secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hahaha 😂, sijawahi kumkagua merehemu lakini sidhani kama Kila mtu anajisaidia haja kubwa wakati wa kukata roho.Mimi nimesema mtu akiwa anapitia sakaratul maut an kifo lazima atoe haja kubwa...
Wewe ukapinga...
Ndo nauliza ni nani ulimuona amekufa yupo msafi
Unabisha kitu hata ujafanya uchunguzi..Hahaha 😂, sijawahi kumkagua merehemu lakini sidhani kama Kila mtu anajisaidia haja kubwa wakati wa kukata roho.
Muda huu una miaka mingapiKuendelea mpaka lini ? Yaani unakuwa mzee mpaka ladha ya chakula inakushinda ,binafsi hata muda huu nikifa ni fresh tu.
Ngoja nifanye utafiti kisha nije na majibu.Unabisha kitu hata ujafanya uchunguzi..
Sasa ndo nakwambia mimi hapa mtaalamu mkuu
Kijana alikuwa anazunguka mbuyu wakati ana tatizo la uzazi na anashindwa kufungua kodi asaidiwe.Kwanini hutaki kuzalisha?
Kama nguvu za kiume zimepungua usiogope kuna dawa.
Hata wanyama wanazaliana na ikitokea msiba kati yao lazima wahuzunike na kulia pia.
Kuzaliana na kufariki ni jambo la asili.
KAMA UNA SHIDA KUWA MUWAZI USAIDIWE.
Asante.
Umenena Mkuu.Kijana alikuwa anazunguka mbuyu wakati ana tatizo la uzazi na anashindwa kufungua kodi asaidiwe.
Shida zip tena ? Umzae mwingine ili iweje kama sio uthengeKwanini hutaki kuzalisha?
Kama nguvu za kiume zimepungua usiogope kuna dawa.
Hata wanyama wanazaliana na ikitokea msiba kati yao lazima wahuzunike na kulia pia.
Kuzaliana na kufariki ni jambo la asili.
KAMA UNA SHIDA KUWA MUWAZI USAIDIWE.
Asante.
Huna hoja ndugu. Ni hoja mfu. Hakuna maisha bila kuzaliana. Hata wewe usiezalisha unawahitaji watu waliozaliwa na wengine ili maisha yako yaendelee.Toa hoja sio kila mtanzania ni mjinga ,panua fikra badi unakariri maisha🤣🤣