Kinamchomsumbua Hananja ni wivu wa kuzidiwa 'trending' na Mfalme Zumaridi

Mfalme kwa andiko gani?
Imani ya zumaridi na yako ni tofauti , tukianza ku_question uhalali wa dini ya Zumaridi ze same to you tuulize uhalali na ukweli wa dini yako ,ndo mana hapa duniani kuna dini maelfu kila mmoja kivyake na Mungu wake , hatujui nani anamuabudu Mungu sahihi na nani anamuabudu Mungu miyeyusho cha msingi kila mmoja asivunje sheria , kusontesheana vidole kwenye masuala ya imani ambayo mostly ni myth story haitakuwa fresh
 
Hata Gwajima alienda viral kwa video ya sex. Nachojua, ni kwamba Zumaridi anazidi kujianika mbele za watu na ipo siku hata wafuasi wake watamkimbia.
Inashangaza unaamini kuwa Hananja yule mlevi atadumu milele
 

Kuna imani na kufuru au blasphemy. Yani kuchafua imani ya wengine. Anachofanya Zumaridi ni blasphemy. Unajiita Mungu , lakini kesho unadai Yesu Hana nguvu, kesho kutwa unadai ulitokewa na jua, baadae Tena unadai ulienda mbinguni na kuchumbiwa na Paulo. Maana nyingine anapingana na Biblia inayosema kuwa mbinguni hakuna kuoa Wala kuolewa.
 
Imani yake inamruhusu hvyo, na hawezi kuamini unachoamini mana hakijulikani kama ni cha kweli au ni propaganda , yeye anaamini hvyo na ana wafuasi na lyfe linaenda , wewe endelea kuamini unavyoamini katoe zaka kwa wachungaji wale maisha yaendelee kuchafuana kisa imani ya mwingine sio unyama
 
Fafanua hapo kwenye lao ni moja
 
Kuhusu Masanja sijui kwa sababu sijawahi sikia mahubiri yake. Ila Mwakasege ana shida gani, mbona anafundisha vizuri sana
Mafundisho yale baadhi ni nadharia not practical, ndo maana wafuasi wao hayawasaidii japo wanajaza notisi. Mfano mtu anaendelea na zinaa japo ana notisi za kutosha kuhusu zinaa
 
Hiyo siyo imani. Tofautisha imani na kufuru. Alikuja nabii Tito watu wakamsupport kwenye ile dini yake ya ulevi na uzinzi. Sasa nikuulize swali, utadai nabii Tito aachwe kisa ana imani kwenye kulala na house girl na kulewa pombe?.

Imani lazima iwe kanuni na utaratibu mliokubaliana Kama waumini mbele za Mungu. Sasa wewe uwe Mungu, hapohapo uwe kiongozi wa dhehebu na Tena uwe mchumba wa mtu hiyo sio imani, ni utaahira Kama yule Yesu wa tongoren Kenya au Jehovah wanyonyi.

Tukikaa tukasema waache watu wafanye kufuru kesho yatatokea mambo ya ajabu tutabaki tumeshangaa hatuna Cha kufanya Kama ushoga ulivyoshamiri.
 
Sio Ana mental health 😂😂 Sema Ana mental disorder
 
Weka picha ya hananja
 

Halafu jifunze kuongea kwa staha. Kama zaka inaliwa kwenu usinihusishe Mimi?
 
Huwa sifuatilii hawa watu lakini nimeona kwa mara ya kwanza clip za huyo mchungaji
Kwa kweli ana hoja na ni comedy pia
Namfuatilia kucheka tu
Ila anaongea jamaa na ukweli ni mwingi sana

Sasa akihoji huyo mama aseme alienda na usafiri gani mbinguni ni wivu?
Anamfagilia pia ila hakubali huyo mama anayoongea ni kama kachanganyikiwa tu
Kichwa kama ugali
 
Mafundisho yale baadhi ni nadharia not practical, ndo maana wafuasi wao hayawasaidii japo wanajaza notisi. Mfano mtu anaendelea na zinaa japo ana notisi za kutosha kuhusu zinaa

Mwalimu kashafanya kazi yake hadaiwi, maana kakufundisha kuacha zinaa wewe hutaki.
 
Mwalimu kashafanya kazi yake hadaiwi, maana kakufundisha kuacha zinaa wewe hutaki.
Ni mafundisho yanayokosa uhalisia mfano toa ubarikiwe watu wanatoa lakini hawapati kitu maana mtu anafanya maombi siku tatu kazi siku mbili hajitumi wala hana ubunifu mwusho hapati matokeo japo alitoa kweli mbegu na zaka. Tubahitaji walimu watakaotufundisha vitu practical vyenye uhalisia
 

Practical unafanya wewe baada ya mafundisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…