SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifikiri watu wote ni wajinga wajingaUnatoa comments kutokana na msukumo fulani fulani uliopo nje ya uwezo wako. Isipokuwa tambua tu kwamba Mimi Ninatoa Maoni yangu hapa nikiwa na moyo thabiti kabisa wenye nia njema kwa nchi hii ili tusije kuingia kwenye shimo ambalo hatutaweza kujinasua endapo kama tutatumbukia humo.
Aidha, Mimi siyo Mwislamu Wala sina maslahi yoyote yale huko kwenye dini hiyo ambayo inanasinishwa na hao Wapiganaji wa huko Msumbiji.
Nimetoa Maoni yangu haya nikiwa ni mtu mwenye mitizamo na fikra huru kabisa, ambapo sijaegemea upande wowote usiostahili, Bali ni kueleza ukweli na uhalisia wa mambo jinsi yalivyo.
I think you have a short-sighted mind.Huyo mhuni anaandika kwa code
Kenya walilipwa pesa nyingi sana sio bure na Walijua risk zote, ulitaka wasiende kwa kuogopa retaliation ya Al shabab?Hoja yako haina mashiko hata kidogo.
Je, unakijua kitu au sababu iliyoiponza Kenya kuhusiana na mashambulizi ya kigaidi kutoka kwa Al-Shabaab???
Ugadi biashara kama biashara zingine tu hakuna cha ugaidi wala nn jiulize silaha wanapata wapi na nguvuUwa sielewagi dhumuni la magaidi.
Nakupa pole sana.Usifikiri watu wote ni wajinga wajinga
Hizi akili mnatoaga wapi na Rwanda aivamie Tanzania kwa nini? ndio maana CCM wanajipigia wanavyotakaTuongeze nguvu kubwa sana huko kusini na usisahau mission za jeshi la Rwanda hua ni hatari wanaweza kupeleka hata kikosi cha siri kikawatrain magaidi au renamo wakapewa na vifaa wakatuvamia mchana kweupe lazima tukae tayari
Hakuna unachojua mkondo wa kidunia sasa umebadilikaHizi akili mnatoaga wapi na Rwanda aivamie Tanzania kwa nini? ndio maana CCM wanajipigia wanavyotaka
Kagame hana akili ya kipuuzi kama nyie na mobutu, anajielewa kuliko hata westernersMa
Ugadi biashara kama biashara zingine tu hakuna cha ugaidi wala nn jiulize silaha wanapata wapi na nguvu
...hizo agenda zilishapangwa na western leaders kwa ajili ya kudhoofisha Africa walikuwa wanamtumia Mobutu sasa hivi Kagame
Tutazidi kupoteza makamanda wetu na hakuna faida yoyote tunayoipata. Hii nguvu tuliyopeleka huko tungeipunguza tukaimarisha usalama wa mipaka yetu.Jeshi la Tanzania litaendelea kubaki huko hata pale wengine wa SADC watakapokuwa wamejiondoa.
Sio mtanzania. Ni mgeni. Yupo JF kwa kazi maalumu.Usifikiri watu wote ni wajinga wajinga
Code zake zinasomeka vizuri ?Sio mtanzania. Ni mgeni. Yupo JF kwa kazi maalumu.
Ni kweli mikoa ya mipakani huko Kusini haiko salama sana kutokana na Mgogoro wa huko Msumbiji. Jeshi letu linapaswa kuongeza nguvu nyingi zaidi kwenye upande huo ili kuimarisha ulinzi.Tz kusini haiko salama,vyombo vya habari nafikiri hawaruhudiwi kutangaza sana hili lakini hapako salama haswa mpaka na msumbiji inaniuma sana.
Tunajeshi Bora sana naliamini(JW),wapo Kule wanajitahidi lakini naona Badoo..Cha kufanya waongezwe zaidi,hakuna maana mwanajeshi akae Bariadi,misungwi,Mlowo au Handeni bila jukumu la maana wakati huko kusini panahitaji nguvu zake.Tulinde taifa letu hususani raia wake kwa garama yoyote.
Wakiingia Tanzania magaidi, nina mashaka TZ nayo itakwemda kuomba msaada wa kijeshi Rwanda.magaidi watadhibitiwa msumbiji na watahamia Tanzania hili linawezekana