Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

Maelezo mazuri lakini yana mapungufu. Kwa kuwa wameamua kutoa malalamiko yao kwa umma maana yake wameshindwana na serikali, sasa basi, ili umma tuweze kutoa 'hukumu'ya haki ingekuwa Vema na Haki wakaainisha kodi wanazodaiwa na malimbikizo yake na Kwanini walilimbikiza.

Vinginevyo tukianza kuilaumu serikali bila kujua Hoja za pande zote mbili itakuwa tumekosa maarifa na busara
Huna akili ata kidogo umeambiwa ni wafidhili huwa hawatoi kodi....mfano hizo shule zikifungwa au wakiamisha ufadhili mali zote zinakiwa ni za serikali ya tanzania shida apo serikali yetu inapenda watu wajinga ili wazidi kuweka matabaka waendelee kutuongoza...
 
Deni hilo liliibuka kipindi cha kampeni pale uongozi wa shule ulipo gomea amri ya kupeleka wanafunzi wote na uongozi wa shule Sheikh Amri Abeid, kumshangilia Mzee Baba (Mitano tena)/.....
Hicho ndio kiini chenyewe.
Watu wengi Arusha wanajua kisa kilianzia siku Magufuli alipokuja Arusha kwenye kampeni na waendeshaji wa shule ya St. Jude wakagoma kuswaga wanafunzi wake kwenda Sheikh Amri Abeid kuongeza idadi ya wahudhuriaji kwenye mkutano wa CCM.

Wamiliki wa shule waliweka wazi kuwa, shule yao haina itikadi yoyote ya vyama vya siasa, uongozi wa shule haukuwa na mamlaka ya kuwahusisha kwa lazima wanafunzi wake kwenye itikadi za vyama na mwisho uongozi wa shule hauwezi kuhahakisha usalama wa wanafunzi wake kwenda uwanjani.

Yote kwa yote, chuki ya serikali ya Magu dhidi ya ukanda wa Kaskazini ni kubwa mnoo, St. Jude huenda ni miongoni mwa taasisi za Elimu zilizokuwa zinawindwa kuangamizwa kwa muda mrefu sana, maana ni miongoni mwa taasisi za mtaji wa kimaendeleo ya kijamii kwa kizazi cha watoto na vijana waliopo kanda ya Kaskazini.
 
HALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE

UTANGULIZII

1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa familia zenye hali duni ya kiuchumi wanaoishi kwenye mikoa ya kaskazini ya Tanzania. Kati ya wanafunzi hawa, asilimia 60 ni wasichana.

2. Shule hii inategemea misaada ya wahisani kwa asilimia 100 amabpo aslimia 90 inatoka kwa wahisani wa Australia.

3. Shule ina usajili wa wa shirika lisilo la kiserikali na ina jumla ya shule tatu zilizosajiliwa; Shule ya msingi (Na. AR. 02/7011), Shule ya Sekondari ya Wasichana (Na. S. 5243) and shule ya sekondari ya Bweni wavulana wa O-level na mchanganyiko A-level (Na. S. 4262). Shule ilipewa tamko kuwa ni shule ya ufadhili kupitia cheti S/Na. 53.

4. Shule inatoa ajira kwa zaidi ya watanzania 300 na wageni waajiriwa nane. Zaidi ya asilimia 60 ya uongozi wa Shule ni watanzania.

5. Shule pia inawasaidia wahitimu 326 kusoma elimu ya juu kwenye vyuo vikuu na vyuo vya kati vinginevyo.

6. Tarehe 3 Novemba 2020, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliondoa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 500,000,000 kwenye akaunti za Shule.

7. Tarehe 4 Novemba, Mwenyekiti wa Bodi wa wafadhili wa Australia (amabao ndio wanaifadhili bajeti ya mwaka ya shule kwa asilimia 90) aliandika kutujulisha kuwa Bodi haitaweza tena kutuma fedha zozote kwenye shule maana hawawezi kutoa ufadhili kulipa kodi za TRA. Badala yake wanataka kufadhili elimu tu ya wanafunzi wa Kitanzania.

8. Kwa sababu hiyo, St Jude ina uwezo mdogo sana wa kifedha na haiwezi kujiendesha kama kawaida.

9. Bajeti ya shule kwa mwaka 2020 ni Shillingi za Kitanzania 12,682,710,722. Kila mwaka, shule inarudisha bajeti nzima kwenye uchumi wa Tanzania kwa kutumia asilimia 100 ya matumizi ndani ya Nchi. Kwa ufupi jedwali linatoa picha ya matumizi kwa baadhi ya maeneo muhimu sana kama ifuatavyo:

....... see attach for more

YANI NYIE ST JUDE RUDINI TU MPATANE NA SERIKALI, HAKUNA MTU MWINGINE WA KUWASAIDIA ....JAMII FORUM, WAZAZI KWA MKUU WA MKOA, BARUA, ETC, ALL THIS WILL NEVER HELP, RUDINI HUKO HUKO MUELEWANE!
 
Elimu kwa Watanzania ni jukumu na kazi ya Serikali JMTZ na siyo Mzungu wa sijui Australia, kwani huko kwao hana matatizo ? ...
Tunaambiwa tusiitegemee serikali kwa kila kitu. Ndio Hapo dhana ya "kuchangia gharama" katika matibabu na pia elimu. Hata hiyo elimu bure siyo bure 100%. Tunaambiwa pia wamesajiliwa rasmi kama shule ya ufadhili. Wamesajiliwa na serikali yenyewe. Ila serikali ya Magu ni tofauti.

Na huu ni uthibitisho wa kauli za Lissu wakati wa kampeni kuhusu extortion ya serikali ya Magufuli, kwamba ina kawaida ya kupora fedha kwenye mabenki, za wateja mbalimbali.

Serikali ya Magu imewahi kufanya uporaji wa aina mbalimbali :
1) kupora fedha za wahanga wa tetemeko la ardhi Bukoba.
2) kupora fedha za mfuko wa korosho
3) kupora mabilioni ya fedha za wastaafu kwa kupandisha muda wa kuchangia NHIF toka miaka 10 hadi 15, kwa waraka wa serikali.
4) uporaji mwingi sana katika kutafuta fedha za kugharimia miradi mingi na isiyo na mpangilio, ya Magu.
 
HALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE

UTANGULIZII

1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa familia zenye hali duni ya kiuchumi wanaoishi kwenye mikoa ya kaskazini ya Tanzania. Kati ya wanafunzi hawa, asilimia 60 ni wasichana.

2. Shule hii inategemea misaada ya wahisani kwa asilimia 100 amabpo aslimia 90 inatoka kwa wahisani wa Australia.

3. Shule ina usajili wa wa shirika lisilo la kiserikali na ina jumla ya shule tatu zilizosajiliwa; Shule ya msingi (Na. AR. 02/7011), Shule ya Sekondari ya Wasichana (Na. S. 5243) and shule ya sekondari ya Bweni wavulana wa O-level na mchanganyiko A-level (Na. S. 4262). Shule ilipewa tamko kuwa ni shule ya ufadhili kupitia cheti S/Na. 53.

4. Shule inatoa ajira kwa zaidi ya watanzania 300 na wageni waajiriwa nane. Zaidi ya asilimia 60 ya uongozi wa Shule ni watanzania.

5. Shule pia inawasaidia wahitimu 326 kusoma elimu ya juu kwenye vyuo vikuu na vyuo vya kati vinginevyo.

6. Tarehe 3 Novemba 2020, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliondoa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 500,000,000 kwenye akaunti za Shule.

7. Tarehe 4 Novemba, Mwenyekiti wa Bodi wa wafadhili wa Australia (amabao ndio wanaifadhili bajeti ya mwaka ya shule kwa asilimia 90) aliandika kutujulisha kuwa Bodi haitaweza tena kutuma fedha zozote kwenye shule maana hawawezi kutoa ufadhili kulipa kodi za TRA. Badala yake wanataka kufadhili elimu tu ya wanafunzi wa Kitanzania.

8. Kwa sababu hiyo, St Jude ina uwezo mdogo sana wa kifedha na haiwezi kujiendesha kama kawaida.

9. Bajeti ya shule kwa mwaka 2020 ni Shillingi za Kitanzania 12,682,710,722. Kila mwaka, shule inarudisha bajeti nzima kwenye uchumi wa Tanzania kwa kutumia asilimia 100 ya matumizi ndani ya Nchi. Kwa ufupi jedwali linatoa picha ya matumizi kwa baadhi ya maeneo muhimu sana kama ifuatavyo:

....... see attach for more
Ilikuwaje TRA walikanusha kuchota pesa kutoka kwenye akaunti bila idhini ya mwenye akaunti, benki husika lazima ieleze.
 
Hivi wafanyakazi wao hawalipi kodi? Suppliers wao wa vyakula, uniform, vifaa vya kufundishia n.k. hawalipi kodi? Je mchango wa hao wanafunzi katika uchumi wetu utakuwaje? Na tutapata faida gani wakikatishwa masomo?

Amandla...
 
Maelezo mazuri lakini yana mapungufu. Kwa kuwa wameamua kutoa malalamiko yao kwa umma maana yake wameshindwana na serikali, sasa basi, ili umma tuweze kutoa 'hukumu'ya haki ingekuwa Vema na Haki wakaainisha kodi wanazodaiwa na malimbikizo yake na Kwanini walilimbikiza.

Vinginevyo tukianza kuilaumu serikali bila kujua Hoja za pande zote mbili itakuwa tumekosa maarifa na busara

Shule ya bure unauliza kodi gani boss? Malimbikizo kwani wanafanya biashara?
 
Elimu kwa Watanzania ni jukumu na kazi ya Serikali JMTZ na siyo Mzungu wa sijui Australia, kwani huko kwao hana matatizo ? ...
Sisi wachache ambai familia zilipitia changamoto na tukasomeshwa na hizo non-profit ogranizations mpaka kufika chuo tunaelewa mamumivu na jinsi gani familia za wanafunzi hao zimeumia.

Lakini pia siasa isikufanye mjinga kiasi hiki.

Mbona hujaongelea zile ARV za msaada.
 
Awamu hii hakuna janja janja ya kukwepa kodi, muda mnaotumia kwenye mitandao ya kijamii kutafuta huruma bora mtafute mwanasheria mzuri ili mpate haki yenu.

TRA nenda kwenye NGO watu wamejisajili kama shirika linalojiendesha kwa misaada huku ni wanatumia kivuko hicho kukwepa kodi!

Mwanasheria mzuri kwa mahakama zipi? Mahakama hizi zilizoambiwa ziendeshe kesi haraka ili zipate mgao?
 
Kwa juujuu ni RAHISI kukataa....

Ila.....

Ziko SHULE ZA MAYATIMA ambazo zinapata FEDHA ZA WAFADHILI ambazo haziko liable to tax....lakini ndani mwake WANASOMESHWA WATOTO WENGI MNO kwa ada ya WAZAZI NA NDUGU ZAO....
👆👆👆

Hapo huipati harufu ya MONEY LAUNDERING?!!!
 
HALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE

UTANGULIZII

1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa familia zenye hali duni ya kiuchumi wanaoishi kwenye mikoa ya kaskazini ya Tanzania. Kati ya wanafunzi hawa, asilimia 60 ni wasichana.

2. Shule hii inategemea misaada ya wahisani kwa asilimia 100 amabpo aslimia 90 inatoka kwa wahisani wa Australia.

3. Shule ina usajili wa wa shirika lisilo la kiserikali na ina jumla ya shule tatu zilizosajiliwa; Shule ya msingi (Na. AR. 02/7011), Shule ya Sekondari ya Wasichana (Na. S. 5243) and shule ya sekondari ya Bweni wavulana wa O-level na mchanganyiko A-level (Na. S. 4262). Shule ilipewa tamko kuwa ni shule ya ufadhili kupitia cheti S/Na. 53.

4. Shule inatoa ajira kwa zaidi ya watanzania 300 na wageni waajiriwa nane. Zaidi ya asilimia 60 ya uongozi wa Shule ni watanzania.

5. Shule pia inawasaidia wahitimu 326 kusoma elimu ya juu kwenye vyuo vikuu na vyuo vya kati vinginevyo.

6. Tarehe 3 Novemba 2020, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliondoa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 500,000,000 kwenye akaunti za Shule.

7. Tarehe 4 Novemba, Mwenyekiti wa Bodi wa wafadhili wa Australia (amabao ndio wanaifadhili bajeti ya mwaka ya shule kwa asilimia 90) aliandika kutujulisha kuwa Bodi haitaweza tena kutuma fedha zozote kwenye shule maana hawawezi kutoa ufadhili kulipa kodi za TRA. Badala yake wanataka kufadhili elimu tu ya wanafunzi wa Kitanzania.

8. Kwa sababu hiyo, St Jude ina uwezo mdogo sana wa kifedha na haiwezi kujiendesha kama kawaida.

9. Bajeti ya shule kwa mwaka 2020 ni Shillingi za Kitanzania 12,682,710,722. Kila mwaka, shule inarudisha bajeti nzima kwenye uchumi wa Tanzania kwa kutumia asilimia 100 ya matumizi ndani ya Nchi. Kwa ufupi jedwali linatoa picha ya matumizi kwa baadhi ya maeneo muhimu sana kama ifuatavyo:

....... see attach for more
Hii sio habari nzuri ukizingatia nimesoma shule KWA shida,kutokana na umaskini uliokuepo katika familia yangu,roho imeniuma Sana,so ni wakati niondoe pesa yangu benk maana huu utaratibu sio,lissu alisema wakati wa kampeni sikuamini Sana,Kama tahalifa hii ni kweli,basi taifa lipo kwenye mkwamo wa karne,
Why serikali inafanya hivi,not fair wakuu
HALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE

UTANGULIZII

1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa familia zenye hali duni ya kiuchumi wanaoishi kwenye mikoa ya kaskazini ya Tanzania. Kati ya wanafunzi hawa, asilimia 60 ni wasichana.

2. Shule hii inategemea misaada ya wahisani kwa asilimia 100 amabpo aslimia 90 inatoka kwa wahisani wa Australia.

3. Shule ina usajili wa wa shirika lisilo la kiserikali na ina jumla ya shule tatu zilizosajiliwa; Shule ya msingi (Na. AR. 02/7011), Shule ya Sekondari ya Wasichana (Na. S. 5243) and shule ya sekondari ya Bweni wavulana wa O-level na mchanganyiko A-level (Na. S. 4262). Shule ilipewa tamko kuwa ni shule ya ufadhili kupitia cheti S/Na. 53.

4. Shule inatoa ajira kwa zaidi ya watanzania 300 na wageni waajiriwa nane. Zaidi ya asilimia 60 ya uongozi wa Shule ni watanzania.

5. Shule pia inawasaidia wahitimu 326 kusoma elimu ya juu kwenye vyuo vikuu na vyuo vya kati vinginevyo.

6. Tarehe 3 Novemba 2020, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliondoa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 500,000,000 kwenye akaunti za Shule.

7. Tarehe 4 Novemba, Mwenyekiti wa Bodi wa wafadhili wa Australia (amabao ndio wanaifadhili bajeti ya mwaka ya shule kwa asilimia 90) aliandika kutujulisha kuwa Bodi haitaweza tena kutuma fedha zozote kwenye shule maana hawawezi kutoa ufadhili kulipa kodi za TRA. Badala yake wanataka kufadhili elimu tu ya wanafunzi wa Kitanzania.

8. Kwa sababu hiyo, St Jude ina uwezo mdogo sana wa kifedha na haiwezi kujiendesha kama kawaida.

9. Bajeti ya shule kwa mwaka 2020 ni Shillingi za Kitanzania 12,682,710,722. Kila mwaka, shule inarudisha bajeti nzima kwenye uchumi wa Tanzania kwa kutumia asilimia 100 ya matumizi ndani ya Nchi. Kwa ufupi jedwali linatoa picha ya matumizi kwa baadhi ya maeneo muhimu sana kama ifuatavyo:

....... see attach for more
 
Miezi MICHACHE iliyopita taasisi FULANI ya HAKI ZA KIBINAADAMU ilizuiliwa AKAUNTI YAKE....

Hebu tafakari kwa MAWAZO CHANYA....

Isije ikawa walikuwa wanafanya MONEY LAUNDERING and other illicit activities....

Sasa isije ikawa kuna "kushahabiana" na hili la hii shule nzuri ambayo partners wetu wa Australia WANAISAIDIA ELIMU YETU....
Leta vitu,leta vitu mwana
 
Back
Top Bottom