Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
-
- #21
Kwa akili yako unafikili kina Mbowe Wana njaa Kama wewe?
Wanaweza wakawafuga ukoo wenu wote
Huyu dogo nimemfuatilia sana. Alitumia pesa nyingi kusaka ubunge sasa alipokosa amebaki kuwa mtu wa kuporomosha matusi na jazba kama mlevi wa gongo.Dogo tindo unajichanganya sana,siku hizi umekuwa mtu wa jazba si hoja.Na sasa jiwe la kizani limekupata jichoni,pole
Mimi siyo Kamanda wala nini! Sema tu hii hoja yako ya kusema eti watu wazima wanataka kunywa chai ikulu, ndiyo niliyo kuambia ni ya kipuuzi na kitoto.Povu kamanda,jiwe la gizani limekupata
Huyu dogo nimemfuatilia sana. Alitumia pesa nyingi kusaka ubunge sasa alipokosa amebaki kuwa mtu wa kuporomosha matusi na jazba kama mlevi wa gongo.
Mkuu una hasira za maisha magumu? Mnafurahi kupewa mwaliko kuonana na Rais wa JMT; je, mtanufaika vipi kisiasa?
Dogo tindo unajichanganya sana,siku hizi umekuwa mtu wa jazba si hoja.Na sasa jiwe la kizani limekupata jichoni,pole
Tena katika vitu vimenishangaza ni hao viongozi wa cdm kutaka kuonana na rais. Mimi sio muumini wa siasa za kujipendekeza kwa watawala. Hao viongozi wa cdm wangeendelea na shughuli zao, na sio kutaka kukutana na majizi ya kura.
Acha upotoshaji wa kijinga, huyo mama anapewa ukweli wake baada ya kuanza kukengeuka kwa kwenda kinyume na katiba. Naona propaganda mfu zinakuchanganya kisha unajaa na kuanza kuleta upotoshaji.Uko sahihi baada ya kuchuniwa wameanza kumshambulia kweli wanasiasa sio wakuwaamini.
Ha ha eti wewe ni chawa wa Mbowe
Mama alikuwa msikivu kutowaita ikulu mkaanza kumshambulia mlisahau kuwa yeye ni amiri jeshi acha awanyooshe maana power hyo anayo kikatiba.Acha upotoshaji wa kijinga, huyo mama anapewa ukweli wake baada ya kuanza kukengeuka kwa kwenda kinyume na katiba. Naona propaganda mfu zinakuchanganya kisha unajaa na kuanza kuleta upotoshaji.
Acha upotoshaji wa kijinga, huyo mama anapewa ukweli wake baada ya kuanza kukengeuka kwa kwenda kinyume na katiba. Naona propaganda mfu zinakuchanganya kisha unajaa na kuanza kuleta upotoshaji.
Mbowe mwenyewe wala hanijui kwa taarifa yako, na mimi namuona kama watu wengine wanavyomuona kwa mbali. Na wala sina hata mshawasha wa kukutana naye, kwani ukiachia yeye kuwa mwenyekiti wa cdm, kwangu yeye ni mtu wa kawaida sana.
Mama alikuwa msikivu kutowaita ikulu mkaanza kumshambulia mlisahau kuwa yeye ni amiri jeshi acha awanyooshe maana power hyo anayo kikatiba.
Duh dogo tindo kwani kusema tulinde amani kwa kuepuka chokochoko kuna ubaya gani?
Ila umekubali kuwa chawa wake mtiifu,Mbowe ni Kada wa CCM lakini,mlizumgusha mikono kwa EL tunawajua
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] hizi kauli zenu tumezizoea, watu hawawezi kukimbia familia zao kwa uandishi wenu wa mitandaoni.Sababu zako ni za kipuuzi na ni za kitoto pia! Chai ndiyo nini!! Watu wanataka muafaka wa Kitaifa, wewe unaleta hoja za kitoto.
Endeleeni tu kuziba masikio. Siku ikifika, mtatafuta kwa kukimbilia nyinyi na familia zenu.