BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Wewe ni Muongozo, mwambie akiuke utaratibu aoneBunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya.
Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao.
Sasa angalia ni tunahitaji miaka mingapi kufikia levo za Kenya, kama hata Mkuu wa wilaya Bunge bado halina mamlaka naye.
Kwanza hakuna bunge lile ni kusanyiko la majangili tupu, pili hata diwani haliwezi kumhoji DC ni mbali sana, hakuna uwajibikaji hata kidogoBunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya.
Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao.
Sasa angalia ni tunahitaji miaka mingapi kufikia levo za Kenya, kama hata Mkuu wa wilaya Bunge bado halina mamlaka naye.
Umewazidi maendeleo gani? Matumizi makubwa na ya anasa Kenya hayapo, umewahi kuona wapi misafara ya kijinga ya kila siku kule Kenya? Sahivi kuanzia DC kwenda juu ni misafara tupu kila siku, watu wanatekwa na kuuawa umesikia Kenya unafanyika huo upumbavu? Acha ushabiki wa kijinga penda nchi ako.Usitake Kuiga mambo ya kipuuzi.
Toka Waingie madarakani wanajadili siasa na sio maendeleo
Mkuu hamia Kenya, kwanini unaumumizwa kiasi hicho na Kenya ni hapo jirani tuBunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya.
Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao.
Sasa angalia ni tunahitaji miaka mingapi kufikia levo za Kenya, kama hata Mkuu wa wilaya Bunge bado halina mamlaka naye.
Wewe mjinga Bungr la Kenya lisha toka kwenye levo za kujadili matundu ya vyoo, wale wanajadili Sera pekee, unataka kulinganisha na Bunge lenu la kijinga ambalo kutwa nzima ni wanajadiki ujinga ujinga?Usitake Kuiga mambo ya kipuuzi.
Toka Waingie madarakani wanajadili siasa na sio maendeleo
Nitahamia yeas kukaa kwenye Taifa la kizezeta ni shida sana. Taifa limejaa mazezeta kaunzia mtaani hadi Bungeni ni full kudanganyanyana na ujinga ujingaMkuu hamia Kenya, kwanini unaumumizwa kiasi hicho na Kenya ni hapo jirani tu
Mkuu usihadaike na maigizo ya kenya, katiba yao ni nzuri but hutumika kuwaadhibu pekee wasiotakiwa na mfumoBunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya.
Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao.
Sasa angalia ni tunahitaji miaka mingapi kufikia levo za Kenya, kama hata Mkuu wa wilaya Bunge bado halina mamlaka naye.
Mkuu Kenya sio levo zetu, wale wako levo zao hapo Nairobi unakuta watu wana Drive michuma ya hatari sana, Tanzania na CCM yetu tukijitahid8 sana ni mitumba ya mwaka 2006 kutoka Japani.Umewazidi maendeleo gani? matumizi makubwa na ya anasa Kenya hayapo, umewahi kuona wapi misafara ya kijinga ya kila siku kule Kenya? sahivi kuanzia DC kwenda juu ni misafara tupu kila siku, watu wanatekwa na kuuwawa umesikia Kenya unafanyika huo upumbavu? acha ushabiki wa kijinga penda nchi ako.
Kika siku Magavaba wana ondolewa Madarakani, wewe unajua habari za Kenya fuatilia, Je Bunge la Tanzania linaweza muhoji hata mtendaji wa kata?Mkuu usihadaike na maigizo ya kenya, katiba yao ni nzuri but hutumika kuwaadhibu pekee wasiotakiwa na mfumo
Na sasa hayo mazezeta yamehamia na kupiga kambi humu JF...kwa kweli yanatia kichefuchefuNitahamia yeas kukaa kwenye Taifa la kizezeta ni shida sana. Taifa limejaa mazezeta kaunzia mtaani hadi Bungeni ni full kudanganyanyana na ujinga ujinga
Miaka 200 kutoka sasa tunaweza wafikia baada ya kizazi cha wajinga kuwa kimepotea choteNdugu zetu wakenya wapo karne mbili mbele ya Tanganyika.
Elimu ya Tz ni ya kijinga sn, matajiri wengi wanasomesha watoto wao Kenya hawataki tena Tz sababu ya mfumo wa kijinga kukaririshana tupu.Mkuu Kenya sio levo zetu, wale wako levo zao hapo Nairobi unakuta watu wana Drive michuma ya hatari sana, Tanzania na CCM yetu tukijitahid8 sana ni mitumba ya mwaka 2006 kutoka Japani.
Tanzania shida kubwa imejaaa wajinga wengi sana
Yanaongozwa na Lucas MwashambwaNa sasa hayo mazezeta yamehamia na kupiga kambi humu JF...kwa kweli yanatia kichefuchefu
Tatizo la Tz ujinga ni wa kurithi hata baada ya miaka 500 itakuwa bado tena hali ndiyo inazidi kuwa mbaya kabisaMiaka 200 kutoka sasa tunaweza wafikia baada ya kizazi cha wajinga kuwa kimepotea chote
Kwanza hakuna bunge lile ni kusanyiko la kishetani kabisaKika siku Magavaba wana ondolewa Madarakani, wewe unajua habari za Kenya fuatilia, Je Bunge la Tanzania linaweza muhoji hata mtendaji wa kata?