba anayetafutia watoto wake chakula kwa hali mali ukizingatia uchache wa rasilimali wa nchi yake. Any opportunity presented he dares to exploit.

2. Kinachotokea ni kutengeneza chaos, kuitatua kisha kuleta order. Mgogoro ni wa kutengenezwa. Wakachora ramani watu gani waingie kama antagonist kulingana na mazingira husika. Kadi ikaanguka kutengeneza radicals wa kiislamu. Wakatengeneza hao radicals kwa mwamvuli wa dini na vijana kutokana na shule duni, ugumu wa maisha ni rahisi kuwa brainwash na kuwa recruit.

3. Serikali ya kihuni ya Msumbiji inajua na imeshiriki kikamilifu katika hatua zote.

4. Baraka za wakubwa wa ulimwengu zimejaa za kutosha kufanikisha mipango na washiriki wote kupata mgao wao kikamilifu.
 
Jesbi letu lina ueledi wa kutosha sana kuliko la PK hiyo ni uhakika wa zaidi 200% tatizo ni uongozi na malengo.
Ukweli Tz hawezi japo ana watu wengi hata ndani ya maeneo muhimu lkn akiendelea ku distablize nchi zinazotuzunguka ata tu distablize hata sisi piana kutu weaken. Mfano DRC tunapeleka jeshi, anaenda Msumbiji tunapeleka jeshi, aje nchi jirani nyingine tunapeleka jeshi. Why? Kwanini tusijue source ya uhaini wa kivitani sponsor ni nanina kushughulika na source?. Tunao uwezo wa kuwa Msumbiji , DRC na maeneo mengine kwenye sehemu muhimu za kupata taarifa sahihi .njia hii pia inafanya awe na influence kwa kuongewa sanaaaa ili kuaminiwa kuwa anao uwezo hii ni trick pia. Vyombo vya usalama Tz fanyeni kitu tunawaamini sana hususani MI na TISS na vile ambavyo havijawahi kujulikana na wengine ambavyo ni upper hand ya nchi yetuna tunajivunia
 
Kumbe Boko Haram bado wapo? Nina muda siwasikii ama wamedhibitiwa?
 
Aisee! Inaonekana Rwanda wako njema sana kwenye jeshi lao, sisi jeshi letu sijui kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…