Kinachotokea kwenye mikutano mkuu wa mkoa Arusha kitufungue macho!

Huyu ni mkuu wa mkoa wa ajabu,kuwahi kutokea. Hajawahi kufika kata yeyote ndani ya mkoa huo.

Hajawahi kufanya ziara wilaya hata Moja za mkoa huo.
Kada wa ccm ndio sifa yake. Alikuwa katibu wa ccm wilaya ya Kinondoni; akiwa na boss wake fisadi papa Londa!
 
Wakuu wa mikoa mingine na viongozi wengi wameingia kwenye mtego wa mafisadi kuwa eti Makonda anatafuta kick wakati jamaa anapiga kazi sana.
Na wao watafute kick kama mwenzao itakua ni faida kwa wananchi wanyonge.
 
Mtu akifanya vyema mpeni maua yake haijalishi chama.Makonda anafanya vyema kuwasikiliza maana kupata haki hii nchi kama huna hela ni ngumu sana,kesi ikiwa inaendelea mwenzako anampa hakimu chochote kitu hiyo haki utabaki kuisikia kwa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…