Alex khalifa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2025
- 278
- 516
Kaka huyo jamaa Huwa simjibu, nilijibishanana NAE mara ya kwanza badae nikampuuzia Alisha wahi kusema humu jjf ye ndo mzuri kuliko member wote ilihali avatar kaweka picha ya Neymar jr mbrazil nikamwambia aweke yake, asimuaibishe Neymar, upinde boy huyoKila mwenye kujitambua ampe ignore uyu mjinga ,hakuna mda wa kujibizana na wajinga, sie wahanga wa 29 Oct ,tumevurugwa, wenda hata mie vijana wangu wako huko, unakaribia mwezi sasa hata usingizi hauji, kilo zinatushuka tu, ila wengine ndo wapo wanafurahia teuzi batili.
Hapata aisee malipo ni hapahapa duniani mbiguni ni hesabu,
Napendekeza yoyote anaetetea mauaji haya awe anajiweka wazi tu, jina , wapi anakaa au anaishi, tutamuona jasiri sana