Hakuna walinzi wasioonekana hayo ni mambo ya vijiweni tu, mbona sasa wanakufa tena kiulaini kabisa.Sikia we jamaa.
Hata hao wakubwa serikalini usifikiri wanalindwa na hizo bunduki na wavaa Kaunda suti pekee. Wana walinzi wasioonekana kwa macho walio kazini muda wote (hususani majini).
Sasa ligeuze swali lako tena; Kama wanalindwa na majini kwanini wanapewa bakabaka na wavaa kaunda wa kuwalinda?
Wewe siyo mtoto, jiongeze.
Wewe acha mambo ya kitoto.