Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

Wew ulishapotea kwenye haya mambo ya siasa. Ndiyo maana hata ukiandika jambo la msingi watu wanakupuuza. Kama ningekuwa mimi ningekaa kimya hata mwaka mmoja. Mpaka wengine wanasema umekufa. 😂😂😂😂😂😂
 
Wew ulishapotea kwenye haya mambo ya siasa. Ndiyo maana hata ukiandika jambo la msingi watu wanakupuuza. Kama ningekuwa mimi ningekaa kimya hata mwaka mmoja. Mpaka wengine wanasema umekufa. 😂😂😂😂😂😂
Wewe ndiye umepuuzwa na ujinga wako.
 
Wakishilikiaba na Padre Kitima na Kibaraka Tundu Lisu
 
Na wewe kifaduro hebu tuondolee uchawa wako usiokuwa na tija. Wenzako machawa kina Mwijaku na Baba Levo wamejenga magorofa kwa uchawa wewe kila siku unatujazia tu server kwa magazeti yako ya kumsifia Samia na wala yeye hana mpango na wewe.
Shoga huyu
 
Huyo wala siyo Rais. Rais Huwa na caliber kama yule wa Burkina Faso. Huyu anaongoza wajinga kama wewe shetani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Kama sikosei Dr Slaa ndio balozi mstaafu wa kwanza kuvuliwa mpaka hicho cheo !!! sasa hapo nani mwenye chuki na mwenzake au nani aliyeanza chuki
 
Ni maajabu mtu aliyeishia darasa la 7 na akafeli anamkosoa Dr Slaa.

Ni maajabu mtu anayeishi kwa kusifia watu kila kukicha kumkosoa Dr Slaa.

Ni maajabu kwa kweli.
Mh, angalieni dunduka hili maskini.........ana nini huyo Dr wako Cha maana?!!! Mbona mi namuona kama la 2 tu kwa anachoongea na kitenda?!!!
 
Kama sikosei Dr Slaa ndio balozi mstaafu wa kwanza kuvuliwa mpaka hicho cheo !!! sasa hapo nani mwenye chuki na mwenzake au nani aliyeanza chuki
Kwanza alikuwa anaudhalilisha hata huo ubalozi.kwa hiyo ilikuwa sahihi kabisa kumvua.
 
Huyo wala siyo Rais. Rais Huwa na caliber kama yule wa Burkina Faso. Huyu anaongoza wajinga kama wewe shetani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Pole sana bibie kwa maumivu makali yanayokusumbua kwny mfuko wa kubebea mimba kama Yale ya uchungu. Samia Suluhu Hassan, ndiye Raisi wa taifa hili la Tanzania........vichinda kama wewe Wala havimshughulishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…