Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

Tatizo wengi wanakuwa wanafiki sio anaweza jifanya mcha mungu ila mshirikina namba moja na mzinzi.
 
Naam, umeelezea vyema.

Kwa lugha rahisi ni kwamba watu wenye Imani Kali ni kwamba hawajiamini.

Mungu anataka tujiamini, Sababu yeye mwenyewe aliyetuumba anajiamini na anajua ukubwa wake.

Tunaposema binadamu ni dhaifu machoni pa Mungu tunakosea. Mungu hawezi kuimba kitu dhaifu. Kwasababu udhaifu wowote wa kitu alichokiumba unatoa tafsiri ya kwamba yeye Muumbaji ni dhaifu pia.

Watu wenye Imani Kali za kidini, hushindwa kutumia uwezo wao mzuri wa kiakili na kimaarifa kupembua vitu kwa usahihi. Wao muda wote hudhani kwa kumtukuza Mungu na kumsifia muda wote basi Mungu atawapa ridhiki kimiujiza. Kitu ambacho si sahihi.

Mungu anafahamu uwezo wake, haitaji tumsifie au tumwambie mara kwa mara juu ya nguvu zake kwetu Sisi wanadamu.

Mungu anataka tumaini ndani yetu, tutende ndani yetu katika namna inayofata. Na ndo mana watu ambao sio wafia dini huwa na mafanikio sababu hufanya vitu kwa kutumia uwezo wao wa ndani waliopewa na Mungu.
You are the true son of your father. denooJ ona watu wenye akili Wana jua kufikiri.
 
Usinisemee, jibu hoja.
Huna hoja zaidi ya matusi. Halafu kwanini hujistukii, wewe uliye okoka ndio unatukana matusi sisi tusio okoka kama wewe tunatoa hoja zetu kistaarabu. Unapaswa kuutafakari wokovu wako
 
Yesu mwenyewe anasema imetupasa kuomba bila kuchoka, Mungu kupitia nabii isaya anasema tumkumbushe, tujadiliane atupe haki yetu.


Wewe unasema tunakosea? Hii imekaaje?

Poor translation of the holy scriptures
 
Naam, umeelezea vyema.

Kwa lugha rahisi ni kwamba watu wenye Imani Kali ni kwamba hawajiamini.

Mungu anataka tujiamini, Sababu yeye mwenyewe aliyetuumba anajiamini na anajua ukubwa wake.

Tunaposema binadamu ni dhaifu machoni pa Mungu tunakosea. Mungu hawezi kuimba kitu dhaifu. Kwasababu udhaifu wowote wa kitu alichokiumba unatoa tafsiri ya kwamba yeye Muumbaji ni dhaifu pia.

Watu wenye Imani Kali za kidini, hushindwa kutumia uwezo wao mzuri wa kiakili na kimaarifa kupembua vitu kwa usahihi. Wao muda wote hudhani kwa kumtukuza Mungu na kumsifia muda wote basi Mungu atawapa ridhiki kimiujiza. Kitu ambacho si sahihi.

Mungu anafahamu uwezo wake, haitaji tumsifie au tumwambie mara kwa mara juu ya nguvu zake kwetu Sisi wanadamu.

Mungu anataka tumaini ndani yetu, tutende ndani yetu katika namna inayofata. Na ndo mana watu ambao sio wafia dini huwa na mafanikio sababu hufanya vitu kwa kutumia uwezo wao wa ndani waliopewa na Mungu.
Mtu mwenye imani kali ya kidini, atatumia andiko lisemalo asiyefanya kazi na asile, ili kujitafutia rizki, kinyume na hapo, huyo anajua maandiko lakini hajui kuyaishi.

Lakini sio kweli kwamba mtu akiwa na imani kali ya kidini, ataacha kufanya kazi amtegemee Mungu pekee, nakupinga, huyu atakuwa anaenda kinyume na mafundisho ya dini badala ya kuwa na imani kali kama ulivyoandika.
 
Huna hoja zaidi ya matusi. Halafu kwanini hujistukii, wewe uliye okoka ndio unatukana matusi sisi tusio okoka kama wewe tunatoa hoja zetu kistaarabu. Unapaswa kuutafakari wokovu wako
Nani amekwambia nimeokoka?! usitafute sababu ya kutoka nje ya mada yako ya kufikirika.

Na usiseme huoni hoja, sema hauna majibu ndio maana hauna andiko lolote kwenye hii story yako ya kutunga.

Kama majibu unayo, tetea uongo wako wa kusema Yesu anatutaka tuchanganye mafundisho yake na mambo ya asili, wacha utapeli wako.

Nimekwambia nipe andiko la kusapoti huo uongo wako wa kijinga lakini mpaka sasa bado upo kimya, sasa nakuona unadandia tu comments za wengine, wewe ni kilaza.

NB.
Mjinga sio tusi, ni yule asiyejua ndie anaitwa mjinga, kwenye maandiko yupo mpaka aliyeitwa mpumbavu.
 
You are the true son of your father. denooJ ona watu wenye akili Wana jua kufikiri.
Sasa unadandia tu mawazo ya wengine kujazia kwenye utapeli wako, maswali unayoulizwa kujibu huwezi upo upo tu, endelea kuwadanganya hao wasiojua kitu.
 
Bado huwezi kuelewa mkuu..Albert Einstein kwa muda mrefu sana alikuwa anatafuta kujua kuhusu
@Likud unajichanganya.

Umeshasema kule juu Mungu anatutaka tutumie nguvu zetu za asili, sasa iweje tena utake tumuombe Mungu atupe maarifa?!

Hayo maarifa sio nguvu za asili?!

Thread yako imekosa support ya maandiko ndio maana inapoteza muelekeo.

Sasa unadandia tu mawazo ya wengine kujazia kwenye utapeli wako, maswali unayoulizwa kujibu huwezi upo upo tu, endelea kuwadanganya hao wasiojua kitu.
Aisee
 
Bado huwezi kuelewa mkuu..Albert Einstein kwa muda mrefu sana alikuwa anatafuta kujua kuhusu



Aisee
Nimalizie kwa kukwambia usichanganye biblia na upagani kwa kusema Yesu anataka tuchanganye mafundisho yake na mambo ya asili.

Unachekesha sana. Usijifanye una maarifa zaidi ya maandiko.
 
MWANZO 1:26-28
Kisha Mungu akasema na tufanye mtu kwa mfano wetu kwa sura yetu atawale samaki wa baharini ndege wa angani wanyama wa kufuga na dunia yote na viumbe vyote vitambavyo. basi Mungu akaumba mtu. kwa mfano wake Mungu aliwaumba mwanaume na mwanamke akawaambia "zaeni mkaongezeke mkajaze nchi na kuimiliki mtawale samaki wa baharini ndege wa angani na kila kiumbe hai kitembeacho duniani.
.
Mimi ni mfano wa mungu na mungu ni roho hivyo roho yangu ni mungu na mungu ametupa mamlaka na kutawala vyote vilivyopo duniani sasa niende kanisani niombe ni nini wakati kila kitu amenipa kikubwa ni kutumia akili yangu nitumie vyote mungu alivyonipa.
.
Sasa wewe unaenda kanisani kulia unaenda kufanya ni nini wakati mungu amekuumba kwa mfann wake mana yake wewe ni bora kuliko viumbe vyote alivyo umba aitoshi akakupa mamlaka na kutawala vyote vilivyopo duniani
MUNGU AKINIPA UZIMA NA AFYA NA HEKIMA VINATOSHA VILIVYOBAKI NTAPAMBANA NAVYO MWENYEWE
 
ALLAH anajibu swali lako mtoa mada kupitia Kitabu kitukufu cha QURAN

Quran 29:2-3

"Je! Wanadhani watu wataachwa kwa kuwa wanasema: Tumeamini. Nao wasijaribiwe?

Hakika tuliwajaribu walio kuwa kabla yao, na kwa yakini Mwenyezi Mungu atawatambulisha walio wa kweli na atawatambulisha walio waongo."


Quran 2:214


"Mnadhani kuwa mtaingia Peponi, bila ya kukujieni kama yaliyo wajia wale walio pita kabla yenu? Iliwapata shida na madhara na wakatikiswa hata Mtume na walio amini pamoja naye wakasema: Lini nusura ya Mwenyezi Mungu itakuja? Jueni kuwa nusura ya Mwenyezi Mungu ipo karibu"


UFAFANUZI:

Ni hivi mtoa mada katika suala la imani kuna watu wa aina tatu

1: Waumini wa kweli
2: Wanafiki
3:Wasiamini kabisa

Tabaka la wanafiki ambalo ni ngumu kujulikana huwa limejificha ndani ya tabaka la walioamini ila ndani ya mioyo yao huwa sio waumini ila kwa nje huonekana kuwa ni miongoni mwa walioamini kabisa. Sasa ili kuhakikisha kuwa kunapatikana ile pure cream ya walioamini , ALLAH huleta mitihani yake ili kuwabainisha walioamini na wale wasioamini. Utaratibu wa Mungu upo hivi kadiri anavyompenda mja wake na mitihani nayo huongezeka kwa mja na pia kadiri mtu imani inapoongezeka kwa mola wake ndio Mungu anavyozidi kumpa mitihani ili kudhihirisha ukweli wa imani yake.

Ndio maana ukisoma katika maandiko matakatifu, wale waja ambao wamefaulu katika ulimwengu huu (Mitume na manabii) ndio waliongoza kwa kupewa mitihani mizito sana kuliko wale waliokuwa na imani haba.

Kabla ya kusilimu unaweza ukawa ulikuwa ni tajiri ila asili ya utajiri wako ni wa njia ya haramu mfano labda uuzaji wa Pombe n.k ila ukiingia ndani ya Uislam unaambiwa kuwa vitu hivyo ni haramu havifai kutumia wala kuuzwa....sasa hapa huwa ni mtihani kwako, Je utaacha kuviuza kwa ajili ya Mungu au utaamua kufata matamanio ya nafsi yako? Kumbuka kuacha kuviuza ina maana kuwa biashara yako inakufa na pengine utajiri wako ukapotea...je upo tayari kuacha biashara yako haramu kwa ajili ya Mungu? Ukiamua kuacha kweli sio kwamba mitihani itakuwa imeishia hapo,utaendelea kujaribiwa mpk unaachana na ulimwengu huu!!! Kisha malipo yako makubwa utakwenda kuyapata katika ulimwengu ujao baada ya kufufuliwa.
 
Pia ieleweke kuwa kuwa katika upande wa Mungu hakumaanishi kuwa umechagua njia ya ufukara!! Maisha ya dunia si lolote bali ni pumbao tu la muda mfupi. Tupo duniani kwa ajili ya kujaribiwa tu. Na miongoni mwa mitihani ni upungufu na wingi wa mali.

Kuwa tajiri na kuhodhi mali nyingi ni mtihani mkubwa sana kuliko watu wanavyodhani. Kivipi?

Ipo hivi nafsi ya mwanadamu inapenda kuhodhi (kumiliki) mali.Huwa inachukia sana kutoa. Hii ndio hali halisi ya nafsi isipokuwa kwa nafsi chache ambazo Mungu amezirehemu tu.

Sasa kwa mtu aliyejaaliwa wingi wa mali huwa anatakiwa atoe sehemu ya mali yake kwa ajili ya Mungu.Sehemu hiyo inaitwa Zaka. Kwasisi waislamu huitwa Zaka , na hizi zaka zipo za aina nyingi...kama umejaaliwa kumiliki mifugo mingi basi unatakiwa utoe sehemu katika sehemu ya mifugo yako uwagawie wale wasiokuwa na mifugo. Sitaingia ndani sana katika hili ila lina utaratibu wake ..tena sio utoe tu mnyama aliyedhohofika, la hasha unatakiwa utoe mnyama mzuri mwenye afya...je nani katika wafugaji mfano mwenye ng'ombe 1000 atoe walau ng'ombe wake 20 kila mwaka agawie masikini??? Jibu unalo wewe

Mfano mwingine ni kwa wale waliojaaliwa kumiliki fedha nyingi, kuna kiwango ukifika cha kumiliki angalau gramu 85 za dhahabu kwa mwaka ,unatakiwa utoe zaka ya hilo pato ambayo ni angalau asilimia 2.5 ya mali yako kila mwaka.

Mfano kama unamiliki jumla ya milioni 100 basi Mungu atahitaji utoe shilingi milioni 2.5 uwape wale wasio na uwezo. Je nani yupo tayari kugawa pesa yake aliyoitafuta kwa jasho?

Mitihani mingine kwa matajiri ni pale unapotakiwa uache mambo mabaya wakati una uwezo mzuri wa kuyafanya.Mfano unaambiwa uache uzinzi wakati unauwezo wa kutembea na mwanamke yeyote unayemuhitaji, yaani unaweza ukamnunua mwanamke kwa fedha ila Mungu anakukataza usifanye hivyo, je upo tayari kutii amri?


Kwa upande wa masikini pia ni mitihani, kuwa masikini hakumfanyi Mungu asikujaribu...Utajaribiwa tu kupitia huo umasikini wako.

Je upo tayari kuendelea kuilinda inani yako kwa Mungu licha ya kuwa umepewa mtihani wa upungufu wa mali??
 
Back
Top Bottom