Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

Kilatha kama unataka kunipa laki moja mimi siitaki unafanyaje?wa australia sijui kina nani wanalazimisha kutusaidia,kwa nini?kama hawawezi kulipa kodi waache kutusaidia!!!waende wa kajustify wasilipe kodi kwa vile ni charity kama wanaonewa.ikikinzana na sheria zetu they have two options:
1)Pay Tax
OR
2)Pack and Go back to Australia!
Badala ya kujadili unachofikria let’s concentrate on the facts.

Kupata full background ya case yenyewe soma link iliyowekwa post #163 na Mwandangwa. Then come discuss the issue, the dispute has been fully explained what is all about.

Hiyo shule ni charity and therefore subjected by appropriate laws as explained by its representative in the case.
 
Anaemiliki Saint Jude binafsi haumii tayari anacho. Tulipomkomoa Manji nani anateseka? Walioajiriwa naye. Manji yuko hukooo anakula bata. TRA lazma wajifunze kulea na sio kukomoa. Halafu kuna wajinga wanatetea.
 
Kuna taasisi nyingi zinapiga hela ndefu toka nje ya nchi kwa kisingizio cha 'non-profit organization'. Ingefaa sana kama serikali itatoa maelezo yakutosha kuhusu sakata hili.

Kwa tunayosikia hapa kama vile shule hizi zinatoa huduma nzuri sana na kwakweli isingefaa zifungwe. Lakini je yanayosemwa hapa kuhusu mapato na matumizi ni kweli? Serikali iko sahihi kufuatili mapato na matumizi ya shule hizi na ni jukumu lake la msingi kufanya hivyo kwa taasisi yoyote ile. Lakini bila kutoa maelezo yakutosha itaendelea kulaumiwa.
 
Anyway wacha Game tuicheze wote..
Kodi Kodi tunakuja Kodi ya Kichwa mda si mrefu..
Serikali ipo tayari taasisi ifungwe lakini wachukue pesa zao..Walishidwa kukaa kwenye meza wakazungumza..
Kuweza nchi maskini ni highly risk wacha tuendelee na biashara zetu za umachinga tufunge barabara hichi ndicho tunachoweza..
 
Something is very wrong somewhere in Tanzania.
Charity works are prohibited.
Investments are prohibited.
Sending money there is prohibited.
Tanzania is doomed.
We usipotoshe ukweli hata Yesu pamoja na mbwembwe zake zote alilipa kodi na kuhimiza wafuasi wake wapereke haraka kodi kwa Kaisalia. Hapa kuna kitu tena cha kijinga yaani kama ile methali mkuki kwa ngiruwe ila kwa binadamu ni mchungu, yaani kwa watu wa kanisa sawa lakini wa wapeleka sadaka hapana.

Magufuli yupo sawa % 900 yaani biashara 1 suplaya 2 mmoja analipa kodi mwingine halipi kisa mmoja mchungaji au shekhi wa msikiti hii nini sasa.

hata huku kwetu kanisani kuna bado kuna mambo ya ajabu mchungaji akitaka gari waumini wananga lakini muumini akitaka gari hilo hilo anawekewa mikono.
 
....ili umma tuweze kutoa 'hukumu'ya haki ingekuwa Vema na Haki wakaainisha kodi wanazodaiwa na malimbikizo yake na Kwanini walilimbikiza.
Hao hawafanyi biashara ya kupata faida.. Wanatoa ufadhili kwa watoto wa familia maskini
 
ushahidi upo St. Jude ni shule inayosomesha masikini wa kitanzania kosa lenu hamkutoa ushirikiano wa kutosha ktk kukishindisha Chama
 
Elimu kwa Watanzania ni jukumu na kazi ya Serikali JMTZ na siyo Mzungu wa sijui Australia, kwani huko kwao hana matatizo ? ...
Hapa ugomvi ni kwa sababu hii shule inatoa huduma ya elimu kanda ya kaskazini. Hili lipo wazi. Mengine sijui kodi ni porojo tu. Chuki ya waziwazi.
 
Dah!sista mwanawe anasoma hapo namuonea huruma sana
 
Kwanza Ni kweli Kabisa 2000kids wanaoenda St. Jude Hawalipi ada kabisaa!?

Maana kuna vitu wakati mwingine vinakuwa mawazo .. shule ya taasisi ya kidini.. mnaichangia kila siku mkiwa kanisani mpaka inajengwa.. malengo huwa ni haya haya kusaidia wananchi kupata huduma za kielimu kwa gharama kidogo...

Leo una mwanao unaenda pale pale mlipochangia kujenga shule Watu wapate elimu kwa gharama ndogo unakuta Ada ya Chekechea ni 2,800,000 kwa mwaka bila usafiri.. na ada ya mwanafunzi wa kutwa..

Wanapack Faida kubwa huku wanapata afueni ya kodi.. isije Kuwa hata huko mambo ni hayo hayo!.. lengo la kuanzishwa always ni swafi.. huko mbele ndiko penye makando kando.
 
Hii story haijagusia kabisa kodi. Semeni kwa mdaiwe kodi wakati hamstahili kulipa kodi? Lazima kuna biashara mnaifanya.
 
Hapa ugomvi ni kwa sababu hii shule inatoa huduma ya elimu kanda ya kaskazini. Hili lipo wazi. Mengine sijui kodi ni porojo tu. Chuki ya waziwazi.
Nataman wangeijenga TU chattle....ile Hawa watoto wa maskini wasipate shida hizi....[emoji848][emoji848]inatia hasira na huruma.....
 
kwa mustakabali wa jamii ilitakiwa waache mambo yaendelee na kuhakikisha viongozi wanabanwa , wanaoathirika ni wananchi hata na serikali pia kwa ujumla .
 
Shule zote za dini including seminary zimeingizwa kwenye mkumbo hii na akauti zao kufungwa. Hasa Moshi na Arusha. St James Seminary, Maua Seminary, USA River na zingine. Ujinga mtupu.
 
Ziko Shule ambazo ZIMESAJILIWA kuwa ni za MAYATIMA...

Looh ajabu kubwa zinawachanganya mpaka watoto wanaolipiwa ADA NA WAZAZI...huku Wizara ya elimu ikiendelea kuamini kuwa watoto 100% wanafadhiliwa....

THINK THRICE
Unachokisema jumbe kinakuwa sahihi tu iwapo shule husika inakuwa na category mbili za wanafunzi. Yaani wanalipiwa ada na ufadhili na wale wanaolipiwa ada na wazazi.
Lakini hoja hapa ni tofauti kwa st. Jude, watoto wote waliosajiriwa huwa hawalipi ada, maana yake wanafadhiliwa kwa 100%
 
Shule zote za dini including seminary zimeingizwa kwenye mkumbo hii na akauti zao kufungwa. Hasa Moshi na Arusha. St James Seminary, Maua Seminary, USA River na zingine. Ujinga mtupu.
Hivi Maua Hawalipi Ada kabisa!?

By the way.. Shule za kidini sasa hivi ndio kati ya shule expensive kabisa.. wengi wa watu wa kawaida hawawezi hata kuziaford.. and worst is nyingi tumezijenga kwa nguvu ya sadaka.. na wakati mwingine tunaendelea kizichangia kufanya upanuzi na Ukarabati..

makes you ask more questions right!?
 
Back
Top Bottom