Kinachotokea kwenye mikutano mkuu wa mkoa Arusha kitufungue macho!

Kinachotokea kwenye mikutano mkuu wa mkoa Arusha kitufungue macho!

Huyu ni mkuu wa mkoa wa ajabu,kuwahi kutokea. Hajawahi kufika kata yeyote ndani ya mkoa huo.

Hajawahi kufanya ziara wilaya hata Moja za mkoa huo.
Kada wa ccm ndio sifa yake. Alikuwa katibu wa ccm wilaya ya Kinondoni; akiwa na boss wake fisadi papa Londa!
 
Mtu akifanya vyema mpeni maua yake haijalishi chama.Makonda anafanya vyema kuwasikiliza maana kupata haki hii nchi kama huna hela ni ngumu sana,kesi ikiwa inaendelea mwenzako anampa hakimu chochote kitu hiyo haki utabaki kuisikia kwa watu
 
Back
Top Bottom