Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
-
- #61
Kama Nuru basi jua kuna giza , kama kuna uchawi ambao ni mambo ya kiroho basijua nguvu za Mungu pia zipo ambazo ni mambo ya kiroho , nina swali kwako umewahi kurogwa au kusikia mtu karogwa ?Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.
Kama unabisha, thibitisha.
Allenda na mtajiWabongo wanaokimbilia South na hawawezi hata kujirudisha wenyewe ni mateja wa Dar!😀
Kwamba Chris Lukosi alienda nje akiwa tayari na hela? Si alikuwa Polisi tu choka kama wengine Chief!
Nakubaliana na wewe SA kwa sasa hapafai kabisaSouth Africa sio salama kwa kutafuta maisha.
90% wa wanaoishi pale wanaishi kwa utafutaji haramu.
Wezi
Madawa
Nk.
Point yng ni kwmba kuna inchi za kwenda kutafuta maisha hata kama huna ujuzi wowote ila sio south Africa...
Kwa kifupi wewe wewe ni mpumbavu.Bado Sijakusoma rekebisha maandishi
Kweli kabisa wengi wanaogopa kurudi maana wanaogopa kuchekwa unakuta walewaliowaacha nyumbani tayari wamejipata halafu wao warudi waanze kujitafuta upya , alikuwepo Lemutuz William malecela alikuwa anatoa sana mafundisho kwa mabaharia akijitolea mfano yeye maisha aliyopitiaWatu wanaishi nje wanapitia magumu sana, sema inaonekana tu wametoboa.. But there people are so lonely, depressed and alienated. Mafanikio huanzia myumbani. Nje unaenda ukiwa tayari umesha jipata in some kinda way nyumbani. Wengi huenda kule ila wanaotoboa ni wachache sana.
Ndo maana wengi hawa rudi, sio kwamba hawataki, bali ni hawana hiyo accommodation ya kuja, na pia hofu ya kuonekana hawajatoboa
Hivi unaelewa hata accommodation ni nini?Watu wanaishi nje wanapitia magumu sana, sema inaonekana tu wametoboa.. But there people are so lonely, depressed and alienated. Mafanikio huanzia myumbani. Nje unaenda ukiwa tayari umesha jipata in some kinda way nyumbani. Wengi huenda kule ila wanaotoboa ni wachache sana.
Ndo maana wengi hawa rudi, sio kwamba hawataki, bali ni hawana hiyo accommodation ya kuja, na pia hofu ya kuonekana hawajatoboa
Nafuu wewe unaniona mimi mpumbavu mimi nakuona wewe ni kinyesiKwa kifupi wewe wewe ni mpumbavu.
Watanzania wengi kama wewe hawana uwezo wa kufanya fikra dhahania (abstract thinking).Kiranga mbona Uzi umekugusa, kwani hauna mafanikio huko kwa Trump?
Changamoto ya zile picha wamepiga watu wengi wamechoka
Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.Kama Nuru basi jua kuna giza , kama kuna uchawi ambao ni mambo ya kiroho basijua nguvu za Mungu pia zipo ambazo ni mambo ya kiroho , nina swali kwako umewahi kurogwa au kusikia mtu karogwa ?
Umeshavimbiwa ugali wa kengele unakuja kupumulia JF.Nakubaliana na wewe SA kwa sasa hapafai kabisa
Kiranga huna lolote unatupanga we unadhani mimi sishindwi kujitapa humu nikaandika ninamiliki Yacht Dubai . Wewe upo hapa hapa bongo unapigwa jua la utosi kama wengineWatanzania wengi kama wewe hawana uwezo wa kufanya fikra dhahania (abstract thinking).
Wakikuona unapinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, moja kwa moja wanaona wewe ni mtu mweusi uliyeguswa na ubaguzi wa rangi.
Hawaelewi kuwa kuna mpaka wazungu wanaopinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi kifalsafa tu.
Hii habari ya kushindwa kufanya fikra dhahania, kushindwa kuelewa kuwa mtu anaweza kujenga hoja kifalsafa tu bila habari kumgusa yeye binafsi, ni dalili ya mtu kuwa na akili ndogo.
Wewe una dalili ya mtu mwenye akili ndogo.
Mimi nina own real estate in leafy suburbs in a developed nation.
Kama nguvu za giza zipo tambua kwamba nguvu za Mungu zipo. We endelea na ukorofi wako utakuja tu kurogwaHuyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.
Kama unabisha, thibitisha.
Kurogwa ni ujinga wenu wala mavi ngumbaru, mkiumwa kwa kula mavi, mnasema mmerogwa.
Mimi sina "Status Anxiety" kubishana na ngumbaru mla mavi wewe.Kiranga huna lolote unatupanga we unadhani mimi sishindwi kujitapa humu nikaandika ninamiliki Yacht Dubai . Wewe upo hapa hapa bongo unapigwa jua la utosi kama wengine
Sikio la kufa hilisikii dawa. Wanadanganywa na magari na picha za mitandaoKweli kabisa wengi wanaogopa kurudi maana wanaogopa kuchekwa unakuta walewaliowaacha nyumbani tayari wamejipata halafu wao warudi waanze kujitafuta upya , alikuwepo Lemutuz William malecela alikuwa anatoa sana mafundisho kwa mabaharia akijitolea mfano yeye maisha aliyopitia
Utaweka ignore list wangapi mzee😂😂 kubali kuambiwa ukweli na uishi... Najua hauta iona hii maana na mm niko ignore list😎Mimi sina "Status Anxiety" kubishana na ngumbaru mla mavi wewe.
Nakupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona unachoandika.
Mbona na wewe unaumizwa na wengine kufatilia maisha ya wengine. Kwani ukweli usiseme kuwa wazamiaji huwa wanafikiria kutoboa ni nje tu? Na wakienda kinawaramba?Mwanaume kuanza kufuatilia maisha ya wanaume wenzako ni umama,halafu ukija kuposwa sijui ndio utakataa kuolewa?
Mind your own fckg business,
Kama maisha yamekupiga huko Bongo,acha kujipa faraja kwa kuangalia hao mateja waliorudishwa toka South.