Tetesi: Kinana agoma kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM

Status
Not open for further replies.
Ili chama kionekane kina nguvu ya ushawishi, no muhimu kinana na Makamba kwenda kuhojiwa. Ila ikiwa hawatokwenda, ina maana wamekaidi agizo la chama na wamejifukuza chamani au kujitoa.

Mahojiano yana pendeza kama aliyekuchafua naye akiwepo.

Iweje waitwe wao lakini Musiba asiitwe kuhojiwa?!

Ilibidi Musiba awepo na wote aliowatuhumu wawepo, ili shauri liwe zuri kusikilizwa na kutolewa maamuzi.

Kama Musiba ahojiwi, sioni kwanini Kinana,Makamba, na Membe wahojiwe.
 
Pascal Mayalla ulibisha jana
 
Acha wapigane wenyewe maana kama ni maadui wa nje walishawamaliza
 
Wazee wetu wamedhalilishwa,tujitafakari tunakoelekea ccm mpya
 
Sisiemu wakigombana ni furaha kwetu.

5/5
 
Una ushahidi wowote unaoonyesha kuwa Musiba ana kadi ya Chama na anailipia ada inavyostahili!?
 
Una ushahidi wowote unaoonyesha kuwa Musiba ana kadi ya Chama na anailipia ada inavyostahili!?
Alisema mwenyewe tafuta, video yake humu, akijisifu yeye na Makonda walivyokuwa uvcc. Maneno yake ni ushahidi kwamba ni mwana chama wa ccm.
 
mnafiki at work baadae utakuja kukisifia kinachomtuma kinyagarika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unless unamjua aliyekituma kinyangarika!.

Ukiwa na njaa ya siku tatu bila kula, bila kunywa, halafu akatokea mtu kukupa chakula, cha kwanza utakachofanya ni kushukuru, na picha zitapigwa na taarifa za aliyekutendea wema, zitaenezwa na atasifiwa kwa wema. Na baada ya kula kesho yake hukuamka. Taarifa ikatolewa umekufa kwa ugonjwa wa moyo. Yule aliyekupa kile chakula ataendelea kusifiwa kumbe kwenye kile chakula alikutilia sumu, it's only karma ndio itamhukumu.

Hivyo kwenye mazuri yanayoonekana machoni, tutaendelea kupongeza kusifu na kuimba nyimbo za mapambio. Kama kuna mabaya na maovu ya chini ya kapeti ikiwemo kuwatuma vinyangarika, we can't tell.
P
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…