Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Mnyetishaji wangu mmoja ameniambia hili.
Kuna mijadala mikali inaendelea Serikalini. Kuna watu wanataka kwenda kufukua sehemu fulani ya kubumba ili kuendeza propaganda kuwa taarifa ya CNN haiko sawa.
Hofu kuu iliyopo ni kuwa hata wakitafuta eneo kusema wafukue bado Wananchi watauliza ndugu zetu wapo wapi? Kuna wengine tuliwapeleka mochwari tumeambiwa miili haipo. Kuna wengine tuliwapeleka wakiwa wamejeruhiwa ila hawapo hospitali na hawapo mochwari.
Kwa kifupi ni kwamba safari hii Samuya ameyakanyaga. Hakuna anachoshika kinaenda sawa. Kila ovu alilofanya na watu wake linawarudia.
Nimeelezwa pia watu wana Satelite images za maeneo hadi Mabwepande, Bagamoyo, Tanga, Kibiti, Mkuranga na kwingineko ambapo miili ilipekewa kuzikwa.