Alex khalifa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2025
- 278
- 516
Kaka huyo jamaa Huwa simjibu, nilijibishanana NAE mara ya kwanza badae nikampuuzia Alisha wahi kusema humu jjf ye ndo mzuri kuliko member wote ilihali avatar kaweka picha ya Neymar jr mbrazil nikamwambia aweke yake, asimuaibishe Neymar, upinde boy huyoKila mwenye kujitambua ampe ignore uyu mjinga ,hakuna mda wa kujibizana na wajinga, sie wahanga wa 29 Oct ,tumevurugwa, wenda hata mie vijana wangu wako huko, unakaribia mwezi sasa hata usingizi hauji, kilo zinatushuka tu, ila wengine ndo wapo wanafurahia teuzi batili.
Hapata aisee malipo ni hapahapa duniani mbiguni ni hesabu,
Napendekeza yoyote anaetetea mauaji haya awe anajiweka wazi tu, jina , wapi anakaa au anaishi, tutamuona jasiri sana
Hilo linatugusa watanganyika woteeeeeee Najiuliza siku iyo ninge enda KUNDUCHI ningerudi vipi ?! HomeZimeshafika mkuu.
Mi Niko safi japo naendelea kusikitika kwa kilichojiri na kinachoendelea Tanganyika.
AiseeeeKuna mtu ndugu yake alikufa kwa TB, wakapeleka mortuary, baada ya vurugu hawajamkuta!
Yote kwa yote tarehe 9 December tujitafutie uhuru wa kwele wa mtanganyika.Hilo linatugusa watanganyika woteeeeeee Najiuliza siku iyo ninge enda KUNDUCHI ningerudi vipi ?! Home
R.i.p watanganyika woteeeeeee walio poteza wapendwa WAO
Nipo bruh, habari ya nyumbn na familia pia ?WAZALENDO WAFANYE KITU MAANA JAMAA...
KAZIDI MIZAHA, MAUDHII, KEJERI NA KUKOSA UTU...
IFIKE MUDA MELO ATOE NYWILA ZA WATU WA AINA HII ILI TUWAJUE NA IKIWEZEKANA WATUAMBIE VIZURI NI KIPI KINAFANYA WA KEJERI, KUITA WENGINE NYUMBU E.T.C
WITO IFIKE MUDA WATU WA AINA HII SURA ZAO ZIWEKWE WAZI TUWAJUE..
Cc. Lamomy
@min_me , kaka sikuoni jukwaani muda Sasa gurudumu la pombe umeniachia peke angu..
secretarybird kama una taarifa za mdogo angu Monetary doctor yupo kimya sana pia utanambia
Nice to see you brother ☺️ unaendeleaje huko.Nipo bruh, habari ya nyumbn na familia pia ?
Salamu nimezipata kiongozi,
Nice to see you brother ☺️ unaendeleaje huko.Nipo bruh, habari ya nyumbn na familia pia ?
Salamu nimezipata kiongozi,
Nipo bruh , nipe maelekezo chiefNice to see you brother ☺️ unaendeleaje huko.
Ulipotea kaka si unajua now mtu akiwa kimya tunapata mashaka
uma bruhNice to see you brother ☺️ unaendeleaje huko.
Ulipotea kaka si unajua now mtu akiwa kimya tunapata mashaka
Upo kigamboni au mikocheni? Dawa ya njaa ni kupata msosi...usitukimbie hapa jukwaani...hope secretary ndege alifikisha Salam zangu..Hahaha nipo Mungu ni mwema aseeh,, njaa ina
uma bruh
Kwa hiyo Arusha International Conference Centre ataenda mwenyewe, Nchimbi na Nchemba wata saveSamia ameyatimba big time