YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Unakufuru werendo ujiulize mbona mm siombi huo mkate na riziki lkn napata tena zaid
Subiri utapata jibu lako
Mungu atakushukia kama mwewe na kusambaratisha kila ulichonacho kuanzia afya yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakufuru werendo ujiulize mbona mm siombi huo mkate na riziki lkn napata tena zaid
Yes maisha ya duniani si lolote ukilinganisha na maisha ya akhera baada ya kufa.Maisha ya dunia si lolote... SASA unafanya kazi ili iweje kama maisha ya dunia si lolote. Kunywa sumu jiue ndo tujue upo serious una maanisha.
Yani Mungu ame design maisha ya mwanadamu for a period of one thousand years. Ameitengeneza dunia nzuri yenye kuvutia amekuleta kiumbe wake uje ufurahie maisha then malipo YAKO kwake ni kusema maisha si lolote. Are you serious?
Mimi nayapenda maisha na kika SIKU namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa maisha na kunileta duniani.
" Dunia tupo kujaribiwa" ni sentensi inayo mkufuru Mungu kwa kiwango cha stifler gorge. Ukisema duniani umekuja kujaribiwa tafsiri yake ni kwamba anae kujaribu hajui hutafanya nini endapo atakujaribu. Kwamba hajui mambo yajayo. Ndio unacho maanisha hiki.
Mungu hana interest yoyote na kukujaribu wewe kiumbe wake. And he cannot do such a stupid mission.
Hiyo kumjaribu mtu ni human character na sio divine character.
1(a)Wewe umesema hauna dini(hizi mbili kuu) sasa kwa nini utumie andiko kutoka dini hizi kutetea hoja yako ?
b) Hiyo andiko uliloweka kunathibitisha vipi kuwa limetoka kwa Mungu na hayo maneno ni kweli Mungu kasema ?
2.Wapi Mungu kasema yeye pekee ndiye mwenye kumjua muislamu safi unaweza kuweka ushahidi ?
,🤣🤣🤣🤣 Una kimbia ukweli sio?.u will never be wise in ur life.Huu utapeli tu unaendelea kuuandika hapa.
Siku zote biblia haisomwi kama makala ya kwenye gazeti, eti nitulie kitabu hicho hicho tu, nisisogee mbele zaidi.
Ndio maana nikakupa andiko la "bisheni mtafunguliwa..." ili uelimike, biblia inaeleweka vizuri ukisoma vitabu vyote, sio kimoja
Vipi kuhusu pombe?Kama duniani tu wanashindwa kukaa kanisani kutwa nzima kusifu na kuabudu ndio utakwenda kuabudu milele huko mbinguni??
Yesu kwenye biblia anasema kama ulikuwa na mke mmoja hapa duniani huko mbinguni utapewa mara mia unashangaa sisi waislam kuambiwa kuwa tutapewa wanawake 70?
Matthew 19:29
And every one that hath forsaken houses, or brethren, or sisters, or father, or mother, or wife, or children, or lands, for my name's sake, shall receive an hundredfold, and shall inherit everlasting life.
Tutakunywa pombe huko peponi lakini si kama hii pombe ya duniani ambayo ukinywa unavurugikwa na akiliVipi kuhusu pombe?
Kaka nimesha sema kwenye bandiko langu hapo juu. People will never respect a person because he has faith in God. People will respect a man who has faith in himself.Hao wanafanya hivyo ni wapumbavu wamepokea dini vibaya , na mimi napinga mtu kumuIdolize mchungaji au Shekhe yeyote na siamini kama mtu mmoja ndiyo kapewa funguo za haraka na neema kiasi ambacho kupelekea watu kumfuata yeye kama njia ya maombi na kupokelewa na Mungu bali ninaamini hakuna mtu wa kati kufikisha maombi Kati ya Mungu na mwanadamu na wanafanya hivyo pamoja na kuomba masanamu wapo kinyume na muongozo sahihi ya dini.
🤣🤣🤣🤣 Kubali tu mzee umepigwa. Mimi kuanzia babu gangu wa saba HADI baba yangu mzazi walikuwa mashekhe wakubwa tu lakini nakwambia mkuu dini tumepigwa..Tutakunywa pombe huko peponi lakini si kama hii pombe ya duniani ambayo ukinywa unavurugikwa na akili
,🤣🤣🤣🤣 Usingizi wako ni mzigo kweli kweli. Eti majaribu. Mungu anakujaribu ili yeye apate nini?Sikutegemea kunitag kwenye swali la kitoto namna hii amabalo hata mtoto mdogo wa chekechea anaweza kulijibu.
Hakanu dhamana kuwa mtu akishika dini asijaribiwe na wala kupata matatizo kwani Duniani ni sehemu ya mitihani ya kila aina haijalishi ni mtu wa aina gani sasa hoja ya misikiti na makanisa kuzama na mafuriko ni hoja ya kitoto sana kwani hakuna mahali pameekewa dhamana hata Waisrael(Sio wakina Netanyahu) walihai kuharibiwa sehemu zao za ibada pale Jerusalem na Nebuchadnezzar tena mara nyingi tu hekalu lilibomolewa na maadui.
Yeremia 1:5Jesus !!! U don't seems to understand. Mungu hahitaji wewe umtumainie. Mungu hajakuumba umtumainie.
Mungu amekuumba huku ndani YAKO akiwa ameweka kila kitu ambacho una kihitaji katika maisha yako.
Huhitaji kumtumainia ila kinyume chake yeye ndio anakutumainia wewe.
Anatumaini kwamba kwa nguvu na mamlaka aliyo yaweka ndani YAKO utaweza kuishi maisha YAKO na kutawala viumbe wengine walio chini YAKO...
We jamaa hata Bible huijui unasoma tu kama gazeti unaeleza juu juu na kuweka tafsiri zako.,🤣🤣🤣🤣 Usingizi wako ni mzigo kweli kweli. Eti majaribu. Mungu anakujaribu ili yeye apate nini?
Yakobo 1:13-15. Bwana Mungu hawezi kujaribiwa wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.
N.b: to give someone a test is a human.character. Because u want to know the results. What will he or she do if I give him or her test? So Unapo sema duniani Mungu amekuja kuwajaribu wanadamu ni SAWA na kusema Mungu hajui mambo yajayo.
We jamaa hata Bible huijui unasoma tu kama gazeti unaeleza juu juu na kuweka tafsiri zako.View attachment 2394578
View attachment 2394579
Wewe ndiye hauleweki maana unajipinga mwenyewe ,umesema hauamini hizi dini wakati huo huo unatumia vifungu vyao kujibu hoja .Wewe ni mlevi. Mwanzoni umeandika" dish limeyumba na quote bible wakati wewe huamini bible" baada ya kutafakari ume edit umeamua uje na hili.
Yes sikatai. Kama ilivyo qur'aan, bible nayo imeandikwa na watu kama wewe.
Mungu hahitaji kukujaribu wewe.
Mungu anae wajaribu watu mimi simuhitaj kwa sababu Mungu huyo ni dhaifu wala hana sifa ya kuitwa mungu.
Mungu alie niumba anaijua kesho yangu hata kabla sija zaliwa.
Hahitaji kunijaribu ili ajue nitafanya nini KWA sababu tayari anajua nitafanya nini hata kabla sijafanya.
Wewe mungu wako unae muamini haijui kesho YAKO ndio maana anakujaribu
Sasa unataka nitumie reference ipi kukuelewesha. Wewe ni mlevi. Akili YAKO imelevwya na mafundisho ya dini ambayo basically ni mafundisho ya watu. Ntakuelewesha vipi mkuu?Wewe ndiye hauleweki maana unajipinga mwenyewe ,umesema hauamini hizi dini wakati huo huo unatumia vifungu vyao kujibu hoja .
Na unasema Mungu anataka hivi bila kuweka ushahidi kasema wapi na lini ukibanwa hapo unaleta vifungu vya Bible unavyodhani tena vimeandikwa na watu ,hii ni dalili ya dishi kuyumba mazima..
Sasa unataka nitumie reference ipi kukuelewesha. Wewe ni mlevi. Akili YAKO imelevwya na mafundisho ya dini ambayo basically ni mafundisho ya watu. Ntakuelewesha vipi mkuu?Wewe ndiye hauleweki maana unajipinga mwenyewe ,umesema hauamini hizi dini wakati huo huo unatumia vifungu vyao kujibu hoja .
Na unasema Mungu anataka hivi bila kuweka ushahidi kasema wapi na lini ukibanwa hapo unaleta vifungu vya Bible unavyodhani tena vimeandikwa na watu ,hii ni dalili ya dishi kuyumba mazima..
hahaha acha kunitisha mkuu najitambua na Mungu yupo ndan yangu namjua na yeye ananijua, karibu upate usaidizi wa kirohoo mkuu.Unakufuru were
Subiri utapata jibu lako
Mungu atakushukia kama mwewe na kusambaratisha kila ulichonacho kuanzia afya yako