Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

yesu alipo ponya watu mara nyng alisema imani yako imekuponya na sio yeye kamponya , yesu alitumika tu kma vessel ya kufungua nguvu za mungu zilizo ndani ya watu.
Asante sana mkuu
 
asili ni nini na inatoka kwa nan asili? kwa nini unatutaka tusitumie nguvu za asili? kwan unahis asili inatoka kwa nani ?
The power of nature, imezungumzwa vizuri sana na Napoleon Hill kaika kitabu chake cha The laws of Success. Kuna uhusianao Mkubwa sana wa nature na mafanikio na maporomoko ya mtu.

Watu wasome, waache kuchezewa na washika mistari.
 
Hope unamaanisha wewe ni mfano wa mungu unapozungumzia uumbaji, kwamba mwanadamu nae anaweza kuumba anapokutana na mwanadamu mwenzake [mke na mume].

Lakini ukumbuke, huu uumbaji wa mwanadamu, sio kama ule uumbaji wa Mungu, Mungu aliumba kwa kutumia neno, [alipomtuma malaika kumwambia Mariamu atapata ujauzito], wakati wanadamu wanaumba kwa kutumia miili.

Zaidi, unaposema Mungu alitupa mamlaka ya kuvitawala viumbe vyake, jiulize hayo ni mamlaka ya aina gani, matakatifu ka yale ya Mungu aliyetuumba, au yasiyo ya kitakatifu kwasababu wanadamu hatujakamilika?

Kama kwa mfano, unapotaka kuchinja kuku, kwanza lazima umkimbize mpaka akichoka ndio umkamate ili umchinje, kama ungekuwa na mamlaka ya kitakatifu uliyopewa na Mungu kuku angekuheshimu ungemuita angekuja umchinje bila kumkimbiza, sasa iweje Mungu aseme kavitawale, halafu ukija huku havituheshimu mpaka tuvikimbize tena?

Mwanadamu lazima amtegemee Mubgu, hatujakamilika; kuna vitu hamvijui undani wake, mnachukulia mambo juu juu tu, na ndio mnadanganyana kwenye huu uzi, kwa kumuita mleta mada "genious"
kwa hyo Mungu kamuumba binadamu ajakamilika?
 
Kwa hiyo Yesu aliyetufundisha tuombe sala ya Baba Yetu uliye mbinguni utupe l riziki zetu za kila siku alikuwa akili hana ila wewe bwege ndio unazo kumshinda yeye?
ndo ujiulize mbona mm siombi huo mkate na riziki lkn napata tena zaid
 
Mbona unakimbia maswali na unachagua comment ya kiniQuote ile comment yangu ya kwanza yenye maswali umeiacha wakati ndio ya kwanza na kukimbia hii kama sio udhaifu ni nini ? twende taratibu kila mtu ajibu maswali ya mwenzake mimi nipo verry flexible na ni msimu huru ndio maana katika maisha nimejaribu kusoma na kujielimisha kuhusu dini na madhehebu tofauti ya kile ninachoamini mpk vitabu vya Budha wakina Rama ninavyo sasa unapoanzisha hoja na mijadala lazima ukubali kutetea ,kujibu maswali ili watu kuelimika zaidi ndio maana katika comment uliyoikimbia nikisema niko tayari kufuata imani yako ikiwa yale maswali ungenijibu..
unafahamu din ni kitangulizi cha ukolon ?
 
Dah basi mkuu hapo unajiona ndo utaenda peponi KWA sababu umetoa dahwa KWA alie potoka🤣🤣🤣🤣 usicho kijua ni kwamba maisha YAKO yangekuwa bora zaidi kama unge fikiri na kutafakari kuhusu maisha YAKO na uhusiano wako na Mungu nje Kitabu chako.
Mimi mamlaka ya Pepo na kwa jambo hilo sio tiketi ya kwenda peponi moja kwa Moja.
 
Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani.

Kwa ufupi Wakristo na Waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba ni mazuri lakini hayampendezi Mungu.

Straight to the point hilo swali kwenye title huulizwa na watu wengi sana lakini majibu huwa hayapatikanagi.

Leo wacha nikupe jibu.

Jibu lake ni moja tu, mtu ambae hajaokoka au ambae hajasilimu na kuwa swala tano huwa ana uamini zaidi uwezo wake binafsi katika kufanya mambo yake katika maisha. Huiamini akili yake, maarifa yake na kadhalika.

Mtu huyu anapo okoka au kusilimu na kuwa swala tano, hushift imani aliyo nayo kwake na kuihamishia kwa Mungu jambo ambalo ni haramu machoni pa Mungu.

(UNAPO SHIFT IMANI YAKO KUTOKA KATIKA KUAMINI UWEZO WAKO MWENYEWE NA KUIHAMISHIA KWA MUNGU NI SAWA SAWA NA KUCHUKUA MAJI KUTOKA KWENYE KISIMA CHAKO NA KWENDA KUYAMWAGA BAHARINI HUKU UKIAMINI KWA KUFANYA HIVYO UNAIFURAHISHA BAHARI WAKATI BAHARI WALA HAI HITAJI MAJI YAKO)

Kama ni mfanyabiashara basi badala ya kutumia akili, uwezo, ufahamu na maarifa aliyo nayo kuhusu biashara yeye atabaki kusema Mungu ndo anae toa rizki kwa hivyo ata elekeza energy yake katika kusali/kuswali zaidi badala ya kutumia maarifa yake zaidi.

Mwisho wa siku mtu huyu biashara yake itafeli.

KWANINI NASEMA KUELEKEZA IMANI YAKO KWA MUNGU NI HARAMU?

KWA sababu Mungu hahitaji wewe uamini kwamba yeye ana nguvu ZOTE ana uwezo wote ana uwezo wa kufanya KILA kitu.

Mungu tayari vitu hivyo anavyo na wewe kusema kwamba Mwenyezi Mungu ana nguvu, Mwenyezi Mungu ni MUWEZA wa YOTE, you are not doing any favour to him. You are just repeating what he already knows a long time ago.

(Machoni pa Mungu?mwanadamu anae enda kwenye nyumba ya ibada na kuanza kusema Mwenyezi Mungu wewe ni Mungu mwenye Nguvu mwingi wa rehma, MUWEZA wa YOTE nakadhalika, hana tofauti na yale mapepo yaliyo kuwa yamemvaa yule mwendawazimu aliye kumbana na Yesu Masiha pale Gadarene( Mark 5)

Biblia inasema mapepo hayo yalipo muona Yesu yalianza kulia huku yakimwambia Yesu " Yesu Mwana Wa Mungu aliye juu kabisa (God the most high) tafadhali tunakuomba usitutoe ndani ya mtu huyu.

Lakini hata hivyo pamoja na kuyatukuza majina ya Mungu Yesu ali yatoa ndani ya mtu huyo.

Hii ni kwa sababu Mungu hahitaji kupewa sifa yoyote ile na kiumbe chake. He has nothing to do with it.

Watu wengi wanao enda kwenye nyumba za ibada kumsifu na kumtukuza Mungu kwa sifa zake huwa wanaishia kuwa cast out of their rightfully seats of authority.

Mwisho wa siku wanaishia kusema watu wasio fanya ibada wanafanikiwa katika maisha kwa sababu ya uchawi. Hell no.

God the Almighty doesn't need to praise him. KWANZA mwanadamu hana Maneno yanayo jitosheleza kuelezea sifa za Mungu and this has been proved by nature.

Wanasayansi Wana kubakubaliana kwamba machozi ni Maneno ambayo mtu ameshindwa kuyaelezea.

SASA kama huwezi kuyaelezea machozi tu utaweza vipi kumuelezea Mungu?

Kama ambavyo hakuna Maneno yanayo weza kuelezea machozi BASI hivyo hivyo hakuna Maneno yanayo weza kumuelezea Mungu.

Njia pekee ya kuelezea imani YAKO KWA MUNGU ni matendo YAKO na tendo pekee linalo weza kuelezea imani YAKO KWA MUNGU ni pale Unapo uamini uwezo wako KWA sababu hata Mungu pia ana uamini uwezo wako.

When your are praising God with words , you are not impressing him anyhow.

And you are not changing or adding anything to him.

MUNGU ANATAKA UAMINI KITU GANI SASA?

Mungu anataka ukiamini wewe mwenyewe. Mungu anataka u uamini uwezo akili, akili zako, maarifa YAKO, ufahamu wako na nguvu zako wewe.

Anataka kile unacho amini kuhusu Mungu ukiamini kuhusu wewe na sio vinginevyo.

KITU GANI HUTOKEA PALE MWANADAMU ANAPO SHIFT IMANI YAKE KWA MUNGU NA KUIELEKEZA KWAKE YEYE MWENYEWE.

Kwa kufanya hivyo mwanadamu hupata faida zifuatazo:

1. A human being who believes in his power more than the power of his creator share the same belief as his creator because the creator believes in his creation.

So uki amini katika nguvu zako jua upo pamoja na Mungu katika imani. KWA sababu hata Mungu pia ana amini katika nguvu zako na uwezo wako.

Kitu pekee kinacho weza ki draw attention ya Mungu kwako ni pale wewe mwenyewe Unapo amini katika nguvu zako.

Unapokuwa una amini katika nguvu zako tafsiri yake ni kwamba una amini katika nguvu na uumbaji wa Mungu kwa sababu Mungu ndio amekuumba wewe na Mungu huumba vitu ambavyo vina reflect nguvu zake na uwezo wake.

Hii dhana kwamba eti binadamu ni kiumbe dhaifu ni kufuru kubwa sana kwa Muumba.

Unaposema binadamu ni dhaifu tafsiri yake ni kwamba Mungu ndio dhaifu kwa sababu Mungu ndio kamuumba mwanadamu.

Ni sawa na kusema " Mercedes Benz ni gari dhaifu" ukisema mercedes ni gari dhaifu jua hujaitukana mercedes benz ila imeitukana teknolojia ya mjerumani ambayo ndio imetumika KUTENGENEZA mercedes benz. KWA hiyo kuanzia leo Shekhe au Mchungaji yoyote akikwambia wewe ni dhaifu Mwambie mimi sio dhaifu labda wewe ndio dhaifu.

Mungu alikuumba ukiwa umekamilika na alipendezwa na kitu alicho kiumba.

Kabla hajakuleta duniani Mungu aliweka ndani YAKO KILA kitu unacho kihitaji ( Ufalme wa Mungu upo ndani YAKO/ Ufalme wa Mungu= Nguvu/mamlaka ya Mungu)

Duniani hakuna kitu chochote kile kinacho weza kukushinda. Hakuna jini SHETANI mganga wala mchawi anae weza kumshinda mwanadamu anae ijua na kui ishi siri hii kwamba Nguvu za Mungu zipo ndani yake na kwamba anacho takiwa kufanya ni kuamini na kuzitumia.

Wachawi waganga mapepo majini na mashetani huwaga wanahangaika na the regular christians and muslims ambao bado wanaishi katika u-ignorance. Wanao enda kanisani na msikitini kutafuta nguvu za Mungu wakati nguvu za Mungu zipo ndani yao.

Mchawi hawezi kukuogopa kwa sababu anajua ur ignorant of your powers.

Start believing in urself and u will come to thank me.

Since I knew this secret my life has changed for better.

Hakuna mchawi wala mganga wala jini wala pepo yoyote yule anae weza kuni defeat .

The one thing that I can tell Lucifer is that " Hey Mr. Lucifer between me and you the one who is afraiding of your powers is you"

Yani ni sawa na Mandonga kamkwida Muhammad Ali( hata roho haidundi)

Mwanadamu unapo enda kumuomba Mungu AKUSAIDIE jambo ambalo Mungu anajua ndani YAKO ameweka tayari amekupa uwezo wa kulifanya jambo hilo una muhuzunisha sana. Yani ni sawa na mtoto wako mwenye umri wa miaka kumi na nne ana kuja kukuomba wewe baba ake au mama ake ukamtawadhe wakati anajua umefikia umri wa kujitawadha mwenyewe..

Ndio maana ukichunguza vizuri utagundua kuwa watu wanao sema kuwa Mungu hajibu maombi wengi wao ni waislamu kwa wakristu.

Simply kwa sababu ya siri hii.

Stop making God sad. Start believe in urself..

Ur brains are a very very powerful weapon. If you don't use them properly your enemy can use them against you because he is attracted to their powers. He wish to be the one possessing the powers of your brains .

(I have said your brains because humans have three brains/ this will be a topic for another day)

Ukianza kuamini katika uungu uliopo ndani YAKO hii dunia unayo ishi itabadilika na kuwa paradiso.

Utaona jinsi mambo yanavyo badikika for good.

Anza sasa. Bado hujachelewa.

# Tatizo kubwa la Mungu kwa wanadamu sio wanadamu kushindwa kumuamini yeye la hasha. Mungu hana uhaba wa watu Wana amini katika nguvu zake hata kidogo. Tatizo kubwa la Mungu kwa wanadamu ni wanadamu kuto amini nguvu za Mungu ambazo ameziweka ndani yao.

Wewe mwenyewe ndio uchague either kuwa tatizo au kutokuwa tatizo machoni pa Mungu

Hongera kwa andishi bora kabisa naamini wafia dini hawatakuelewa watasema unakufuru muumba
 
Nafahamu vizuri sana na nimefuatilia historia kwa upana wake kupitia source tofauti tofauti .
din inaenda kupoteza mvuto mkuu japo inafaida zake kwa watu wasiojitambua inafaa wawe na dini coze mtu mpka awe na upendo lazma aambiwe , huku nikutojitambua, ila watu wengi wakishajitambua din haina issue tena .
 
Tumia akil yako, ni bora kuliko andiko unalotaka.
Andiko ni tendo na maneno ya watu watu waliopita. Walikuwa watu kama wewe.

Elimika, ili upumbavu ukutoke
Unataka niache kufuata maandiko ya imani yangu nifuate mawazo yenu?! acheni huu utoto.

Kama mnaamini mwanadamu yuko sawa na Mungu aliyemuumba, kwanini basi huyo mwanadamu asingejiumba?

Hizi theories zenu naziona za ajabu ajabu tu.. za kipagani.
 
Before that Mussa alikuwa bado "mtoto" kama wewe . Alikuwa na mindset kama YAKO ndio maana akaenda kumuomba Mungu, Mungu akamrefer to himself. Hata mimi zamani nilikuwaga kama Mussa lakini baadae nilipo ujua ukweli nikaacha kuwa kama Mussa.

Ndio maana nasema wewe jamaa bado mtoto mchanga kwenye hiki ambacho nimekiandika. Wewe unatakiwa kunyweshwa maziwa na sio Ugali mgumu kama huu ambao nimeupika.

Ni hivi hata Mussa alikuwaga "mchanga kiroho" kama wewe ulivyo SASA.

So wakati anaenda kumuomba Mungu alikuwa bado hajaujua ukweli kuhusu nguvu iliyomo ndani yake ndio maana Mungu akamfundisha ukweli huo KWA mara ya KWANZA ili iwe fundisho kwake na kwa wengine ambao tutapata bahati ya kusoma habari za Mussa.

Mussa baada ya kuujua huo ukweli alifanya vitu vikubwa sana. Ilifikia hatua Mussa akaanza kumpa Mungu ushauri na Mungu akafuata ushauri wa Mussa.

Soma Kitabu cha kutoka 32 uone kitu gani kilipelekea Mussa kumpa Mungu ushauri. Jikite kwenye Kitabu hicho hicho cha KUTOKA 32 kuanzia mstari wa 11 HADI wa 14 uone Mungu aliupokea vipi ushauri wa Mussa.

Hapo ndio utajua mwanadamu ni nani mbele ya Mungu
Huu utapeli tu unaendelea kuuandika hapa.

Siku zote biblia haisomwi kama makala ya kwenye gazeti, eti nitulie kitabu hicho hicho tu, nisisogee mbele zaidi.

Ndio maana nikakupa andiko la "bisheni mtafunguliwa..." ili uelimike, biblia inaeleweka vizuri ukisoma vitabu vyote, sio kimoja
 
adriz na denooJ tusaidieni majibu
Sikutegemea kunitag kwenye swali la kitoto namna hii amabalo hata mtoto mdogo wa chekechea anaweza kulijibu.

Hakanu dhamana kuwa mtu akishika dini asijaribiwe na wala kupata matatizo kwani Duniani ni sehemu ya mitihani ya kila aina haijalishi ni mtu wa aina gani sasa hoja ya misikiti na makanisa kuzama na mafuriko ni hoja ya kitoto sana kwani hakuna mahali pameekewa dhamana hata Waisrael(Sio wakina Netanyahu) walihai kuharibiwa sehemu zao za ibada pale Jerusalem na Nebuchadnezzar tena mara nyingi tu hekalu lilibomolewa na maadui.
 
Nilishamjibu hilo toka jana comment no. 31, hana kumbukumbu tu.

Huyu anataka kudanganya watu kinyago kinaweza kuwa na maarifa sawa na aliyekichonga!.
 
Uzuri wa hao unaowaita wajinga, huwezi kuwaona kwa Mwamposa, na wala huwezi kuwaona wakipiga magoti kwa Sanamu ili kufanya maombi.

Huwezi kuwa na akili kwa kuendelea kutegemea kutumia akili za wenzako.
Au, huwezi kujibiwa maombi kwa kuliomba Sanamu lililotengenezwa na Binadamu Mwezako.

Amkeni
Hao wanafanya hivyo ni wapumbavu wamepokea dini vibaya , na mimi napinga mtu kumuIdolize mchungaji au Shekhe yeyote na siamini kama mtu mmoja ndiyo kapewa funguo za haraka na neema kiasi ambacho kupelekea watu kumfuata yeye kama njia ya maombi na kupokelewa na Mungu bali ninaamini hakuna mtu wa kati kufikisha maombi Kati ya Mungu na mwanadamu na wanafanya hivyo pamoja na kuomba masanamu wapo kinyume na muongozo sahihi ya dini.
 
Lakini wakristo hawafanyi hivyo. Wengi wanaenda kanisani kuombewa
Waliokuja kuvuruga hizi imani ni hawa so called ”manabii wachungaji sijui mapopet",watu hawamuamini tena Mungu utasikia ”naenda kubarikiwa na mchungaji" mamlaka ya kubariki yeye ameyatoa wapi?

Ninachowakubali KKKT,ISLAMS,CATHOLICS na ANGLICANS ni wapo straight kwamba Mungu ni wa kuabudiwa na kushukuriwa siyo wa kulaumiwa binadamu tumeshapewa akili kinachotakiwa ni sisi kuzitumia ili kwenda sambamba na Mungu alivyotaka,watu wanapoteza muda kwenye mabanda ya mabati jumatatu mpaka jumamosi masaa zaidi ya 18 (3hrs per day) wakidanganywa wanavunja laana za umaskini kwa kulia machozi instead wakafanye kazi.
 
Mnaobishia mleta mada;
Someni vitabu vya Metaphysics... hasa Neville Goddard.
Yes, sisi ni Gods, hakuna Mungu mawinguni watching over us!hahaa
Wanafalsafa hawawezi kunipa ukweli wowote. Hivyo siwezi kuutafuta ukweli kutoka kwa wanafalsafa. Wao wenyewe washachanganyikiwa na kupotea. Watamuongoza nani??
 
Nipe hasara 4 au tatu ninazopata kutokana kuwa mfuasi wa dini ?

Kuwa mtumwa duniani hakuepukiki na kuwa mtumwa mbele ya Mwenyezi Mungu hapo ndio sawa ,tuseme haufuati utakuwa bado mtumwa ;
1.kwa wanawake hapa watu wanaumia kufa na kupigwa vibaya.

2.Mtumwa wa mipira tena hapa shabiki anatoa hela yake kusafiri na timu kwenda uwanjani wkt mwingine familia haki tete,usiku anaacha kulala vizuri anakaa kibanda umiza mpaka sasa 7 kucheki gemu ya Uefa ,mtu anaumizwa na matokeo ambayo hajasababisha yeye na hana control nayo nk huu sio upumbavu ?

4.Mtumwa wa miziki unamshabikia msanii na kumpambania mitandaoni ,kumjadili vijiweni ,kununua nyimbo wakati haupati share yeyote ya faida na wala hakutambui ..

5.Mtumwa wa Pombe ,bangi ,sigara ,mirungi nk hapa kuns athari nyingi za kiafya na kiakili na watu wengi wameangania.

6.Mtumwa wa kubeti na kamari, hapa watu wengi wameathirika vibaya mno na kupata hasara

7.Nk

Nb: Utumwa haupukiki mtu katika maisha lazima uwe mtumwa wa mfumo fulani na hiyo inakuwa kama dini yako lakini ukiwa mtumwa wa Mwenyezi Mungu wa kweli hapo hauna hasara kama ukifuata mafundisho ya kweli na kufuata maelekezo kwa usahihi hapo wewe Kazi yako ni kumuamini yeye kuacha mabaya na kufuata mema

Tatizo kubwa watu wanapokea mafundisho vibaya hapo ndipo wanapotoka hakuna mahali Mwenyezi Mungu anataka watu wawe masikini wasijishughulishe hapana sasa unakuta mtu anashinda msikitini kutwa nzima hajitumi kuongeza kipato kwa njia halali anabaki kusema Allah ndiye amekadiria hivyo wakati mafundisho yanataka ukishamaliza kuswali ukajitafutie riziki yako halaliView attachment 2393351
View attachment 2393354

Note:Ukinipa hasara Nne za kuwa na dini na faida Nne za kuwa mfuasi wa dini yako nakufuata sasa hivi.
Naam, hakuna ambaye sio mtumwa. Sisi ni Watumwa wa Allah. Na tunajivunia kwa hilo. Tumekataa kuwa watumwa wa matamanio ya nafsi zetu wenyewe, nao ni utumwa mbaya ulioje.
 
Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani.

Kwa ufupi Wakristo na Waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba ni mazuri lakini hayampendezi Mungu.

Straight to the point hilo swali kwenye title huulizwa na watu wengi sana lakini majibu huwa hayapatikanagi.

Leo wacha nikupe jibu.

Jibu lake ni moja tu, mtu ambae hajaokoka au ambae hajasilimu na kuwa swala tano huwa ana uamini zaidi uwezo wake binafsi katika kufanya mambo yake katika maisha. Huiamini akili yake, maarifa yake na kadhalika.

Mtu huyu anapo okoka au kusilimu na kuwa swala tano, hushift imani aliyo nayo kwake na kuihamishia kwa Mungu jambo ambalo ni haramu machoni pa Mungu.

(UNAPO SHIFT IMANI YAKO KUTOKA KATIKA KUAMINI UWEZO WAKO MWENYEWE NA KUIHAMISHIA KWA MUNGU NI SAWA SAWA NA KUCHUKUA MAJI KUTOKA KWENYE KISIMA CHAKO NA KWENDA KUYAMWAGA BAHARINI HUKU UKIAMINI KWA KUFANYA HIVYO UNAIFURAHISHA BAHARI WAKATI BAHARI WALA HAI HITAJI MAJI YAKO)

Kama ni mfanyabiashara basi badala ya kutumia akili, uwezo, ufahamu na maarifa aliyo nayo kuhusu biashara yeye atabaki kusema Mungu ndo anae toa rizki kwa hivyo ata elekeza energy yake katika kusali/kuswali zaidi badala ya kutumia maarifa yake zaidi.

Mwisho wa siku mtu huyu biashara yake itafeli.

KWANINI NASEMA KUELEKEZA IMANI YAKO KWA MUNGU NI HARAMU?

KWA sababu Mungu hahitaji wewe uamini kwamba yeye ana nguvu ZOTE ana uwezo wote ana uwezo wa kufanya KILA kitu.

Mungu tayari vitu hivyo anavyo na wewe kusema kwamba Mwenyezi Mungu ana nguvu, Mwenyezi Mungu ni MUWEZA wa YOTE, you are not doing any favour to him. You are just repeating what he already knows a long time ago.

(Machoni pa Mungu?mwanadamu anae enda kwenye nyumba ya ibada na kuanza kusema Mwenyezi Mungu wewe ni Mungu mwenye Nguvu mwingi wa rehma, MUWEZA wa YOTE nakadhalika, hana tofauti na yale mapepo yaliyo kuwa yamemvaa yule mwendawazimu aliye kumbana na Yesu Masiha pale Gadarene( Mark 5)

Biblia inasema mapepo hayo yalipo muona Yesu yalianza kulia huku yakimwambia Yesu " Yesu Mwana Wa Mungu aliye juu kabisa (God the most high) tafadhali tunakuomba usitutoe ndani ya mtu huyu.

Lakini hata hivyo pamoja na kuyatukuza majina ya Mungu Yesu ali yatoa ndani ya mtu huyo.

Hii ni kwa sababu Mungu hahitaji kupewa sifa yoyote ile na kiumbe chake. He has nothing to do with it.

Watu wengi wanao enda kwenye nyumba za ibada kumsifu na kumtukuza Mungu kwa sifa zake huwa wanaishia kuwa cast out of their rightfully seats of authority.

Mwisho wa siku wanaishia kusema watu wasio fanya ibada wanafanikiwa katika maisha kwa sababu ya uchawi. Hell no.

God the Almighty doesn't need to praise him. KWANZA mwanadamu hana Maneno yanayo jitosheleza kuelezea sifa za Mungu and this has been proved by nature.

Wanasayansi Wana kubakubaliana kwamba machozi ni Maneno ambayo mtu ameshindwa kuyaelezea.

SASA kama huwezi kuyaelezea machozi tu utaweza vipi kumuelezea Mungu?

Kama ambavyo hakuna Maneno yanayo weza kuelezea machozi BASI hivyo hivyo hakuna Maneno yanayo weza kumuelezea Mungu.

Njia pekee ya kuelezea imani YAKO KWA MUNGU ni matendo YAKO na tendo pekee linalo weza kuelezea imani YAKO KWA MUNGU ni pale Unapo uamini uwezo wako KWA sababu hata Mungu pia ana uamini uwezo wako.

When your are praising God with words , you are not impressing him anyhow.

And you are not changing or adding anything to him.

MUNGU ANATAKA UAMINI KITU GANI SASA?

Mungu anataka ukiamini wewe mwenyewe. Mungu anataka u uamini uwezo akili, akili zako, maarifa YAKO, ufahamu wako na nguvu zako wewe.

Anataka kile unacho amini kuhusu Mungu ukiamini kuhusu wewe na sio vinginevyo.

KITU GANI HUTOKEA PALE MWANADAMU ANAPO SHIFT IMANI YAKE KWA MUNGU NA KUIELEKEZA KWAKE YEYE MWENYEWE.

Kwa kufanya hivyo mwanadamu hupata faida zifuatazo:

1. A human being who believes in his power more than the power of his creator share the same belief as his creator because the creator believes in his creation.

So uki amini katika nguvu zako jua upo pamoja na Mungu katika imani. KWA sababu hata Mungu pia ana amini katika nguvu zako na uwezo wako.

Kitu pekee kinacho weza ki draw attention ya Mungu kwako ni pale wewe mwenyewe Unapo amini katika nguvu zako.

Unapokuwa una amini katika nguvu zako tafsiri yake ni kwamba una amini katika nguvu na uumbaji wa Mungu kwa sababu Mungu ndio amekuumba wewe na Mungu huumba vitu ambavyo vina reflect nguvu zake na uwezo wake.

Hii dhana kwamba eti binadamu ni kiumbe dhaifu ni kufuru kubwa sana kwa Muumba.

Unaposema binadamu ni dhaifu tafsiri yake ni kwamba Mungu ndio dhaifu kwa sababu Mungu ndio kamuumba mwanadamu.

Ni sawa na kusema " Mercedes Benz ni gari dhaifu" ukisema mercedes ni gari dhaifu jua hujaitukana mercedes benz ila imeitukana teknolojia ya mjerumani ambayo ndio imetumika KUTENGENEZA mercedes benz. KWA hiyo kuanzia leo Shekhe au Mchungaji yoyote akikwambia wewe ni dhaifu Mwambie mimi sio dhaifu labda wewe ndio dhaifu.

Mungu alikuumba ukiwa umekamilika na alipendezwa na kitu alicho kiumba.

Kabla hajakuleta duniani Mungu aliweka ndani YAKO KILA kitu unacho kihitaji ( Ufalme wa Mungu upo ndani YAKO/ Ufalme wa Mungu= Nguvu/mamlaka ya Mungu)

Duniani hakuna kitu chochote kile kinacho weza kukushinda. Hakuna jini SHETANI mganga wala mchawi anae weza kumshinda mwanadamu anae ijua na kui ishi siri hii kwamba Nguvu za Mungu zipo ndani yake na kwamba anacho takiwa kufanya ni kuamini na kuzitumia.

Wachawi waganga mapepo majini na mashetani huwaga wanahangaika na the regular christians and muslims ambao bado wanaishi katika u-ignorance. Wanao enda kanisani na msikitini kutafuta nguvu za Mungu wakati nguvu za Mungu zipo ndani yao.

Mchawi hawezi kukuogopa kwa sababu anajua ur ignorant of your powers.

Start believing in urself and u will come to thank me.

Since I knew this secret my life has changed for better.

Hakuna mchawi wala mganga wala jini wala pepo yoyote yule anae weza kuni defeat .

The one thing that I can tell Lucifer is that " Hey Mr. Lucifer between me and you the one who is afraiding of your powers is you"

Yani ni sawa na Mandonga kamkwida Muhammad Ali( hata roho haidundi)

Mwanadamu unapo enda kumuomba Mungu AKUSAIDIE jambo ambalo Mungu anajua ndani YAKO ameweka tayari amekupa uwezo wa kulifanya jambo hilo una muhuzunisha sana. Yani ni sawa na mtoto wako mwenye umri wa miaka kumi na nne ana kuja kukuomba wewe baba ake au mama ake ukamtawadhe wakati anajua umefikia umri wa kujitawadha mwenyewe..

Ndio maana ukichunguza vizuri utagundua kuwa watu wanao sema kuwa Mungu hajibu maombi wengi wao ni waislamu kwa wakristu.

Simply kwa sababu ya siri hii.

Stop making God sad. Start believe in urself..

Ur brains are a very very powerful weapon. If you don't use them properly your enemy can use them against you because he is attracted to their powers. He wish to be the one possessing the powers of your brains .

(I have said your brains because humans have three brains/ this will be a topic for another day)

Ukianza kuamini katika uungu uliopo ndani YAKO hii dunia unayo ishi itabadilika na kuwa paradiso.

Utaona jinsi mambo yanavyo badikika for good.

Anza sasa. Bado hujachelewa.

# Tatizo kubwa la Mungu kwa wanadamu sio wanadamu kushindwa kumuamini yeye la hasha. Mungu hana uhaba wa watu Wana amini katika nguvu zake hata kidogo. Tatizo kubwa la Mungu kwa wanadamu ni wanadamu kuto amini nguvu za Mungu ambazo ameziweka ndani yao.

Wewe mwenyewe ndio uchague either kuwa tatizo au kutokuwa tatizo machoni pa Mungu
machozi ni Maneno ambayo mtu ameshindwa kuyaelezea.Ni ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom