Munambefu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 2,916
- 7,442
Mkuu hakuna mahali Nimesema shule ina makosa au ipo sahihi.Ni jambo la kawaida ktk kutoa hukumu lazima usikilizie pande zote mbili.Mkuu kama hujui kitu kaa kimya.Unachefua watu wengi sana.Mimi nawafahamu personally zaidi ya watoto 50 ambao wanapewa elimu nzuri pale st jude acha kuongea urojo.THE school is 100% charitable and free na wanawapa watoto wetu elimu bora kuliko hata serikali yoetu inavoweza.Kama roho iakuuma kwa sababu wanapewa bure basi wewe na shetani ni mapacha
Umeongea kwa kukaza mishipa lakini uwezo wako wa kufikiri sio mpana.Nitakupa mfano mmoja wa kesi Kama hiyo,taaaisi moja ya kidini inayofanya kazi kwa kujitolea,iliharibu kwa makusudi taarifa za waajiriwa wake hivyo kupelekea payee kupotea.baada us kugundulika Unafikiri ni nani hapo atawajibika kulipa deni hilo pamoja na adhabu yake?
Sasa mimi na wewe hatujui wanadaiwa nini na TRA, itakuwa unfair kulaumu serikali kisa eti ni charitable kama hatujapata taarifa za upande wa mlalamikiwa.