Hiyo ni corruption, kwenye Capitalism na free market economy Serikali haipaswi kuokoa kampuni ambazo zimefirisika kwa kushindwa kujiendesha, hiyo ni socialism, kwenye free market economy Kampuni zinaendeshwa na innovation, kama ukishindwa keep up na kuja na teknolojia mpya unakufa na wengine waliowekeza kwenye utafiti na innovation wanaibuka, mfano mzuri ni Nokia ya Finland walikuwa ni World leader kwenye eneo la communication lkn wakajisahau wakalala hawakuwekeza kwenye new technology ya smart phone apple ikaja wakapoteza leo hii Nokia sioy Big player tena kwenye simu, lkn Serikali ya Finland haiwezi
tu kuchukuwa fedha za walipa kodi kuilipa Nokia hiyo ni corruption na socialism, free market economy haiendi hivyo.
Kwenye Capitalism ni competiton ndiyo inatawala ukishindwa unaachwa unakufa, wengine wanaibuka, ...