Wewe unajuwa kwannini Watanzania masikini?Mlipuko wa Arab Spring ilianza kama masikhara nchini Tunisia baada kijana mmoja mhitimu wa Chuo Kikuu aliyekosa kazi na kuamua kuuza matunda kwa kutumia toroli mitaani. Lakini alipokatiza mbele ya ofisi za Serikali kuuza matunda alizuiwa na kuadhibiwa kuwa anachafua mwonekano wa mtaa huo. Hasira ya kijana huyu alienda Petrol Station na kununua mafuta akarudi mbele ya ofisi ile ile na kujichoma hadharani.
Wanafunzi wa vyuo vikuu nchi nzima wakapandwa hasira na maandamano nchi nzima kumtaka Rais aondoke ofisini. Upepo huu ukaenea nchi nyingi za Kiarabu na mapinduzi mengi yakafanyika na mauaji pia. Wengi walipoteza maisha kudai mabadiliko.
Leo kuna maandamano makubwa nchini Afrika Kusini na Kenya. Afrika Kusini yanaongozwa na Julius Malems (Juma) wa EFF na Kenya ni Raila Odinga wa Azimio la Umoja. Hofu yangu ni kwamba madai ya waandamanaji SA na Kenya yanafanana. Kupanda kwa gharama za maisha na utawala mbaya wa kifisadi.
Swali ni je, ni nchi ipi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwemo Tanzania ni salama katika madai haya? Jakaya Kikwete ametoa clip kumtetea Rais Samia, "mafuta yamepanda hata Uingereza hata wanamlilia gharama kupanda wangefanya nini kama sio unafiki?" Kwangu mimi huu ni utetezi wa kijinga sana maana ni yeye huyo huyo Kikwete aliwahi kuulizwa Kwa nini Watanzania ni masikini? Alisema, "hata mimi sijui". Leo atajuaje Kwa ni gharama za maisha yamepanda? Ushauri wake Kwa Samia ni kuwalambisha asali wapinzani Ili biashara zao zisiathirike Kwa maandamano.
Ninaamini upepo huu ulipoanza kuvuma kutoka J'berg hadi Nairobi utafika Dar es salaam, Kampala, Maputo nakadhalika na watawala wataadhibiwa. Asali isiwapofushe. Teteeni haki na Hali ya wanyonge wasio na sauti. Naomba upepo huo uvume tu kuja Tanzania kuondosha pengo kubwa kati ya walalanjaa na washibenjaa. Nani asimame na umma? Let's count the days ahead!
Haki ipi ambayo unaidai na hukuipata?Watanzania bado unasafari ndefu kuwafahamu.
Mtanzania hawezi kuandamana Kwa ajili ya Haki yake.
Haki ipi ambayo unaidai na hukuipata?
Ushawahi kuona mjanja ambaye ana njaa? Mugabe baada ya kuwamaliza wazungu, akaanza kushughulikiwa yeye mwenyewe, tena na watu wale wale aliowapa mshamba ya wazungu.Waache kupamba na mfumoko wa bei wawe Bize na simba na Yanga sijui kufunga nchi watajijua hawa Watanzania wasionwe wanyonge siku wakiamua itakuwa shida sana.
USSR
Kinachopambaniwa sio haki ya mtu...wanapambania ccountability. Wanataka wana siasa waache kula na kusaza kwa mgongo wa walala hoi. Wana siasa wa Africa, wengi wanatumia vibaya nafasi zao. Kujinufaisha wao, rafiki na familia zaoHaki ipi ambayo unaidai na hukuipata?
Sasa hizo ni porojo. Viwandani wanakosa hakinipi nina ni kiwanda kipi hicho?Mimi sijawahi kunyimwa Haki zangu.
Ila nazungumzia watanzania wengine.
Nenda viwandani Huko utajionea watanzania walivyo,
Angalia tena...wapo tele!Ingekuwa nimewaona Raila, Karua, na Wajakoya barabarani ningeamoni lakini ni waoga kinyama wamejifungia vyumbani wamewaacha wakala hoi akina Nuru OKANGA wakila gesi ya machozi na virungu vya polisi waliovalia kama wanajeshi
Wewe unaishi Buza kwa mpalange umejuaje kama hawajajitokeza kwenye maandamano?Ingekuwa nimewaona Raila, Karua, na Wajakoya barabarani ningeamoni lakini ni waoga kinyama wamejifungia vyumbani wamewaacha wakala hoi akina Nuru OKANGA wakila gesi ya machozi na virungu vya polisi waliovalia kama wanajeshi
Unataka watz waandamane,waandamane kwa nini!?Watanzania bado unasafari ndefu kuwafahamu.
Mtanzania hawezi kuandamana Kwa ajili ya Haki yake.
Na itakua umefika chuo,upeo kiduchu,huko viwandani Kama malipo kidogo acha kaziMimi sijawahi kunyimwa Haki zangu.
Ila nazungumzia watanzania wengine.
Nenda viwandani Huko utajionea watanzania walivyo,
Kwanini wewe huingii kwenye siasa ukafanya mabadiliko?Kinachopambaniwa sio haki ya mtu...wanapambania ccountability. Wanataka wana siasa waache kula na kusaza kwa mgongo wa walala hoi. Wana siasa wa Africa, wengi wanatumia vibaya nafasi zao. Kujinufaisha wao, rafiki na familia zao
Huna unachojua raila alikuwepo barabarani. Jitahidi uangalie hata tv kwa jiraniIngekuwa nimewaona Raila, Karua, na Wajakoya barabarani ningeamoni lakini ni waoga kinyama wamejifungia vyumbani wamewaacha wakala hoi akina Nuru OKANGA wakila gesi ya machozi na virungu vya polisi waliovalia kama wanajeshi
Ataamka lini?Ila mjinga huyo akiamka ni kuliko kwingineko.
Sababu zao za kuandamana umezisikia au umeshiba magi, bi unaropoka tuRaila Odinga anapigania maslahi yake.
Hakuna Tajiri anayeweza kupigania maslahi ya maskini.
Wakenya ni wapumbavu sana wanadhani wakiumizana Kwa ajjili ya Maslahi ya Raila watakaoumia ni watawala au Bado ni maskini.?
Raila Ana Miaka ZAIDI ya Sabini Bado haoni kuwa siasa za kimfumo zimemkataa .
Alibebwa na Serikali ya Uhuru lakini akashindwa mwenyewe Kwa siasa zake zilizokosa será madhubuti akabaki na vichekesho majukwaani.
Sasa Raila baada ya kushindwa anataka nchi iingie kwenye machafuko. Inatakiwa kabla ya Wakenya hawajaamua kuuana wamuue yeye kwanza . Pumbavu kabisa!!!