Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
Deni hilo liliibuka kipindi cha kampeni pale uongozi wa shule ulipo gomea amri ya kupeleka wanafunzi wote na uongozi wa shule Sheikh Amri Abeid, kumshangilia Mzee Baba (Mitano tena)/.....
Non profit organization inalipaje kodi.? Kwanza Kodi maana yake nini tuanzie hapo
Something is very wrong somewhere in Tanzania.
Charity works are prohibited.
Investments are prohibited.
Sending money there is prohibited.
Tanzania is doomed.
Ni muhimu kujua usajili wao kama wana charitable status or otherwiseHuu uonevu mkuu, tangu lini shule inayosomesha watoto bure that means ni charitable entity, swala la kodi linatoka wapi??? and why now,?
Nimejikuta nashangaa sana, i cant swallow this kwa kweliSomething is very wrong somewhere in Tanzania.
Charity works are prohibited.
Investments are prohibited.
Sending money there is prohibited.
Tanzania is doomed.
Inaelekea umekariri au kukaririshwa kauli za wanasiasa. Hii ni shule iiyoanzishwa na mama raia wa Australia kusaidia watoto maskini kupata elimu. Watoto zaidi ya 2000 wa msingi na sekondari wanasoma, kuvalishwa na kulishwa bure, bila kulipa hata senti moja, vijana zaidi ya 300 kutoka kaya hizo hizo wanalipiwa karo na stipend kusoma vyuo vikuu na vyuo vya kati bila wazazi wao kugharimia. Sasa wewe unazungumza kodi gani. Yaani wananchi wa Australia wajitolee kusomesha Watanzania kupunguzia Serikali/TRA mzigo wa kugharimia elimu halafu Serikali iwatake wahisani wanaoisaidia kugharimia elimu kulipa kodi!
Soma hiyo attachment utaelewa kinachojadiliwa. Tafadhali usikariri wa kukubali kukaririshwa.
Maelezo mazuri lakini yana mapungufu. Kwa kuwa wameamua kutoa malalamiko yao kwa umma maana yake wameshindwana na serikali, sasa basi, ili umma tuweze kutoa 'hukumu'ya haki ingekuwa Vema na Haki wakaainisha kodi wanazodaiwa na malimbikizo yake na Kwanini walilimbikiza.
Vinginevyo tukianza kuilaumu serikali bila kujua Hoja za pande zote mbili itakuwa tumekosa maarifa na busara
[/QUOTE
Shuleni ulienda kujifunza kusoma tu na kuandika.
Ni muhimu kujua usajili wao kama wana charitable status or otherwise
TAR wa tanzania huwa wanaibukia popote wakiamua hata kama hawakudai, na hakuna utakachowafanya yaani, kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa hebu anza kusapoti upinzani uone watakapoibukia na watakufilisi hata kama hudaiwi kodiMaelezo yako ni mengi na mazuri ILA ni one sided story, tuambie TRA waliibukaje from no where tu wachote pesa, hakukua na mgogoro unsettled?
Tunaojua masuala ya kodi na mgt tunalo swali hilo! Yani tu vuup wachukue hela? Leta contextual information , ni kweli kabisa beneficiary ni watanzania ila taarifa zako zinakosa support issue ilianzaje ikafika hapo?
Walipe kodi wanafanya biashara?Well....
Ila ni kwanini WALIKUWA HAWALIPI KODI KWA WAKATI mpaka kufikia hayo?!!!
Je fedha walikuwa hawapati...?
Je fedha walikuwa hawatumiwi?
Isije ikawa BAADHI ya Watumishi wenye nafasi kubwa walikuwa "wananufaika binafsi" kupitia MRADI WA SHULE.....
Isije ikawa BAADHI ya WATUMISHI NGULI wanafanya MONEY LAUNDERING ....
Hayakuwa mageni kwa BAADHI YA TAASISI ZA KIDINI kuingiza MIZIGO BINAFSI YA KIBIASHARA isiyolipa kodi kwa kuwa tu walikuwa na TAX EXEMPTIONS....
Wana fadhili asilimia 90. Siku hizi hamna ufadhili wa 100% , anaefadhiliwa anatakiwa kuchangia. Na lengo la wafadhili ni kuwa ufike wakati mtaweza kujiendesha bila kuwategemea.Hiyo cross subsidisation haipo hapo....kwani SHULE INAFADHILIWA NA WAAUSTRALIA...watoto hawatakiwi kulipa SUMNI KIPANDE.......
Ada inayolipwa "kinyemela" ndiyo INAYOULIZWA...na hapa ndipo ilipo HOJA mkuu....
TAR wa tanzania huwa wanaibukia popote wakiamua hata kama hawakudai, na hakuna utakachowafanya yaani, kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa hebu anza kusapoti upinzani uone watakapoibukia na watakufilisi hata kama hudaiwi kodi
Corporate tax kwa ajili ya mishahara ya wafanyakazi wao.Walipe kodi wanafanya biashara?
Ukiwa na kesi, ama umkarishe chini mtuhumiwa wako myamalize, au usamehe na kukubali maumivu. Ukiwa na kesi na serikali, option ni moja tu, kukubali maumivu. Hakuna mahakama huru Tanzania ya kuamua kesi yako kwa haki.Mwanasheria mzuri kwa mahakama zipi? Mahakama hizi zilizoambiwa ziendeshe kesi haraka ili zipate mgao?
Wewe ni mbuzi.Kama hujui haya ni maisha ya watu.Kama huwezi changia kwa kutumia ubongo basi bora ukakaa kimya.Hawa watu wanaomba michango ila watotowenu wasome wewe unaleta upumbafu wako.KODI gani katika taasisi ya elimu?KUTOza KODI WATU WANAOTO HUDUMA AMBAZO ZINAPASWA KUTOLEWA NA SERIKALI NI WIZI.period
Kama serikali ina uwezo wa kwenda bank na kuchukua fedha kwenye account ya mtu bila idhini, bila shitaka na mahakama kutoa kibali, hapo ni shida kubwa.Mimi kwangu naona TRA hawana makosa! Wametimiza wajibu wao.Labda niseme tu kilichokosekana ni busara ya Serikali tu! Isingekomba fedha zote wakati shule hiyo ina mchango mkubwa kwenye huduma nyeti ya Jamii kama Elimu.
Waliwahi shitakiwa? Kama la, kwa nini isiaminiwe kuwa kuna mkono wa vigogo wa dola?Ziko Shule ambazo ZIMESAJILIWA kuwa ni za MAYATIMA...
Looh ajabu kubwa zinawachanganya mpaka watoto wanaolipiwa ADA NA WAZAZI...huku Wizara ya elimu ikiendelea kuamini kuwa watoto 100% wanafadhiliwa....
THINK THRICE