fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 13,008
- 24,820
Swali zuri sana na mimi nimeulizia kwa lugha rahisi nione watasemaje?Non profit organization inalipaje kodi.? Kwanza Kodi maana yake nini tuanzie hapo
Haya mapya kwakweli non-profit organisation kulipa kodi 🤷🤔