Kinachowafanya mlie kwenye msiba ni nini kama sio unafiki na kujidanganya?

Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake
 
Jambo lolote ikiwa halijakufikia unaweza kuongea chochote,ila yakikukuta ndipo utaelewa vzr
 
Wahimiza upinde pia hutumia hii mbinu kuwa mpinduane kwani hamuwezi zaliana.
 
Wahimiza upinde pia hutumia hii mbinu kuwa mpinduane kwani hamuwezi zaliana.
Endelea kujiliza kama mthenge ,kama mtoto unazaa mwenyewe kwa nyege zao ,akifa unalia na ukweli unajua kwamba ipo siku atakufa..Acheni unafiki mambwa nyie.
 
We umeshakaa nao mkuu?
Je, ulipokaa nao walisemaje?
Mimi nimesema mtu akiwa anapitia sakaratul maut an kifo lazima atoe haja kubwa...

Wewe ukapinga...
Ndo nauliza ni nani ulimuona amekufa yupo msafi
 
Jibu kwanza , Je wewe kama wewe unapenda kuendelea kuishi hapa duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…