PostGE2025 Kinachoendelea Serikalini Muda huu. Tukisema tukafukue kusema hakuna miili wananchi watauliza mmewaweka wapi ndugu zetu?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Umelaaniwa wewe na siku ukiona msiba mlangoni mwako uliosababishwa na wachumia tumbo ndio utaelewa nacho maanisha,muda ni rafiki mzuri mark my word.
 
Mili haionekani mochwari,kwahiyo mmeipeleka wapi?
 
watu washatega camera maeneo yote yale kuna mtu kanitonya
 
Dr manyau nyau upo? 😹

Huyo lucha ana ugomvi na Mungu kwa kutoa marinda yake, kujibizana naye ni kujiingiza kwenye chain ya laana..!!
 
Dr manyau nyau upo? 😹

Huyo lucha ana ugomvi na Mungu kwa kutoa marinda yake, kujibizana naye ni kujiingiza kwenye chain ya laana..!!
Siku IZIII silichukii jina nipo na tungurii zangu hapa 😄

nafurahi kukuona hapa tupo pamoja..

Huyo LUCHA ni wa kupuuzwa maana kilicho fanyika ni crimes against humanity sio kitu cha kuleta masiala..
 
Monetary doctor yuko salama, anasubiri JF ifunguliwe tarehe 6 December.
 
Kuna mtu ndugu yake alikufa kwa TB, wakapeleka mortuary, baada ya vurugu hawajamkuta!
Asilimia 75 ya maiti zilizokuwa mochwari kati ya tarehe 29-31 Oktoba 2025 kwenye mikoa ya Dar, Geita, Mwanza, Songwe, Mbeya, Iringa na Arusha ilizikwa kwenye makaburi ya pamoja au kwenda kutupwa kwenyw vichaka na mapori iliwe na wanyama au kwenye mito na bahari iliwe na mamba na samaki
 
Kaka angu bro Alex, ndie mtu pekee alienikaribisha vizuri humu labda huenda watu walikua wanafananisha majina yetu wakidai ni mtu mmoja ndo mana alini Fanya rafiki yake, jamaa anapenda fujo sana, sizani kama October ilimuacha salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…