Non profit organization inalipaje kodi.? Kwanza Kodi maana yake nini tuanzie hapo
Napingana na huu mtindo wa recovery wa TRA wa kufungia account na kulazimisha malipo wakati mwingine hata muafaka haujafikiwa, ni sawa na kumchinja mtetea anayekupa kila asubuhi yai moja unywe na chai sababu kuna yai alitaga na hulioni.Shule ya bure unauliza kodi gani boss? Malimbikizo kwani wanafanya biashara?
Awamu hii hakuna janja janja ya kukwepa kodi, muda mnaotumia kwenye mitandao ya kijamii kutafuta huruma bora mtafute mwanasheria mzuri ili mpate haki yenu.
TRA nenda kwenye NGO watu wamejisajili kama shirika linalojiendesha kwa misaada huku ni wanatumia kivuko hicho kukwepa kodi!
WaalimuSasa kodi hapo inaingiaje wakati wafadhili wameamua kusomesha watanzania sasa hiyo kodi inatokana na biashara gani inayofanyika hapo hakuna mtu yeyote anayeuziwa huduma. Au huelewi kodi ni kitu gani. Kwanini watanzania tunakuwa mazezeta kiasi hiki. Watu wamejitolea kusomesha watoto wetu bado tunashindwa kushukuru tuna matatizo gani.
Walimu na wafanyakazi wanalipwa mishahara ambayo inatakiwa kukatwa kodi ya PAYE, inawezekana kodi hiyo ilikuwa inakatwa lakini haiwasilishwi TRA hivyo kupelekea shule kulimbikiza deni kubwa.Sasa kodi hapo inaingiaje wakati wafadhili wameamua kusomesha watanzania sasa hiyo kodi inatokana na biashara gani inayofanyika hapo hakuna mtu yeyote anayeuziwa huduma. Au huelewi kodi ni kitu gani. Kwanini watanzania tunakuwa mazezeta kiasi hiki. Watu wamejitolea kusomesha watoto wetu bado tunashindwa kushukuru tuna matatizo gani.
TRA hawana mamlaka ya kuchukua pesa kwenye BankHALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE
UTANGULIZII
1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa familia zenye hali duni ya kiuchumi wanaoishi kwenye mikoa ya kaskazini ya Tanzania. Kati ya wanafunzi hawa, asilimia 60 ni wasichana.
2. Shule hii inategemea misaada ya wahisani kwa asilimia 100 amabpo aslimia 90 inatoka kwa wahisani wa Australia.
3. Shule ina usajili wa wa shirika lisilo la kiserikali na ina jumla ya shule tatu zilizosajiliwa; Shule ya msingi (Na. AR. 02/7011), Shule ya Sekondari ya Wasichana (Na. S. 5243) and shule ya sekondari ya Bweni wavulana wa O-level na mchanganyiko A-level (Na. S. 4262). Shule ilipewa tamko kuwa ni shule ya ufadhili kupitia cheti S/Na. 53.
4. Shule inatoa ajira kwa zaidi ya watanzania 300 na wageni waajiriwa nane. Zaidi ya asilimia 60 ya uongozi wa Shule ni watanzania.
5. Shule pia inawasaidia wahitimu 326 kusoma elimu ya juu kwenye vyuo vikuu na vyuo vya kati vinginevyo.
6. Tarehe 3 Novemba 2020, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliondoa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 500,000,000 kwenye akaunti za Shule.
7. Tarehe 4 Novemba, Mwenyekiti wa Bodi wa wafadhili wa Australia (amabao ndio wanaifadhili bajeti ya mwaka ya shule kwa asilimia 90) aliandika kutujulisha kuwa Bodi haitaweza tena kutuma fedha zozote kwenye shule maana hawawezi kutoa ufadhili kulipa kodi za TRA. Badala yake wanataka kufadhili elimu tu ya wanafunzi wa Kitanzania.
8. Kwa sababu hiyo, St Jude ina uwezo mdogo sana wa kifedha na haiwezi kujiendesha kama kawaida.
9. Bajeti ya shule kwa mwaka 2020 ni Shillingi za Kitanzania 12,682,710,722. Kila mwaka, shule inarudisha bajeti nzima kwenye uchumi wa Tanzania kwa kutumia asilimia 100 ya matumizi ndani ya Nchi. Kwa ufupi jedwali linatoa picha ya matumizi kwa baadhi ya maeneo muhimu sana kama ifuatavyo:
....... see attach for more
Kodi hata kanisani zipo mkuu,inategemea ni kodi ya nini.Mathalani payee ya wafanyakazi Haijalishi ni wapi ni lazima muajiri aweke rekodi Sawa ili kodi hiyo ilipwe kutoka ktk salary ya muajiriwa wake.Shule ya bure unauliza kodi gani boss? Malimbikizo kwani wanafanya biashara?
Local collaborators ni akina nani isije ikawa ni Godbless lema na Nyalandu.Ukiwajua wanahisa wa shule then unaweza kupata mwangaHALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE
UTANGULIZII
1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa familia zenye hali duni ya kiuchumi wanaoishi kwenye mikoa ya kaskazini ya Tanzania. Kati ya wanafunzi hawa, asilimia 60 ni wasichana.
2. Shule hii inategemea misaada ya wahisani kwa asilimia 100 amabpo aslimia 90 inatoka kwa wahisani wa Australia.
3. Shule ina usajili wa wa shirika lisilo la kiserikali na ina jumla ya shule tatu zilizosajiliwa; Shule ya msingi (Na. AR. 02/7011), Shule ya Sekondari ya Wasichana (Na. S. 5243) and shule ya sekondari ya Bweni wavulana wa O-level na mchanganyiko A-level (Na. S. 4262). Shule ilipewa tamko kuwa ni shule ya ufadhili kupitia cheti S/Na. 53.
4. Shule inatoa ajira kwa zaidi ya watanzania 300 na wageni waajiriwa nane. Zaidi ya asilimia 60 ya uongozi wa Shule ni watanzania.
5. Shule pia inawasaidia wahitimu 326 kusoma elimu ya juu kwenye vyuo vikuu na vyuo vya kati vinginevyo.
6. Tarehe 3 Novemba 2020, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliondoa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 500,000,000 kwenye akaunti za Shule.
7. Tarehe 4 Novemba, Mwenyekiti wa Bodi wa wafadhili wa Australia (amabao ndio wanaifadhili bajeti ya mwaka ya shule kwa asilimia 90) aliandika kutujulisha kuwa Bodi haitaweza tena kutuma fedha zozote kwenye shule maana hawawezi kutoa ufadhili kulipa kodi za TRA. Badala yake wanataka kufadhili elimu tu ya wanafunzi wa Kitanzania.
8. Kwa sababu hiyo, St Jude ina uwezo mdogo sana wa kifedha na haiwezi kujiendesha kama kawaida.
9. Bajeti ya shule kwa mwaka 2020 ni Shillingi za Kitanzania 12,682,710,722. Kila mwaka, shule inarudisha bajeti nzima kwenye uchumi wa Tanzania kwa kutumia asilimia 100 ya matumizi ndani ya Nchi. Kwa ufupi jedwali linatoa picha ya matumizi kwa baadhi ya maeneo muhimu sana kama ifuatavyo:
....... see attach for more
Kama ni money laundering si wapelekwe mahakamani. Sio una funga accouunt halaf hata kesi hufungui.. mwans kuna kitu kingine.Miezi MICHACHE iliyopita taasisi FULANI ya HAKI ZA KIBINAADAMU ilizuiliwa AKAUNTI YAKE....
Hebu tafakari kwa MAWAZO CHANYA....
Isije ikawa walikuwa wanafanya MONEY LAUNDERING and other illicit activities....
Sasa isije ikawa kuna "kushahabiana" na hili la hii shule nzuri ambayo partners wetu wa Australia WANAISAIDIA ELIMU YETU....
Haya sio mambo yako umeachwa 😂😂Sijui hata Ni comment nini
Mkuu,kama hujui kitu ni hivi.Mimi mwenyewe naifahahmu hii shule na kazi nzuri inayofanya.Mmoja wa watoto wangu ambaye anasoma shule za serikali alishiriki katika mchakato wao wa uteuzi na kwa sababu Mwanangu alikuwa na uwezo alikuwa ni mmoja wa watoto waliopita katika hatua za mwanza.Walikuja mpaka nyumbani kwangu.wakakuta nyumba yangu ya ghorofa na gari kadhaa zimepaki nje na ndugu zake wengine wanasoa shule za kulipia wakasema huyu sio muhitaji.Wakamuacha.Nilishangaa ila niliwaelewa.Wanatafuta pesa kinguvu, walitakiwa kuchunguza ni kweli wanaosoma ni masikini pia wanatoa malipo yoyote kama kuna ujanjajanja wachukue hatua.
Ngoja tupate maelezo ya upande wa pili.
Miezi MICHACHE iliyopita taasisi FULANI ya HAKI ZA KIBINAADAMU ilizuiliwa AKAUNTI YAKE....
Hebu tafakari kwa MAWAZO CHANYA....
Isije ikawa walikuwa wanafanya MONEY LAUNDERING and other illicit activities....
Sasa isije ikawa kuna "kushahabiana" na hili la hii shule nzuri ambayo partners wetu wa Australia WANAISAIDIA ELIMU YETU...
Umeisoma vizuri post yangu au umekurupuka.Mkuu,kama hujui kitu ni hivi.Mimi mwenyewe naifahahmu hii shule na kazi nzuri inayofanya.Mmoja wa watoto wangu ambaye anasoma shule za serikali alishiriki katika mchakato wao wa uteuzi na kwa sababu Mwanangu alikuwa na uwezo alikuwa ni mmoja wa watoto waliopita katika hatua za mwanza.Walikuja mpaka nyumbani kwangu.wakakuta nyumba yangu ya ghorofa na gari kadhaa zimepaki nje na ndugu zake wengine wanasoa shule za kulipia wakasema huyu sio muhitaji.Wakamuacha.Nilishangaa ila niliwaelewa.
Ninachotaka kusema ni kwamba hawa watu wanafanya kazi nzuri wa kusomesha watoto wetu tuliofyatua bila mpango.Huo ni ukweli.Nashangaa serikali inapowakazia kama vile wanauza ngada.Kama serikali imekosa pesa ya kuendesha nchi si waanze kuuza BANGI?WHO tayari wameruhus ili waiache ST JUDE iwasaidie kusomesha watoto.WAACHE UPUMBAVU NI UJINGA.
KWANZA KUTOZA KODI TAASISI ZA ELIMU NI TABIA YA KIPUMBAVU KABISA AMBAYO INAPASWA KUKEMEWA NA KILA MPENDA MAENDELEO
KAMA MMESHINWA KUENDESHA NCHI NENDENI CHATO MKACHUNGE NGOMBE.
Issue ni serikali inasemaje? Ww unachoandika hapa ni speculations tu na rumors.Hujapatapo kusikia baadhi ya shule za mayatima zipatazo ufadhili wanalipisha kisiri WATOTO WA WENYE UWEZO?!!!
Ikijulikana ni kwanini KODI ISIKATWE?
Nikuulize swali mkuu... Hivi shuguri ya kijamii especially kwenye elimu na afya inayofadhiliwa/ jnayopewa msaada na wahisani inakatwa kodi?Maelezo mazuri lakini yana mapungufu. Kwa kuwa wameamua kutoa malalamiko yao kwa umma maana yake wameshindwana na serikali, sasa basi, ili umma tuweze kutoa 'hukumu'ya haki ingekuwa Vema na Haki wakaainisha kodi wanazodaiwa na malimbikizo yake na Kwanini walilimbikiza.
Vinginevyo tukianza kuilaumu serikali bila kujua Hoja za pande zote mbili itakuwa tumekosa maarifa na busara
Si ajabu umepanga halafu unajifanya una ghorofaMkuu,kama hujui kitu ni hivi.Mimi mwenyewe naifahahmu hii shule na kazi nzuri inayofanya.Mmoja wa watoto wangu ambaye anasoma shule za serikali alishiriki katika mchakato wao wa uteuzi na kwa sababu Mwanangu alikuwa na uwezo alikuwa ni mmoja wa watoto waliopita katika hatua za mwanza.Walikuja mpaka nyumbani kwangu.wakakuta nyumba yangu ya ghorofa na gari kadhaa zimepaki nje na ndugu zake wengine wanasoa shule za kulipia wakasema huyu sio muhitaji.Wakamuacha.Nilishangaa ila niliwaelewa.
Ninachotaka kusema ni kwamba hawa watu wanafanya kazi nzuri wa kusomesha watoto wetu tuliofyatua bila mpango.Huo ni ukweli.Nashangaa serikali inapowakazia kama vile wanauza ngada.Kama serikali imekosa pesa ya kuendesha nchi si waanze kuuza BANGI?WHO tayari wameruhus ili waiache ST JUDE iwasaidie kusomesha watoto.WAACHE UPUMBAVU NI UJINGA.
KWANZA KUTOZA KODI TAASISI ZA ELIMU NI TABIA YA KIPUMBAVU KABISA AMBAYO INAPASWA KUKEMEWA NA KILA MPENDA MAENDELEO
KAMA MMESHINWA KUENDESHA NCHI NENDENI CHATO MKACHUNGE NGOMBE.
Wewe ni mbuzi.Kama hujui haya ni maisha ya watu.Kama huwezi changia kwa kutumia ubongo basi bora ukakaa kimya.Hawa watu wanaomba michango ila watotowenu wasome wewe unaleta upumbafu wako.KODI gani katika taasisi ya elimu?KUTOza KODI WATU WANAOTO HUDUMA AMBAZO ZINAPASWA KUTOLEWA NA SERIKALI NI WIZI.periodBWANA WAACHE NA WAENDE KWAO, NA HAO WANAFUNZI WAKAE NYUMBANI AU WAZAZI WAO WAPAMBANE KAMA WAZAZI WENGINE, TUSICHOSHANE BWANA, SERIKALI IMEAMUA, BASI, KATI YA HAO WAZAZI WENGI TU WANAUNGA JUHUDI, SASA WASIWE WANAFIKI, SERIKALI NAYO INATAKA KODI, THEY HAVE TO OBEY ..... MBUMBULA, MBULALA, WAFUNGE SHULE!
Lakini kwanini wasihefadhie pesa zao kwenye vyunguBusara ipi? Wakati uonevu upo wazi