Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Mfano hao wqnaotokea kwenye hiyo mikutano nani anathibitisha uhalali wao? Nani anathibitisha hayo madai? Nani anathibitisha ukweli wake? Hii nchi ina watu wa hovyo sana!Anachofanyq makonda ni kujijenga kisiasa ana-uhakika hakuna kitakachotea ila jambo litekelezwe linahitaji mchakato wa kisheria wa kwenda mahakamani
Anachofanyq ni PR