Kinachowasaidia yanga ni UCHAWI na siasa za watu Fulani wa serikali, ila Hawana UWEZO WOWOTE KIMPIRA.

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Huo NDIO ukweli.

Ukifanikiwa kujua mitego yao ya kichawi, kisiasa kimipango, basi umewashika makendeni.

Kuna nguvu kubwa kichawi inafanyika Sasa mvua inyeshe sana na pia nguvu kubwa kisiasa na wanasiasa baadhi watumie ushawishi na nguvu zao kimaamuzi mechi iharishwe halafu mechi ijayo itumike nguvu nyingine kuhamishwa uwanja.

Mtafanikiwa kama sisi sio Simba sports club. Ipo siku isiyo na jina tutawafirah zile goli 5 tulieni tu.
 
Ukiona mtu bado dunia ya leo anaamini kwamba uchawi una mchango wake katika soka unatakiwa uachane naye kabisa kwa sababu hana maana yoyote.

Kwa nini vilabu vitumie mamilioni ya pesa kununua wachezaji hata kutoka nje ya nchi na makocha vilevile wakati uchawi upo.!!!???😛😛😛😛
 
Na kuthibitisha hilo angalia kimataifa huwa wanafanya nini!!

Wanaaamini sana masangoma hawa jamaa.

Bado wapo kijima sanaaa
 
Sikia we jamaa.

Hata hao wakubwa serikalini usifikiri wanalindwa na hizo bunduki na wavaa Kaunda suti pekee. Wana walinzi wasioonekana kwa macho walio kazini muda wote (hususani majini).

Sasa ligeuze swali lako tena; Kama wanalindwa na majini kwanini wanapewa bakabaka na wavaa kaunda wa kuwalinda?

Wewe siyo mtoto, jiongeze.
 
Hakuna timu ya Tanzania iliyo fanikiwa kimataifa labda kama upo lile kundi alilosema Mzee Rage
Kwahiyo mafanikio ni mpaka kombe tu? Vipi kuipandisha ligi yetu kwa kupeleka timu 4 Kimataifa ambako Simba imefanya tangu mwaka 2017?
 
Kwenye football huwezi kufanikiwa kwa kuishia njiani kwenye timu zilizo cheza bingwa ya dunia ulimuona Simba mule? ukiongelea hizo points za kupeleka timu nne hata Namungo, Azam, Singida wana mchango wao, Angola wanapeka timu 4 kimataifa utasema Petro de Luanda imefanikiwa kimataifa?
 
NI simba pekeyake ndo amesababisha hayo? Hakuna points za timu nyingine zimechangio hilo jambo?
Ndio maana halisi ya u mbumbumbu subiri leo wafungwe utasikia maneno mengine lawama hadi anaefungua geti la uwanja
 
NI simba pekeyake ndo amesababisha hayo? Hakuna points za timu nyingine zimechangio hilo jambo?
Simba ingekuwa inaishia makundi tangu hiyo 2017 hao unaowataja wangeenda Kimataifa (tena bila kuwa mabingwa wa TPL au FA)?
 
Attachments

  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    9.1 KB · Views: 19
Ukiona mtu bado dunia ya leo anaamini kwamba uchawi una mchango wake katika soka unatakiwa uachane naye kabisa kwa sababu hana maana yoyote.

Kwa nini vilabu vitumie mamilioni ya pesa kununua wachezaji hata kutoka nje ya nchi na makocha vilevile wakati uchawi upo.!!!???😛😛😛😛
Sasa uchawi utafanyaje kazi bila Kocha ama wachezaji na hizo ni taratibu za fifa kila timu lazima iwe na wachezaji na makocha...we Kumah nini unauliza maswali ya *******
 
Na kuthibitisha hilo angalia kimataifa huwa wanafanya nini!!

Wanaaamini sana masangoma hawa jamaa.

Bado wapo kijima sanaaa
Nakuapia kimataifa hata Ile shirikisho kufika FAINALI ilikua bahat sana sana , wao level zao ni za ligi kuu, wakisaidiwa uchawi na viongozi wa serikali walio na ushawishi na hii timu ,, nakuapia kama Simba wakiamua kuamua yanga ni mavi tu...na imedhibtika hilo, wameleta mvua ya kichawi ili mechi isichezwe isamuyo mana mlango wa kupita ni mmoja , na Kuna madawa yao hua wanayaweka , nataka nione leo wakiruka ukuta wa JESHI
 
Huo NDIO ukweli.

Ukifanikiwa kujua mitego yao ya kichawi, kisiasa kimipango, basi umewashika makendeni.

Kuna nguvu kubwa kichawi inafanyika Sasa mvua inyeshe sana na pia nguvu kubwa kisiasa na wanasiasa baadhi watumie ushawishi na nguvu zao kimaamuzi mechi iharishwe halafu mechi ijayo itumike nguvu nyingine kuhamishwa uwanja.

Mtafanikiwa kama sisi sio Simba sports club. Ipo siku isiyo na jina tutawafirah zile goli 5 tulieni tu.
Ni waI wewe ni mtoto mdogo sana na huhui chochote kuhusu yanga,tafuta chakula ule ukajambe
 
Sikia we jamaa.

Hata hao wakubwa serikalini usifikiri wanalindwa na hizo bunduki na wavaa Kaunda suti pekee. Wana walinzi wasioonekana kwa macho walio kazini muda wote (hususani majini).

Sasa ligeuze swali lako tena; Kama wanalindwa na majini kwanini wanapewa bakabaka na wavaa kaunda wa kuwalinda?

Wewe siyo mtoto, jiongeze.
Mkuu wanajua nini Hawa madogo , hawajui kitu, ngoja wakue kue angalau..achana nao bana..acha washangilie timu lao la kichawi ila uchawi this time umedunda kumamakeh.
 
Ni waI wewe ni mtoto mdogo sana na huhui chochote kuhusu yanga,tafuta chakula ule ukajambe
Najua yanga ni makuma na wanategemea uchawi na nguvu ya viongozi wa kiserikali kufanya mambo yao ikiwemo kushinda ligi kuu ubingwa na mechi za derby na KUHONGA timu pinzani baadhi....kama Mimi mtoto Mdogo muulize mama Ako chibike ni nani na ameshamkojolesha mara ngapi
 
Mwana msimbazi mwenzngu umevurugwa na nini? Mbona mitusi mingimingi kwenye hojja zako? Matusi hayahalalishi kwamba unachosema ndio ukweli bwashee. Au na Mimi nijiandae kukoga mitusi hahaha
 
Sasa uchawi utafanyaje kazi bila Kocha ama wachezaji na hizo ni taratibu za fifa kila timu lazima iwe na wachezaji na makocha...we Kumah nini unauliza maswali ya *******
Bila shaka wewe utakuwa tu Mirembe Hospitali hivyo sina budi kukuacha uendelee na matibabu yako.
 
Back
Top Bottom