Kinachowafanya mlie kwenye msiba ni nini kama sio unafiki na kujidanganya?

Kama unaelia anamlilia mtu wa karibu kama mzazi,ndugu,mke,mtoto sawa mwache alie maana hakuna namna anaweza kuvumilia bila kulia,lakini wale watu baki wanaolia msibani huwa ni wanafiq kuliko.
 
Watu wanaendelea kuishi na maumivu ya milele ,kufuwa na mtu sensitive sio jambo dogo.. wengine wanaingia gharama za kuwauguza kama huyo rafiki yangu ..Mother wake kafa na deni la mil 10 atalipa.
 
Kama unaelia anamlilia mtu wa karibu kama mzazi,ndugu,mke,mtoto sawa mwache alie maana hakuna namna anaweza kuvumilia bila kulia,lakini wale watu baki wanaolia msibani huwa ni wanafiq kuliko.
Unaliaje kwa jambo la kujitakia ,unamlilia mtoto ambaye hakulazimishwa kumzaa
 

Kama unaelia anamlilia mtu wa karibu kama mzazi,ndugu,mke,mtoto sawa mwache alie maana hakuna namna anaweza kuvumilia bila kulia,lakini wale watu baki wanaolia msibani huwa ni wanafiq kuliko.
Bandiko lako halina mashiko kama vipi usile wala kunywa maji,kataa maumivu ya kubanwa na haja na pia epuka gharama za kulipia huduma hizo
 
Tembo wanyama akifa mwenzao wanaweka matanga na kikao thabiti,sasa kwa mjibu wa mtoa mada sijui hawa wanyama huwa wana huzunika ama wanafurahia!

Lkn mimi nijuavyo ukiachilia UCHAWA na MAIGIZO,mara nyingi kumbukumbu za mapito mbalimbali kwa waliosalia (wanao lia) na marehemu ndio hupelekea hiyo hali.

Sidhani kama Mnafiki Wa Kujitegemea mimi eti nionekane nikimwaga machozi eti kwa sababu Mzee Msuya,JPM ama mwingine yeyote ambaye sina uhusiano wa damu kafariki,wala sikuwahi kuwa na urafiki naye eti kidume mimi nimwage machozi,HAIWEZEKANI!
 
Bandiko lako halina mashiko kama vipi usile wala kunywa maji,kataa maumivu ya kubanwa na haja na pia epuka gharama za kulipia huduma hizo
Acha utumwa wa kujitafutia matatizo ni unafiki ,ishi mwenyewe
 
Kama unaelia anamlilia mtu wa karibu kama mzazi,ndugu,mke,mtoto sawa mwache alie maana hakuna namna anaweza kuvumilia bila kulia,lakini wale watu baki wanaolia msibani huwa ni wanafiq kuliko.
SIKU BOSS WAKO KAFA NA NDIYO ANAKUFANYA KUWA CHAWA WAKE NAHISI UTALIA ZAIDI YA UKOO WAKE
 
Ishu ni maumivu ya kujitakia ,bora usizae ili baadaye asije kufa ukalia
 
Unafiki tuu mkuu..
Kila mtu atakata moto kudadek....

Mi nashangaa wengine wanavyokua wanaumwa wanataka kuonewa huruma,
Kama binaadamu na unajua ili ecosystems ibalance lazima ufe acha kunyeka nyeka.

Kufa ni constant...
 
Kaka ulishawahi kufiwa?

Basi kataza na mtoto mdogo asilie wakati wa kuzaliwa
 
Kipi kinachokusibu haswa na machozi ya waliofiwa? Just mind your own business.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Anza wewe kurudi ulikotoka ili wazazi wako wasikulilie
 
Kizazi hiki kina kila dalili ya ujinga ulio tukuka zaidi ya Gn-Z....😜
 
Acheni kumbembeleza huyo mkuu, analiaje tangu juzi, kwamba wengine hapo hamjawahi fiwa?
Kudeka deka Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…