Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

Mkuu wataalamu wa TRA sio mbumbumbu kama unavyosema. Tatizo wanafanya kazi wakiwa na shinikizo fulani nyuma.Sasa hawana namna zaidi ya kufanya kibabe.

Kama unakumbuka,mkutano wa wafanyabiashara na Rais malalamiko mengi yalikuwa juu yao. Wanaua biashara sana hawa watu.

Hebu fikiria kampuni kubwa kama Vodacom licha ya kuwa na wataalam wa kodi wa kila Idara,bado wanapigwa fine kila siku na hawa TRA.

Mtu ambaye hajawahi kufanya biashara ya level fulani hawezi kuwajua TRA. Ila amini wanaua sana biashara.
 
Sema Mkuu mie sina interaction kubwa na TRA ila kutokea kwenye Taaluma Yangu ninachofanya always ni kutoa huduma huku nikishauri juu ya Tax implications..

Serikali inataka Kodi na Mimi nataka mteja wangu alipe kidogo as possible. Its a battle. Na hili ndio healthy relationship Kati ya watoza ushuru na watozwa ushuru..

Kama kuna mlango hukuufunga vema lazima watake kupita huko.. for more kodi.. kitu kimoja ambacho nimejifunza..

Mambo mengi nchini yanafanyika kwa mazoea.. biashara nyingi hazina Tax consultants... Professional Book keepers na hata Kuwa na washauri wataalamu wa compliance kwenye Tasnia husika.

Yote haya yanakuja Kuwa na tax implications. Wakiamua kukaza kabisa ni Institutions chache sana zitasalimika,let alone individuals
 
Mkuu taasisi inatumia 1.7bil kwa mwezi mil 500 ikiwa ni mishahara.

Tanzania kupiga kwata la Uhuru kwa siku inatumia mil 995. Ndio maana JPM akaona bora zijenge hospital ya Uhuru Dodoma.

Well, ngoja tuone wakubwa watasemaje.

sasa kwata si linapigwa mara moja kwa mwaka mkuu, huoni difference
 
And you think this is enough evidence to back up your repudiation?

I really dont blame most tanzanians, kuwaza kwa kutumia hisia, kutoelewa mfumo wa maisha duniani unaendaje, yote haya hatuwalaumu maaana ndo tunavoishi ila busara na kutumia bongo zaidi ndo suluhisho! so wait for other informations kabla ya kutoa any justification! sehem nyingi tu duniani wanatumia charity kama njia ya kusafisha pesa zao so you better wait watasema nn,
 
Hakuna cha wenzetu, hata kwa Muzungu wanapiga sana, ukisikia foundation yoyote ni wizi tu, Melinda and Hate foundation ni wizi, wanakwepa kodi, Matajiri wote wanakimbilia kwenye foundation ili kukwepa kodi, ...
 
Tatizo mnaamini sana Muzungu na ndo maana mnawauzia rasilimali bure, Spain ni corrupt country usitake kujifanya kuitetea, Spain inaishi sababu tu ya EU basi lkn ni corrupt system siajabu bora hata Tanzania, ...
 
TRA siku hizi wamekuwa na kazi ya kuchungulia ktk Accounts za watu na kuchukua fedha tena bila maelezo. wamewafanyia hivyo wafanyabiashara wengi sana kiasi kwamba wengi sasa hawaweki tena fedha zao benki kwa kuhofia huu uharamia.
 
nyingi tu duniani wanatumia charity kama njia ya kusafisha pesa zao so you better wait watasema
This is even worse than personal feeling-led accusations. Please don't theorise, as far as this issue is concerned, we have all the facts. We are not led by generic belief such as "....mara nyingi duniani......."
 
but still bado ulitakiwa uskilize upande wa serikali pia ndo utoe final say! why did they do this, wameona nn! and at same time i am confident to tell you a huge pc of charitable organisations kiundani sio charitable they have an agenda!
 
Watasikilizwaje wakati hawasemi kitu?

Amandla...
 
Hivi nyie watu mnafahamu maana ya Money Laundering and how it works au huwa mnaongea tu?!

Btw, wakati unafanya insuniate possible money laundering, umesoma hukumu ya mahakama na kuona hao St Jude wanatuhumiwa nini hasa kabla hujaleta hisia zako?!

Unadai Watanzania wanawaza kwa kutumia hisia kumbe ni wewe mwenyewe ndie unawaza kwa kutumia hisia! Hukumu imekuwa uploaded hapa... sasa badala ya kuangalia hukumu inasema nini kuhusu tuhuma za St Jude, wewe unajaribu ku-argue kwa kutumia hisia!!
 
una uwezekano sio wote waliosomeshwa ni watoto wasio na uwezo tumeshuhudia mikopo ya elimu ya juu ililenga watoto wasio na uwezo lakini wanufaika wakubwa ni wale wenye uwezo inabidi tupate taarifa ya. Upande wa pili kabla ya kukimbilia kuhukumu
Hii siyo!
 
Hakuna cha wenzetu, hata kwa Muzungu wanapiga sana, ukisikia foundation yoyote ni wizi tu, Melinda and Hate foundation ni wizi, wanakwepa kodi, Matajiri wote wanakimbilia kwenye foundation ili kukwepa kodi, ...
Haya Mataasisi haya yanahitaji mfumo mpya.. TOR zitokee serikalini sio waje na macondition yao... Wao hawaendeshi nchi hii.. wanasaidia.. ukiniuliza mimi msaada haulazimishwi... Ukiona mtu analazimisha kukusaidia ujue ananufaika lazima
 
but still bado ulitakiwa uskilize upande wa serikali pia ndo utoe final say! why did they do this, wameona nn! and at same time i am confident to tell you a huge pc of charitable organisations kiundani sio charitable they have an agenda!
Tafadhali soma hoja ya @Chige aliyokujibu hapo chini.
 
I can guarantee you.. ukiomba majina ya wahitimu wa ST Jude utakuta majina ya watoto wa vigogo wengi sana... Time will tell... Na huenda hawajitokezi kusema kitu muda wote huu kwa sababu hiyo
 
Haya Mataasisi haya yanahitaji mfumo mpya.. TOR zitokee serikalini sio waje na macondition yao... Wao hawaendeshi nchi hii.. wanasaidia.. ukiniuliza mimi msaada haulazimishwi... Ukiona mtu analazimisha kukusaidia ujue ananufaika lazima

Hapo sasa, umenena kweli tupu, eti mtu anakulazimisha akusaidie wakati mwingine mpaka unawekewa sanctions kama ukikataa msaada, maajabu .
 
hahaha dogo unanichukuliaje, naweza mpaka kukusaidia kusafisha pesa zako ziingie nchi yoyote ambayo wamezikataa,
2) nmetoa assumption sjamhukumu mtu, i know charitable organisations znazofanya uhalifu backdoors! i know institutions znazotumia charity kutest dawa zao kama znafanya kazi, niishie hapo!

3) St.Jude ni charitable organisation, serikali kuifungia ndo tunataka kujua kuna nn behind, izi mada za watu wanaongea kwa hisia its total non-sense! wacha serikali ifanye kazi yao majibu yatatoka, the reason i downgraded this thread is because sio kauli yas serikali, wao ndo wliofanya tukio na wao wanatakiwa waseme, izi mada zingine za pemben mtu mwenye akili hawezi kuichukua as a fact unless hauko sawa kichwan! sasa wait for official statement na wacha kufanya decisions za hisia
 
Haya Mataasisi haya yanahitaji mfumo mpya.. TOR zitokee serikalini sio waje na macondition yao... Wao hawaendeshi nchi hii.. wanasaidia.. ukiniuliza mimi msaada haulazimishwi... Ukiona mtu analazimisha kukusaidia ujue ananufaika lazima

watu bado hawajui backdoors za charity organisations, ila huezi walaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…