Kinachoendelea Msumbiji, magaidi na Jeshi - Part 3

SteveMollel shusha story kuna sehemu nimepaelewa sana ukishusha itakua tamu sana sehemu ya 4
 
Kumbe Boko Haram bado wapo? Nina muda siwasikii ama wamedhibitiwa?
Nguvu ya Boko Haram imepungua baada ya kugawanyika na kutengeneza makundi madogo madogo yanayopambana yenyewe kwa yenyewe kwa kutofautiana itikadi na maono, mfano kundi la ISWAP.

Waliamini Shekau anatoka kwenye mstari na yampasa kudhibitiwa.

Mapambano yao ndo' yakapelekea kujeruhiwa kwa Shekau na hata pia kifo chake.
 
Upo sahihi kabisa, ilipaswa hiyo Burundi na Rwanda iwe mikoa ya Tanganyika kisha huko kusini Cabo Delgado na Niassa irudishwe mikononi mwa Tanganyika maana hapo awali hiyo ilikuwa sehemu ya Tanganyika. Ila sasa angalia viongozi wako. Hii nchi ina viongozi wa hovyo sana, inasikitisha!
 
Nadhani alifanya kipindi cha JPM nadhani hawakufikia muafaka baina yao, saizi kuna huyu mzurulaji ata kama ni wewe utamwambia nini?
 
Kaka upo vizuri pia tuandalie makala mpya tuenjoy
 
Magaidi wanajua demoracia?
 
Mambo haya hayapendwi sana, mkuu. Sisi tunataka umbea wa mastaa.
Shusha sehemu ya 4 kuna Ile sehemu ya zile barua za wanajeshi wa Rwanda na picha zao Fb pale kuna kiulizo bado ukiweza fukua fukua zaidi utuletee kilichokua kinasababisha wanakufa ni nini? Kwanini kabla ya kufa walikua wanaandika zile barua za KUACHIA password za Bank?
 
Nitakapopata wasaa, nitaendelea tena kaka japo kuna za sehemu zingine zinaningoja kupost.
 
Imeisha hiyo..
Kwa hili swala tumezingua sana kama nchi usalama wa hayo maeneo ni muhimu sana kwa amani yetu kama nchi.
 
Nafikiri, JW washamsoma PK Muda mrefu sn na wanajua nani yupo nyuma yake ( western countries), wanajeshi wa PK Wana vifaa vingi sn vya kisasa, KP anaiba madini mengi sn DRC na kuwapa watu wa western ili wamsapoti na kumkingia kifua ( hapa amepata Kwa kujificha), bahati mzuri Russia hayupo sn nchi za Africa Nina uhakika angekuwa DRC , TZ au msumbiji angempiga mapema sn kama anachofanya Ukraine.

PK si wakumuingia hovyo anaweza kukuharibia kabisa nchi au ukaingia ktk vita isiyoisha, hapa anayetafutwa ili adhoofike ni TZ na JW wanalijua hilo, kugunduliwa Kwa gas mtwara na Lindi ni target Yao kubwa sn.

JW wabaki msumbiji hii itawasaidia kujua mbinu zote za PK ili asiwafundishe (magaidi) na kuwapa silaha ili kutusumbua na pia wabaki mipakani na silaha nzito kwa kulinda na kutoa support.

NB: siku tukisikia majeshi ya TZ yanafukuzwa msumbiji na utawala wa msumbiji, silaha nzito hasa zipelekwe mipakani maana ambush inaweza Anza Muda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…