Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

Hapo kwenye maombi ndipo mnapo feli.

Mungu hahitaji umuombe chochote KWA sababu amekupa KILA kitu tayari. KILA kitu kipo ndani YAKO.

Ibada pekee inayo kubalika mbele za Mungu ni ibada ya shukurani.

Unamshukuru Mungu kwa kuku umba na kuweka nguvu zake ndani YAKO..
Sahih kbsa tunasahau kushukuru na kuomba sna na kugaragaza hpn tufanye ibada ya shukrani Mara kwa Mara tuongezewe nguvu za kimungu
 
Sahih kbsa tunasahau kushukuru na kuomba sna na kugaragaza hpn tufanye ibada ya shukrani Mara kwa Mara tuongezewe nguvu za kimungu
Kabisa. Wabudha wanaujua sana huu ukweli huu. Binadamu ni kiumbe mwenye nguvu za ajabu sana. Kuliko unavyo weza kufikiri mkuu...
 
" Ukisema unafuata akili yako tu ni wazi maagizo ya Mungu unayaweza kando" Maagizo ya Mungu yapi hayo? Na nani alikwambia hayo ni Maagizo ya Mungu?
Dos and dont's... Ili uyajue maagizo yake ni lazima kwanza umuamini kisha ndio ujue anataka nini kwako na nini hataki kutoka kwako?!

Kwasisi waislamu , Mungu anasema kuwa

Quran 51:57-59

Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.Na sitaki kwao riziki, wala sitaki wanilishe.

Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kuruzuku, Mwenye nguvu, Madhubuti
 
Nikuambieni kitu wandugu,,Iko hivi Roman Catholic waliposema Mungu yuko mahali kote hawakukosea,walitafakari,walichunguza,na wakaliona hilo kuwa Mungu yuko mahali kote.Ni kuwa hata mchanga unaouona na kuukanyaga hapo Mungu yupo maana yake ishi Kwa kufuata misingi mizuri kadiri dini zote zinavyoelekeza hakika utaishi Kwa amani na mafanikio tele hapa duniani.
Mungu yupo pamoja nasi,na Mungu yuko kila mahali,kanuni ni kumfuata tu yaani kuishi Kwa maarifa na pasipo vurumai basi Mungu yupo na lazima utatoboa (Mafanikio)
 
Kama nimekuelewa vile mtoa mada kwamba you need to believe in yourself that yes can do that badala ya kutegemea miujiza miujiza na ndio maana wezetu wa china ,wakorea na jamii ambazo hazitegemei miujiza ujiza they are so far kwa sababu mind set zao hazijajengwa katika kuamini an extra power beyond themselves ruther than what what is within themselves kama ni kusoma unasoma ili uelewe nini unakisoma kama ni kilimo unafanya kwa juhudi na kutumia kanuni zote zinazohitajika katika kupata tija na sio miujiza ujiza t tunacho paswa ni kumtukuza na kumsifu kwa mibaraka yake in simply we can say let's us do our best and He wil do rest
 
Mkuu wewe ni mlevi ujue? Wewe unanitajia vitabu vya juzi hivyo miaka 2000 iliyopita. Mimi nimekwambia watu walio ishi duniani miaka milioni saba iliyo pita...

Acha ulevi mkuu
Dalili ya kushindwa hoja ni kukimbilia ad-hominem.

Nimekupa ushahidi wa maandiko kuwa Mungu anasema kuwa hakuna mji au watu wowote waliopata kuishi katika ulimwengu huu isipokuwa aliwapelekea mwonyaji kati yao . Before Musa kukabidhiwa torati tayari kulikuwa na Mitume na manabii nyuma yake..Adam ,Nuh, Ibrahim,Ishaq,Ismael,Yaqub n.k walishapita na hesabu yao ipo kwa Mungu.

Swali ulilouliza halina tofauti na swali la firauni alilomuuliza Musa

Quran 20:51

[Pharaoh] said, "Then what is the case of the former generations?"​

Musa alimjibu Firauni hivi

Quran 20:52

[Moses] said, "The knowledge thereof is with my Lord in a record. My Lord neither errs nor forgets."
 
Eti mtumwa wa Mungu. So Mungu na yeye ana watumwa?
Yes we are His slaves and HE is our master. Wewe ni mtumwa tu mbele ya Mungu kwasababu maisha yako yote yanategemea YEYE. Ndio maana ya UTUMWA.

Unahitaji hewa aliyoiumba ili uishi.

Unahitaji chakula alichokiumba ili uishi.

Unahitaji maji aliyoyaumba ili unywe uishi

Kila kitu unamtegemea yeye kwanini usiwe mtumwa kwake??
 
Kati ya Mungu aliye niumba akanipa matamanio ya mwili na mimi mwanadamu ninae yatumia matamanio ya mwili kuifurahisha nafsi yangu nani mwenye makosa?
Kwahiyo wewe una uhuru wa kushiriki mapenzi ya jinsia moja ukawa na mume wako ili tu ukidhi matamanio ya nafsi yako?
 
Dos and dont's... Ili uyajue maagizo yake ni lazima kwanza umuamini kisha ndio ujue anataka nini kwako na nini hataki kutoka kwako?!

Kwasisi waislamu , Mungu anasema kuwa

Quran 51:57-59

Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.Na sitaki kwao riziki, wala sitaki wanilishe.

Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kuruzuku, Mwenye nguvu, Madhubuti

Bado una safari ndefu sana mkuu.

Safari njema
Kwahiyo wewe una uhuru wa kushiriki mapenzi ya jinsia moja ukawa na mume wako ili tu ukidhi matamanio ya nafsi yako?
Unaona unacho kiwaza mkuu? Maandiko yanasema kilicho njaa mtu moyoni ndicho kinacho mtoka mdomoni. Mtoto wa kiislamu una anza vipi kuzungumza kuhusu ushoga? Hujioni kwamba wewe sio mzima na kwamba hiyo dini YAKO haijakusaidia chochote?
 
Yes we are His slaves and HE is our master. Wewe ni mtumwa tu mbele ya Mungu kwasababu maisha yako yote yanategemea YEYE. Ndio maana ya UTUMWA.

Unahitaji hewa aliyoiumba ili uishi.

Unahitaji chakula alichokiumba ili uishi.

Unahitaji maji aliyoyaumba ili unywe uishi

Kila kitu unamtegemea yeye kwanini usiwe mtumwa kwake??
Kwaheri . Kumbe najadiliana na mlevi
 
Kama nimekuelewa vile mtoa mada kwamba you need to believe in yourself that yes can do that badala ya kutegemea miujiza miujiza na ndio maana wezetu wa china ,wakorea na jamii ambazo hazitegemei miujiza ujiza they are so far kwa sababu mind set zao hazijajengwa katika kuamini an extra power beyond themselves ruther than what what is within themselves kama ni kusoma unasoma ili uelewe nini unakisoma kama ni kilimo unafanya kwa juhudi na kutumia kanuni zote zinazohitajika katika kupata tija na sio miujiza ujiza t tunacho paswa ni kumtukuza na kumsifu kwa mibaraka yake in simply we can say let's us do our best and He wil do rest
Exactly This is what I am talking about
 
Bado una safari ndefu sana mkuu.

Safari njema

Unaona unacho kiwaza mkuu? Maandiko yanasema kilicho njaa mtu moyoni ndicho kinacho mtoka mdomoni. Mtoto wa kiislamu una anza vipi kuzungumza kuhusu ushoga? Hujioni kwamba wewe sio mzima na kwamba hiyo dini YAKO haijakusaidia chochote?
Wewe umesema upo huru kutumia matamanio yako vile utakavyo wewe bila ya kubanwa ama kuongozwa ba sheria za Mungu. Hukuandika?
 
Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani.

Kwa ufupi Wakristo na Waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba ni mazuri lakini hayampendezi Mungu.

Straight to the point hilo swali kwenye title huulizwa na watu wengi sana lakini majibu huwa hayapatikanagi.

Leo wacha nikupe jibu.

Jibu lake ni moja tu, mtu ambae hajaokoka au ambae hajasilimu na kuwa swala tano huwa ana uamini zaidi uwezo wake binafsi katika kufanya mambo yake katika maisha. Huiamini akili yake, maarifa yake na kadhalika.

Mtu huyu anapo okoka au kusilimu na kuwa swala tano, hushift imani aliyo nayo kwake na kuihamishia kwa Mungu jambo ambalo ni haramu machoni pa Mungu.

(UNAPO SHIFT IMANI YAKO KUTOKA KATIKA KUAMINI UWEZO WAKO MWENYEWE NA KUIHAMISHIA KWA MUNGU NI SAWA SAWA NA KUCHUKUA MAJI KUTOKA KWENYE KISIMA CHAKO NA KWENDA KUYAMWAGA BAHARINI HUKU UKIAMINI KWA KUFANYA HIVYO UNAIFURAHISHA BAHARI WAKATI BAHARI WALA HAI HITAJI MAJI YAKO)

Kama ni mfanyabiashara basi badala ya kutumia akili, uwezo, ufahamu na maarifa aliyo nayo kuhusu biashara yeye atabaki kusema Mungu ndo anae toa rizki kwa hivyo ata elekeza energy yake katika kusali/kuswali zaidi badala ya kutumia maarifa yake zaidi.

Mwisho wa siku mtu huyu biashara yake itafeli.

KWANINI NASEMA KUELEKEZA IMANI YAKO KWA MUNGU NI HARAMU?

KWA sababu Mungu hahitaji wewe uamini kwamba yeye ana nguvu ZOTE ana uwezo wote ana uwezo wa kufanya KILA kitu.

Mungu tayari vitu hivyo anavyo na wewe kusema kwamba Mwenyezi Mungu ana nguvu, Mwenyezi Mungu ni MUWEZA wa YOTE, you are not doing any favour to him. You are just repeating what he already knows a long time ago.

(Machoni pa Mungu?mwanadamu anae enda kwenye nyumba ya ibada na kuanza kusema Mwenyezi Mungu wewe ni Mungu mwenye Nguvu mwingi wa rehma, MUWEZA wa YOTE nakadhalika, hana tofauti na yale mapepo yaliyo kuwa yamemvaa yule mwendawazimu aliye kumbana na Yesu Masiha pale Gadarene( Mark 5)

Biblia inasema mapepo hayo yalipo muona Yesu yalianza kulia huku yakimwambia Yesu " Yesu Mwana Wa Mungu aliye juu kabisa (God the most high) tafadhali tunakuomba usitutoe ndani ya mtu huyu.

Lakini hata hivyo pamoja na kuyatukuza majina ya Mungu Yesu ali yatoa ndani ya mtu huyo.

Hii ni kwa sababu Mungu hahitaji kupewa sifa yoyote ile na kiumbe chake. He has nothing to do with it.

Watu wengi wanao enda kwenye nyumba za ibada kumsifu na kumtukuza Mungu kwa sifa zake huwa wanaishia kuwa cast out of their rightfully seats of authority.

Mwisho wa siku wanaishia kusema watu wasio fanya ibada wanafanikiwa katika maisha kwa sababu ya uchawi. Hell no.

God the Almighty doesn't need to praise him. KWANZA mwanadamu hana Maneno yanayo jitosheleza kuelezea sifa za Mungu and this has been proved by nature.

Wanasayansi Wana kubakubaliana kwamba machozi ni Maneno ambayo mtu ameshindwa kuyaelezea.

SASA kama huwezi kuyaelezea machozi tu utaweza vipi kumuelezea Mungu?

Kama ambavyo hakuna Maneno yanayo weza kuelezea machozi BASI hivyo hivyo hakuna Maneno yanayo weza kumuelezea Mungu.

Njia pekee ya kuelezea imani YAKO KWA MUNGU ni matendo YAKO na tendo pekee linalo weza kuelezea imani YAKO KWA MUNGU ni pale Unapo uamini uwezo wako KWA sababu hata Mungu pia ana uamini uwezo wako.

When your are praising God with words , you are not impressing him anyhow.

And you are not changing or adding anything to him.

MUNGU ANATAKA UAMINI KITU GANI SASA?

Mungu anataka ukiamini wewe mwenyewe. Mungu anataka u uamini uwezo akili, akili zako, maarifa YAKO, ufahamu wako na nguvu zako wewe.

Anataka kile unacho amini kuhusu Mungu ukiamini kuhusu wewe na sio vinginevyo.

KITU GANI HUTOKEA PALE MWANADAMU ANAPO SHIFT IMANI YAKE KWA MUNGU NA KUIELEKEZA KWAKE YEYE MWENYEWE.

Kwa kufanya hivyo mwanadamu hupata faida zifuatazo:

1. A human being who believes in his power more than the power of his creator share the same belief as his creator because the creator believes in his creation.

So uki amini katika nguvu zako jua upo pamoja na Mungu katika imani. KWA sababu hata Mungu pia ana amini katika nguvu zako na uwezo wako.

Kitu pekee kinacho weza ki draw attention ya Mungu kwako ni pale wewe mwenyewe Unapo amini katika nguvu zako.

Unapokuwa una amini katika nguvu zako tafsiri yake ni kwamba una amini katika nguvu na uumbaji wa Mungu kwa sababu Mungu ndio amekuumba wewe na Mungu huumba vitu ambavyo vina reflect nguvu zake na uwezo wake.

Hii dhana kwamba eti binadamu ni kiumbe dhaifu ni kufuru kubwa sana kwa Muumba.

Unaposema binadamu ni dhaifu tafsiri yake ni kwamba Mungu ndio dhaifu kwa sababu Mungu ndio kamuumba mwanadamu.

Ni sawa na kusema " Mercedes Benz ni gari dhaifu" ukisema mercedes ni gari dhaifu jua hujaitukana mercedes benz ila imeitukana teknolojia ya mjerumani ambayo ndio imetumika KUTENGENEZA mercedes benz. KWA hiyo kuanzia leo Shekhe au Mchungaji yoyote akikwambia wewe ni dhaifu Mwambie mimi sio dhaifu labda wewe ndio dhaifu.

Mungu alikuumba ukiwa umekamilika na alipendezwa na kitu alicho kiumba.

Kabla hajakuleta duniani Mungu aliweka ndani YAKO KILA kitu unacho kihitaji ( Ufalme wa Mungu upo ndani YAKO/ Ufalme wa Mungu= Nguvu/mamlaka ya Mungu)

Duniani hakuna kitu chochote kile kinacho weza kukushinda. Hakuna jini SHETANI mganga wala mchawi anae weza kumshinda mwanadamu anae ijua na kui ishi siri hii kwamba Nguvu za Mungu zipo ndani yake na kwamba anacho takiwa kufanya ni kuamini na kuzitumia.

Wachawi waganga mapepo majini na mashetani huwaga wanahangaika na the regular christians and muslims ambao bado wanaishi katika u-ignorance. Wanao enda kanisani na msikitini kutafuta nguvu za Mungu wakati nguvu za Mungu zipo ndani yao.

Mchawi hawezi kukuogopa kwa sababu anajua ur ignorant of your powers.

Start believing in urself and u will come to thank me.

Since I knew this secret my life has changed for better.

Hakuna mchawi wala mganga wala jini wala pepo yoyote yule anae weza kuni defeat .

The one thing that I can tell Lucifer is that " Hey Mr. Lucifer between me and you the one who is afraiding of your powers is you"

Yani ni sawa na Mandonga kamkwida Muhammad Ali( hata roho haidundi)

Mwanadamu unapo enda kumuomba Mungu AKUSAIDIE jambo ambalo Mungu anajua ndani YAKO ameweka tayari amekupa uwezo wa kulifanya jambo hilo una muhuzunisha sana. Yani ni sawa na mtoto wako mwenye umri wa miaka kumi na nne ana kuja kukuomba wewe baba ake au mama ake ukamtawadhe wakati anajua umefikia umri wa kujitawadha mwenyewe..

Ndio maana ukichunguza vizuri utagundua kuwa watu wanao sema kuwa Mungu hajibu maombi wengi wao ni waislamu kwa wakristu.

Simply kwa sababu ya siri hii.

Stop making God sad. Start believe in urself..

Ur brains are a very very powerful weapon. If you don't use them properly your enemy can use them against you because he is attracted to their powers. He wish to be the one possessing the powers of your brains .

(I have said your brains because humans have three brains/ this will be a topic for another day)

Ukianza kuamini katika uungu uliopo ndani YAKO hii dunia unayo ishi itabadilika na kuwa paradiso.

Utaona jinsi mambo yanavyo badikika for good.

Anza sasa. Bado hujachelewa.

# Tatizo kubwa la Mungu kwa wanadamu sio wanadamu kushindwa kumuamini yeye la hasha. Mungu hana uhaba wa watu Wana amini katika nguvu zake hata kidogo. Tatizo kubwa la Mungu kwa wanadamu ni wanadamu kuto amini nguvu za Mungu ambazo ameziweka ndani yao.

Wewe mwenyewe ndio uchague either kuwa tatizo au kutokuwa tatizo machoni pa Mungu
Sikupi 100% ila ningepoteza madini muhimu kama ningeupuuza uzi wako
 
Nikuambieni kitu wandugu,,Iko hivi Roman Catholic waliposema Mungu yuko mahali kote hawakukosea,walitafakari,walichunguza,na wakaliona hilo kuwa Mungu yuko mahali kote.Ni kuwa hata mchanga unaouona na kuukanyaga hapo Mungu yupo maana yake ishi Kwa kufuata misingi mizuri kadiri dini zote zinavyoelekeza hakika utaishi Kwa amani na mafanikio tele hapa duniani.
Mungu yupo pamoja nasi,na Mungu yuko kila mahali,kanuni ni kumfuata tu yaani kuishi Kwa maarifa na pasipo vurumai basi Mungu yupo na lazima utatoboa (Mafanikio)
Asante KWA kuelewa somo. Mungu wala hayupo mbali nasi. Yupo anaishi ndani yetu. Huhitaji kwenda Maka, Madina au Yerusalem KWA ajili ya kukutana na nguvu za Mungu. Nguvu za Mungu zipo kila mahali
 
Kuna watu wanazani wanaweza kumpigania Mungu yaani kana kwamba anahitaji ulinzi ama utetezi wao wakati ni empty kabisa hawamfahamu.
katka biblia inasema waliompokea wanafanyka wana wa mungu means na wao ni mungu...
musa alipopewa mission na Mungu alijiona dhaifu lakini alisema anamuhitaji ivo ivo coz alijua uwezo alionao ambao yeye musa hakujigundua
 
Nakazia
Kuna watu wanazani wanaweza kumpigania Mungu yaani kana kwamba anahitaji ulinzi ama utetezi wao wakati ni empty kabisa hawamfahamu.
katka biblia inasema waliompokea wanafanyka wana wa mungu means na wao ni mungu...
musa alipopewa mission na Mungu alijiona dhaifu lakini alisema anamuhitaji ivo ivo coz alijua uwezo alionao ambao yeye musa hakujigundua
 
Sikupi 100% ila ningepoteza madini muhimu kama ningeupuuza uzi wako
Hata mm nilitaka kumpuuza ila nikaona acha nimsome aise kumbe kaleta vitu vya sis kufanyika kazi ,haswa eneo la kushukuru Ni muhimu mno hili nimelifahamu kitambo kuwa mungu anatak shuktani tu

Na ndio maana marekani uko nin rfk angu mzungu alikuwa ananimbia kule kwao wana sikukuu kubwaa sna kitaifa inayoitwa Thanksgiving ni skuu kuu ya shkrani tu na siyo maombi
LIKUD hili unalifahamu
 
Back
Top Bottom