Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule


Kuna kulipa ada na kuchangia gharama. Maua wanalipa kwa kuchangia 45%. Chunguza usiropoke.
 
Kuna kulipa ada na kuchangia gharama. Maua wanalipa kwa kuchangia 45%. Chunguza usiropoke.
Acha Upumbavu.. boya nini!? Nimekuuliza Maua Hawalipi a Ada!?.. ningekuwa najua si ningekwambia maua wanalipa!!Learn to listen..
 
Hivi umesoma ukaelewa?
Wanafunzi wote wanaosoma hapo 100% hawalipi ada wanalipiwa na wafadhili

Kodi inatoka wapi hapo.
 
Hiyo ni kazi ya TRA
Waseme wanadai nini na kwa misingi ipi
Kwa mujibu wa uongozi wa shule hawadaiwi chochote.

Shida ni kukataa kupeleka wanafunzi kwenye mkutano wa kampeni wa CCM.
 
Hebu Tusikie kutoka kwa ST. Jude alumni... Maana kwa mujibu wa Tovuti.. kuwapata wanafunzi 150kila mwaka they have to go through a rigorous selection process... From not only in Arusha but also different places across Tanzania.

Hawa wanufaika wako wapi waseme ni kweli hawalipi Ada!? Na wafanyakazi hawa 300+ waseme ni kweli they make an average of 1.6m a month in salaries!? Maana huko kwao charity donation zinakuwa deducted kwenye kodi zao..

Isije ikawa tunaaminishwa the spending is so high.. wakati they are making money back for running it as business in the backgrounds... Wakati huo huo wanaandika expenses kubwa wanapeleka kwao tunaonekana tumepokea misaada wanasamehewa kodi.. na wakati pesa zetu wenyewe..
 
Something is very wrong somewhere in Tanzania.
Charity works are prohibited.
Investments are prohibited.
Sending money there is prohibited.
Tanzania is doomed.

Since when is sending money prohibited?
 
Hivi umesoma ukaelewa?
Wanafunzi wote wanaosoma hapo 100% hawalipi ada wanalipiwa na wafadhili

Kodi inatoka wapi hapo.
Hifadhi ushoga wako. Nilichokupa ni fact. Na nimeifanyia kazi by 100%. Ndegelec
 
Kesi ni mda since 2009 unaweza google tra vs st Jude ukaelewa zaidi grounds za case kuna appeal ipo
 
Labda Kodi wanazongelea ni
payee
Sdl
Wcf
 
Acha Upumbavu.. boya nini!? Nimekuuliza Maua Hawalipi a Ada!?.. ningekuwa najua si ningekwambia maua wanalipa!!Learn to listen..
Huu ndio ushoga wenyewe. Nimekwambia Maua ni 45 by 55 mjinga wewe. Ndegelec ubongo gani huo?
 
Tanzania kila kitu kinawezekana. Mgonjwa Hsp anaondolewa drip hadi atakapolipa pesa ya kufungulia file. Maana yake unataka yule mgonjwa afe na siyo apone akulipe.
 
Huu ndio ushoga wenyewe. Nimekwambia Maua ni 45 by 55 mjinga wewe. Ndegelec ubongo gani huo?
You need help ASAP. Self denial

Naona umeng'ang'ana na ushooooga... Its 2020 you can come out already.. stop projecting. Embrace yourself and your diversity.

Get that out of the way first.. maybe...and it's a stretch... maybe you can be more objective. And argue like grown-up.
 
Mzungu akufadhili asilimia 90 ya bajet halafu awe hana anacho faidika?!

Mawazo yangu mgando naombeni mnisamehe.
 
Kesi ni mda since 2009 unaweza google tra vs st Jude ukaelewa zaidi grounds za case kuna appeal ipo
Nitaipitia Hii! Sema scenario niliyoieleza hapo inatumiwa na makampuni mengi sana kukwepa kodi kwenye nchi zao by running businesses under charity works kwenye nchi zisizo na mifumo ya kitaasisi makini huku kwao wanasamehewa kodi
 

Who projects? a fool of ua caliber takes such oaths. Don’t derail the truth abnoxiously . Looks idiotic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…