1. Soma Kitabu cha HESABU 20
Baada ya Wana israel kukosa maji wakiwa jangwani walianza kumlalamikia Mussa, Mussa akaenda madhabahuni kumuomba Mungu maji yapatikane. Mungu akamwambia Mussa kwenye verse ya 6 na 7 ( HESABU 20:6-7) talk to the rock and the waters will flow from the rock.
Wakati Mussa aliamini suluhisho lake lipo KWA Mungu, Mungu aliamini suluhisho la tatizo la Mussa lipo ndani yake Mussa mwenyewe. Ndio maana Mungu mwenyewe akamwambia Mussa " Talk to the rock" it means ' Inside you i have my power and through that power you have every thing which you need'.
Kupitia andiko hilo Mungu anatufundisha kwamba vitu vyote tunavyo taka yeye avifanye kwetu moja kwa moja, viti hivyo vipo ndani yetu tayari na tuna uwezo wa kuvifanya sisi kama sisi.
Huo ni mfano mmoja wa kwenye maandiko lakini katika maisha halisi( experience) ipo mifano mingi tu.
2. Kuhusu Bakhresa wacha nikuulize na wewe kama ulivyo niuliza mimi swali la kwanza. Umesema Bakhresa ni muislamu swafi right? Anae jua yupi ni muislamu swafi na yupi si muislamu swafi ni Mwenyezi Mungu mwenyewe KWA sababu yeye ndio anaona mpaka yaliyopo ndani ya moyo wa mtu right? SASA wewe ndugu yangu ulikutana wapi na Mwenyezi Mungu akakwambia kwamba Bahkresa ni muislamu swafi?
Cc
denooJ ulikuwa unataka andiko. Andiko hilo hapo juu