Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

Kwa hiyo kama alikuwa hakosoi kipindi cha magu basi aendelee kukausha au sio?

Hivi nyie maccm akili zenu huwa mna muachia mwenyekiti au mbona hamna mwenye ahueni pamoja na huyo mwenyekiti wenu.
Ni lucas tu ndiyo anashangaa Padre kuwa na chuki na rais muislam wa tanzania
 
Rais Wetu ni Msomi kwelikweli wa kiwango cha juu sana .Tofauti na kwenye hiyo CV ya Dkt slaa kuliko jaa certificate tu na vi short kozi vya hapa na pale.
 
Ww jamaa huwa ni mpumbavu sana kuna siku utakuja kulijua hilo
 
Yule Mzee ana laana ya usaliti kwa kanisa takatifu, ndoa takatifu, chadema, CCM na serikali,.

Infact mzee slaa anateseka sana na athari na madhara ya
roho ya tamaa na ubinafsi ambavyo vinamfanya atangetange sana bila kuelewa anazungumza nini au anaelekea,

ndio maana anapuuzwa na kila chama cha siasa nchini πŸ’
 
Dkt slaa inatakiwa atubu .maana haiwezekani kila mahali anapoweka miguu anaishia pabaya.
 
Rais Wetu ni Msomi kwelikweli wa kiwango cha juu sana .Tofauti na kwenye hiyo CV ya Dkt slaa kuliko jaa certificate tu na vi short kozi vya hapa na pale.
Samia ni Dr msomi katika nyanja ipo?

Weka hapa chapisho lolote la kitaaluma alilowahi kuandika Samia.
 


Heshimu Uhuru wa mawazo wa mtu mwingine

Kama Sisi tunavyoheshimu Uhuru wa mawazo yako
 
Ulimfuatilia dkt slaa wa wakati wa hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli? Unaweza kuweka hapa video yoyote ile ya dkt slaa akikosoa jambo lolote lile?

Hata wewe si ulikuwa unamtukana Mbowe? Ila Leo umekuwa kampen meneja wake

So that's is politics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…