Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

yesu alipo ponya watu mara nyng alisema imani yako imekuponya na sio yeye kamponya , yesu alitumika tu kma vessel ya kufungua nguvu za mungu zilizo ndani ya watu.
Asante sana mkuu
 
asili ni nini na inatoka kwa nan asili? kwa nini unatutaka tusitumie nguvu za asili? kwan unahis asili inatoka kwa nani ?
The power of nature, imezungumzwa vizuri sana na Napoleon Hill kaika kitabu chake cha The laws of Success. Kuna uhusianao Mkubwa sana wa nature na mafanikio na maporomoko ya mtu.

Watu wasome, waache kuchezewa na washika mistari.
 
kwa hyo Mungu kamuumba binadamu ajakamilika?
 
Kwa hiyo Yesu aliyetufundisha tuombe sala ya Baba Yetu uliye mbinguni utupe l riziki zetu za kila siku alikuwa akili hana ila wewe bwege ndio unazo kumshinda yeye?
ndo ujiulize mbona mm siombi huo mkate na riziki lkn napata tena zaid
 
unafahamu din ni kitangulizi cha ukolon ?
 
Mimi mamlaka ya Pepo na kwa jambo hilo sio tiketi ya kwenda peponi moja kwa Moja.
 

Hongera kwa andishi bora kabisa naamini wafia dini hawatakuelewa watasema unakufuru muumba
 
Nafahamu vizuri sana na nimefuatilia historia kwa upana wake kupitia source tofauti tofauti .
din inaenda kupoteza mvuto mkuu japo inafaida zake kwa watu wasiojitambua inafaa wawe na dini coze mtu mpka awe na upendo lazma aambiwe , huku nikutojitambua, ila watu wengi wakishajitambua din haina issue tena .
 
Tumia akil yako, ni bora kuliko andiko unalotaka.
Andiko ni tendo na maneno ya watu watu waliopita. Walikuwa watu kama wewe.


Elimika, ili upumbavu ukutoke
Unataka niache kufuata maandiko ya imani yangu nifuate mawazo yenu?! acheni huu utoto.

Kama mnaamini mwanadamu yuko sawa na Mungu aliyemuumba, kwanini basi huyo mwanadamu asingejiumba?

Hizi theories zenu naziona za ajabu ajabu tu.. za kipagani.
 
Huu utapeli tu unaendelea kuuandika hapa.

Siku zote biblia haisomwi kama makala ya kwenye gazeti, eti nitulie kitabu hicho hicho tu, nisisogee mbele zaidi.

Ndio maana nikakupa andiko la "bisheni mtafunguliwa..." ili uelimike, biblia inaeleweka vizuri ukisoma vitabu vyote, sio kimoja
 
adriz na denooJ tusaidieni majibu
Sikutegemea kunitag kwenye swali la kitoto namna hii amabalo hata mtoto mdogo wa chekechea anaweza kulijibu.

Hakanu dhamana kuwa mtu akishika dini asijaribiwe na wala kupata matatizo kwani Duniani ni sehemu ya mitihani ya kila aina haijalishi ni mtu wa aina gani sasa hoja ya misikiti na makanisa kuzama na mafuriko ni hoja ya kitoto sana kwani hakuna mahali pameekewa dhamana hata Waisrael(Sio wakina Netanyahu) walihai kuharibiwa sehemu zao za ibada pale Jerusalem na Nebuchadnezzar tena mara nyingi tu hekalu lilibomolewa na maadui.
 
Nilishamjibu hilo toka jana comment no. 31, hana kumbukumbu tu.

Huyu anataka kudanganya watu kinyago kinaweza kuwa na maarifa sawa na aliyekichonga!.
 
Hao wanafanya hivyo ni wapumbavu wamepokea dini vibaya , na mimi napinga mtu kumuIdolize mchungaji au Shekhe yeyote na siamini kama mtu mmoja ndiyo kapewa funguo za haraka na neema kiasi ambacho kupelekea watu kumfuata yeye kama njia ya maombi na kupokelewa na Mungu bali ninaamini hakuna mtu wa kati kufikisha maombi Kati ya Mungu na mwanadamu na wanafanya hivyo pamoja na kuomba masanamu wapo kinyume na muongozo sahihi ya dini.
 
Lakini wakristo hawafanyi hivyo. Wengi wanaenda kanisani kuombewa
Waliokuja kuvuruga hizi imani ni hawa so called ”manabii wachungaji sijui mapopet",watu hawamuamini tena Mungu utasikia ”naenda kubarikiwa na mchungaji" mamlaka ya kubariki yeye ameyatoa wapi?

Ninachowakubali KKKT,ISLAMS,CATHOLICS na ANGLICANS ni wapo straight kwamba Mungu ni wa kuabudiwa na kushukuriwa siyo wa kulaumiwa binadamu tumeshapewa akili kinachotakiwa ni sisi kuzitumia ili kwenda sambamba na Mungu alivyotaka,watu wanapoteza muda kwenye mabanda ya mabati jumatatu mpaka jumamosi masaa zaidi ya 18 (3hrs per day) wakidanganywa wanavunja laana za umaskini kwa kulia machozi instead wakafanye kazi.
 
Mnaobishia mleta mada;
Someni vitabu vya Metaphysics... hasa Neville Goddard.
Yes, sisi ni Gods, hakuna Mungu mawinguni watching over us!hahaa
Wanafalsafa hawawezi kunipa ukweli wowote. Hivyo siwezi kuutafuta ukweli kutoka kwa wanafalsafa. Wao wenyewe washachanganyikiwa na kupotea. Watamuongoza nani??
 
Naam, hakuna ambaye sio mtumwa. Sisi ni Watumwa wa Allah. Na tunajivunia kwa hilo. Tumekataa kuwa watumwa wa matamanio ya nafsi zetu wenyewe, nao ni utumwa mbaya ulioje.
 
machozi ni Maneno ambayo mtu ameshindwa kuyaelezea.Ni ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…