PostGE2025 Kinachoendelea Serikalini Muda huu. Tukisema tukafukue kusema hakuna miili wananchi watauliza mmewaweka wapi ndugu zetu?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hayo ni mawazo yako ya kinyumbu umekaa ukajitungia stori za kipuuzi, nyumbu wezi na waharibifu wa mali kifo walistahili kukipata wala hakuna majuto katika hilo.

Majuto ni kwa watu waliouwawa kwa bahati mbaya ambao hawakushiriki harakati zozote za hao nyumbu.
Umelaaniwa wewe na siku ukiona msiba mlangoni mwako uliosababishwa na wachumia tumbo ndio utaelewa nacho maanisha,muda ni rafiki mzuri mark my word.
 
Hayo ni mawazo yako ya kinyumbu umekaa ukajitungia stori za kipuuzi, nyumbu wezi na waharibifu wa mali kifo walistahili kukipata wala hakuna majuto katika hilo.

Majuto ni kwa watu waliouwawa kwa bahati mbaya ambao hawakushiriki harakati zozote za hao nyumbu.
Mili haionekani mochwari,kwahiyo mmeipeleka wapi?
 
Mnyetishaji wangu mmoja ameniambia hili.

Kuna mijadala mikali inaendelea Serikalini. Kuna watu wanataka kwenda kufukua sehemu fulani ya kubumba ili kuendeza propaganda kuwa taarifa ya CNN haiko sawa.

Hofu kuu iliyopo ni kuwa hata wakitafuta eneo kusema wafukue bado Wananchi watauliza ndugu zetu wapo wapi? Kuna wengine tuliwapeleka mochwari tumeambiwa miili haipo. Kuna wengine tuliwapeleka wakiwa wamejeruhiwa ila hawapo hospitali na hawapo mochwari.

Kwa kifupi ni kwamba safari hii Samuya ameyakanyaga. Hakuna anachoshika kinaenda sawa. Kila ovu alilofanya na watu wake linawarudia.

Nimeelezwa pia watu wana Satelite images za maeneo hadi Mabwepande, Bagamoyo, Tanga, Kibiti, Mkuranga na kwingineko ambapo miili ilipekewa kuzikwa.
watu washatega camera maeneo yote yale kuna mtu kanitonya
 
WAZALENDO WAFANYE KITU MAANA JAMAA...

KAZIDI MIZAHA, MAUDHII, KEJERI NA KUKOSA UTU...

IFIKE MUDA MELO ATOE NYWILA ZA WATU WA AINA HII ILI TUWAJUE NA IKIWEZEKANA WATUAMBIE VIZURI NI KIPI KINAFANYA WA KEJERI, KUITA WENGINE NYUMBU E.T.C

WITO IFIKE MUDA WATU WA AINA HII SURA ZAO ZIWEKWE WAZI TUWAJUE..

Cc. Lamomy

@min_me , kaka sikuoni jukwaani muda Sasa gurudumu la pombe umeniachia peke angu..

secretarybird kama una taarifa za mdogo angu Monetary doctor yupo kimya sana pia utanambia
Dr manyau nyau upo? 😹

Huyo lucha ana ugomvi na Mungu kwa kutoa marinda yake, kujibizana naye ni kujiingiza kwenye chain ya laana..!!
 
Siku IZIII silichukii jina nipo na tungurii zangu hapa 😄

nafurahi kukuona hapa tupo pamoja..

Huyo LUCHA ni wa kupuuzwa maana kilicho fanyika ni crimes against humanity sio kitu cha kuleta masiala..
 
WAZALENDO WAFANYE KITU MAANA JAMAA...

KAZIDI MIZAHA, MAUDHII, KEJERI NA KUKOSA UTU...

IFIKE MUDA MELO ATOE NYWILA ZA WATU WA AINA HII ILI TUWAJUE NA IKIWEZEKANA WATUAMBIE VIZURI NI KIPI KINAFANYA WA KEJERI, KUITA WENGINE NYUMBU E.T.C

WITO IFIKE MUDA WATU WA AINA HII SURA ZAO ZIWEKWE WAZI TUWAJUE..

Cc. Lamomy

@min_me , kaka sikuoni jukwaani muda Sasa gurudumu la pombe umeniachia peke angu..

secretarybird kama una taarifa za mdogo angu Monetary doctor yupo kimya sana pia utanambia
Monetary doctor yuko salama, anasubiri JF ifunguliwe tarehe 6 December.
 
Kuna mtu ndugu yake alikufa kwa TB, wakapeleka mortuary, baada ya vurugu hawajamkuta!
Asilimia 75 ya maiti zilizokuwa mochwari kati ya tarehe 29-31 Oktoba 2025 kwenye mikoa ya Dar, Geita, Mwanza, Songwe, Mbeya, Iringa na Arusha ilizikwa kwenye makaburi ya pamoja au kwenda kutupwa kwenyw vichaka na mapori iliwe na wanyama au kwenye mito na bahari iliwe na mamba na samaki
 
WAZALENDO WAFANYE KITU MAANA JAMAA...

KAZIDI MIZAHA, MAUDHII, KEJERI NA KUKOSA UTU...

IFIKE MUDA MELO ATOE NYWILA ZA WATU WA AINA HII ILI TUWAJUE NA IKIWEZEKANA WATUAMBIE VIZURI NI KIPI KINAFANYA WA KEJERI, KUITA WENGINE NYUMBU E.T.C

WITO IFIKE MUDA WATU WA AINA HII SURA ZAO ZIWEKWE WAZI TUWAJUE..

Cc. Lamomy

@min_me , kaka sikuoni jukwaani muda Sasa gurudumu la pombe umeniachia peke angu..

secretarybird kama una taarifa za mdogo angu Monetary doctor yupo kimya sana pia utanambia
Kaka angu bro Alex, ndie mtu pekee alienikaribisha vizuri humu labda huenda watu walikua wanafananisha majina yetu wakidai ni mtu mmoja ndo mana alini Fanya rafiki yake, jamaa anapenda fujo sana, sizani kama October ilimuacha salama
 
Back
Top Bottom