Kinachowafanya mlie kwenye msiba ni nini kama sio unafiki na kujidanganya?

Umeshawahi kufiwa na ndugu yako wa karibu!!?? Afu sometimes sio kila kilio kinamaanisha maumivu!! Sijui unanipata?
 
Unafiki tuu mkuu..
Kila mtu atakata moto kudadek....

Mi nashangaa wengine wanavyokua wanaumwa wanataka kuonewa huruma,
Kama binaadamu na unajua ili ecosystems ibalance lazima ufe acha kunyeka nyeka.

Kufa ni constant...
Kwa mfano mimi huwa nalia kwa kumwonea wivu aliyekufa kwa kutangulia mbinguni kule kwenye raha ya ajabu kabla yangu.

Mi nitaka mtu asinitangulie kuingia kwa mbungu.

Cc Monetary doctor
 
Nitaku piemu mkuu kwa swala la dàwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…