Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

ndo ujiulize mbona mm siombi huo mkate na riziki lkn napata tena zaid
Unakufuru were

Subiri utapata jibu lako

Mungu atakushukia kama mwewe na kusambaratisha kila ulichonacho kuanzia afya yako
 
Yes maisha ya duniani si lolote ukilinganisha na maisha ya akhera baada ya kufa.

Why si lolote?

Duniani mwanadamu una muda mchache sana wa kuishi average miaka 64 tu ,japo unaweza ukaongezewa mpk 98. Ila ni wachache wanaofikia umri huo na hata ukifika unakuwa umezeeka sana ,kumbukumbu hupotea, kutembea huwezi tena unakuwa upo upo tu.

Maisha ya Akhera hakuna kufa, hakuna kuzeeka,raha au tabu za milele (inategemea ulifaulu mtihani wa maisha ya duniani ama laa) ,hakuna kuumwa n.k

Kwahiyo maisha ya dunia si lolote ukilinganisha na maisha yajayo.
 
Unakufuru were

Subiri utapata jibu lako

Mungu atakushukia kama mwewe na kusambaratisha kila ulichonacho kuanzia afya yako
Back to sender. Huna tofauti na mchawi.. kanisani unaenda kutafuta mademu waimba kwaya
 
1. Nazungumza na wewe KWA kutumia lugha na mifano unayo weza kuielewa.

Ningetoa mawazo yangu mwenyewe ungesema Nina uhakika GANI au nimetolea wapi kama ulivyo uliza swali kabla sijajibu swali hili.

2. Hujafundishwa na Ustaz wako kwamba Mungu anajua KILA kitu HADI yale yaliyomo ndani ya nafsi YAKO?.or ur just wasting my time?

Jiandae kuelewa usi jiandae kubisha
 
,🤣🤣🤣🤣 Una kimbia ukweli sio?.u will never be wise in ur life.

Eti bisheni hodi mtafunguliwa? Unajua maana ya bisheni hodi mtafunguliwa? Au una fikiria ni kufunguliwa vifungo vya kichawi na KILA jumapili unaenda kanisani kufunguliwa na hakuna kinacho funguka?

Unajua kufunguliwa kunako zungumziwa hapo? Unajua nini maana ya kubisha hodi?

Unataka nikufundishe sasa hivi? Upo tayari kuujua ukweli?

Sema.su!!!
 
Vipi kuhusu pombe?
 
Kaka nimesha sema kwenye bandiko langu hapo juu. People will never respect a person because he has faith in God. People will respect a man who has faith in himself.

Waumini wa Mwamposa wanaenda KWA Mwamposa sio kea sababu Mwamposa anamuamini sana Mungu ila KWA sababu Mwamposa anajiamini sana. Ana amini katika nguvu ya Mungu iliyomo ndani yake.

Watu walienda KWA Shekhe Yahya sio kwa sababu Shekhe Yahya alimuamini sana Mungu la.hasha ila kwa sababu Shekhe Yahya aliamini katika nguvu ya Mungu iliyomo ndani yake na alijua jinsi ya kuitumia...

Mwanadamu atakuja kwako wewe Shekhe umuombee dua sio kwa sababu eti una swali sana au unamuamini sana Mungu la hasha.

Atakuja kwako Shekhe KWA sababu wewe Shekhe unasema una uwezo wa kufanya moja mbili tatu

Mwanadamu anamini katika nguvu uliyo nayo wewe sio katika nguvu ambayo utaiomba.

KWA sababu mwanadamu naturally huwaga ana amini ndani yake kwamba Mungu huwa hajibu maombi..

Hata wewe unajua hivyo. KWA hiyo msiwashangae hao wanao enda kwa Mwamposa au Shareef Majini wakati misikiti na makanisa wanayaona
 
Tutakunywa pombe huko peponi lakini si kama hii pombe ya duniani ambayo ukinywa unavurugikwa na akili
🤣🤣🤣🤣 Kubali tu mzee umepigwa. Mimi kuanzia babu gangu wa saba HADI baba yangu mzazi walikuwa mashekhe wakubwa tu lakini nakwambia mkuu dini tumepigwa..

Start to believe in urself mkuu and see how the things will start to change in you.

KWANZA hapo ulipo hata Mungu mwenyewe humuanini wala nini ila una muogopa.
 
,🤣🤣🤣🤣 Usingizi wako ni mzigo kweli kweli. Eti majaribu. Mungu anakujaribu ili yeye apate nini?

Yakobo 1:13-15. Bwana Mungu hawezi kujaribiwa wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.

N.b: to give someone a test is a human.character. Because u want to know the results. What will he or she do if I give him or her test? So Unapo sema duniani Mungu amekuja kuwajaribu wanadamu ni SAWA na kusema Mungu hajui mambo yajayo.
 
Yeremia 1:5
 
We jamaa hata Bible huijui unasoma tu kama gazeti unaeleza juu juu na kuweka tafsiri zako.

We jamaa hata Bible huijui unasoma tu kama gazeti unaeleza juu juu na kuweka tafsiri zako.View attachment 2394578

View attachment 2394579

Wewe ni mlevi. Mwanzoni umeandika" dish limeyumba na quote bible wakati wewe huamini bible" baada ya kutafakari ume edit umeamua uje na hili.

Yes sikatai. Kama ilivyo qur'aan, bible nayo imeandikwa na watu kama wewe.

Mungu hahitaji kukujaribu wewe.

Mungu anae wajaribu watu mimi simuhitaj kwa sababu Mungu huyo ni dhaifu wala hana sifa ya kuitwa mungu.

Mungu alie niumba anaijua kesho yangu hata kabla sija zaliwa.

Hahitaji kunijaribu ili ajue nitafanya nini KWA sababu tayari anajua nitafanya nini hata kabla sijafanya.

Wewe mungu wako unae muamini haijui kesho YAKO ndio maana anakujaribu
 
Wewe ndiye hauleweki maana unajipinga mwenyewe ,umesema hauamini hizi dini wakati huo huo unatumia vifungu vyao kujibu hoja .

Na unasema Mungu anataka hivi bila kuweka ushahidi kasema wapi na lini ukibanwa hapo unaleta vifungu vya Bible unavyodhani tena vimeandikwa na watu ,hii ni dalili ya dishi kuyumba mazima..
 
Sasa unataka nitumie reference ipi kukuelewesha. Wewe ni mlevi. Akili YAKO imelevwya na mafundisho ya dini ambayo basically ni mafundisho ya watu. Ntakuelewesha vipi mkuu?

Kingine mkuu samahani KWA kukwambia hili, una sound kama kilaza.

Andiko langu halisemi kwamba mimi simuamini Mungu. Andiko langu lipo KWA ajili ya kumfundisha mtu ajue kile Mungu anataka mtu huyo afanye.

Andiko langu linasisitiza kwamba Mungu anataka wewe ujikite katika kuamini nguvu ya Mungu ambayo ipo ndani YAKO na sio kwenda kumuomba Mungu akupe hiki au kile, afanye hivi au vile wakati tayari uwezo upo ndani YAKo.

SASA Unapo shangaa mimi ku quote maandiko una nihuzunisha sana.

Ur a very slow learner mkuu yani sijui hata ilikuchukua miaka mingapi KUHIFADHI masahafu.

Halafu usi ifunge akili YAKO kwenye KUAMINI kwamba mtu hawezi kumjua Mungu bila kupitia dini.

Mimi sihitaji dini ili kumjua Mungu. Naweza kumjua Mungu kwa kupitia uumbaji wake.

U can know the artist by studying his art.

Sihitaji kusoma maandishi yaliyo andikwa na mtu mwingine akidai kwamba maandishi hayo yametoka KWA Mungu..
 
Sasa unataka nitumie reference ipi kukuelewesha. Wewe ni mlevi. Akili YAKO imelevwya na mafundisho ya dini ambayo basically ni mafundisho ya watu. Ntakuelewesha vipi mkuu?

Kingine mkuu samahani KWA kukwambia hili, una sound kama kilaza.

Andiko langu halisemi kwamba mimi simuamini Mungu. Andiko langu lipo KWA ajili ya kumfundisha mtu ajue kile Mungu anataka mtu huyo afanye.

Andiko langu linasisitiza kwamba Mungu anataka wewe ujikite katika kuamini nguvu ya Mungu ambayo ipo ndani YAKO na sio kwenda kumuomba Mungu akupe hiki au kile, afanye hivi au vile wakati tayari uwezo upo ndani YAKo.

SASA Unapo shangaa mimi ku quote maandiko una nihuzunisha sana.

Ur a very slow learner mkuu yani sijui hata ilikuchukua miaka mingapi KUHIFADHI masahafu

Halafu usi ifunge akili YAKO kwenye KUAMINI kwamba mtu hawezi kumjua Mungu bila kupitia dini.

Mimi sihitaji dini ili kumjua Mungu. Naweza kumjua Mungu kwa kupitia uumbaji wake.

U can know the artist by studying his art.

Sihitaji kusoma maandishi yaliyo andikwa na mtu mwingine akidai kwamba maandishi hayo yametoka KWA Mungu..
 
Unakufuru were

Subiri utapata jibu lako

Mungu atakushukia kama mwewe na kusambaratisha kila ulichonacho kuanzia afya yako
hahaha acha kunitisha mkuu najitambua na Mungu yupo ndan yangu namjua na yeye ananijua, karibu upate usaidizi wa kirohoo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…